@Sintah_Miss Profile picture

Miss Sintah

@Sintah_Miss

JESUS makes me more Special ❣️

Joined May 2020
Similar User
Joseph Maduka photo

@NtemiMaduka

Hez Bulambo photo

@Hezmponi

Alice EK photo

@DoubleE47737494

2m'z photo

@TalianiTumaini

Didistone photo

@Didistone25

Nusu Kipenyo photo

@NusuKipenyo

Dpipilo🇹🇿 photo

@DPipilo1

Zuma Lucky Johnson photo

@johnson_zuma

MPIGA_KURA photo

@mpigakura25

M_R_47 photo

@M_r_47

Liz Fred photo

@LizFred6_sp

乔瑟夫 photo

@Axsonmwasaga

poizon photo

@Capiteinii

Gaspar photo

@assengadanny

Shio2016 photo

@Shio20161

Miss Sintah Reposted

Nasema kijana ASIBUGUDHIWE! Asante @MshauriSerikali for speaking Truth to Power! Ila nimecheka sana 😂 eti aingie mwenyewe asome comments! Tatizo anaambiwa eti ni Chuki tu! Mara oh wanakudharau maana we mwanamke! Kumbe wanampotosha! 👊🏽 kula shavu! FOLLOW 👉🏽👉🏽 @MshauriSerikali


Kichefuchefu

Hii staili ya kutatua matatizo yetu kwa comparison ya nchi nyingine tumeitoa wapi?kama ni nzuri tuwe tunaitumia na kwenye mambo mengine kama katiba,mishahara,huduma za afya na elimu,maji..



Miss Sintah Reposted

Justice for @PMadeleka

Tweet Image 1

Miss Sintah Reposted

Uhuru wa Peter Madeleka ni muhimu kuliko kitu chochote kwa sasa mtu alietishiwa kuuwawa, Kisha kukamatwa na watu wasio na Sare za Polisi ni hatari zaidi kuzani tukio hili ni la kawaida.

Tweet Image 1

Miss Sintah Reposted

BREAKING: Mwanasheria @PMadeleka ametekwa na watu wasiojulikana Serena hotel muda mfupi uliopita. Watu hao wametokomea kusikojulikana na wakili Peter Madeleka. #FreeMadelekaNOW #TanzaniaLeaks

Tweet Image 1

Miss Sintah Reposted

Tundu Lissu alilalamika kuhusu usalama wake kwamba anafuatwa na gari, Polisi ikaka kimya akapigwa risasi, Rais Samia akatoka na kutamba kwamba polisi awakosei namna ile @pmadeleka amelalamika anataka kuuwawa na dola, leo ametekwa na kupotea #FreeMadeleka

Tweet Image 1

Kweli yote umenena Ila kwa kadri ya uwezo wake.

Mwanaume anayependa kwa dhati atakuhudumia kila kitu na hatakubali akuchezee uchi kabla hamjafunga ndoa



Miss Sintah Reposted

Kuna marafiki kwenye maisha Halafu kuna marafiki wa maisha. Inaitaji hekima na busara kubwa sana kuwatofautisha hao watu.


Miss Sintah Reposted

It is a tradition that we start with a greeting. UMUOFIA KWENU....! Yes, ule muda ambao nilikuwa nikiusubiri kuliko mlinzi asubirivyo asubuhi umewadia. Yes, nilisubiri Kesi maarufu kama “kesi ya Mbowe” iishe nitoe yangu ya moyoni.

Tweet Image 1

Miss Sintah Reposted

Napongeza kila mmoja wetu - tuliobaki kudai Haki, Demokrasia na #KatibaMpya pamoja na changamoto, shinikizo na ugumu wa maisha! Tujipongeze, tufarijiane kisha tutumie tena na tena kila siku tuliyopewa na Mungu kupigania malengo haya! Kukata tamaa mwiko 💪🏽 Much ❤️ and power to ua!


Miss Sintah Reposted

“Jitihada zozote za Kuua upinzani wa nje yako ni mbolea ya kustawisha upinzani ndani yako ambao ni hatari zaidi, wakati uimara wa upinzani wa nje yako hustawisha Umoja ndani yako.” 🤔🤔


Miss Sintah Reposted

Unakuwa mpumbavu kabisa kwa sababu ya kulinda tumbo ? Hivi mlo wenu mboga ni ALMASI na ugali ni DHAHABU ? Kama ni vyakula vya kawaida mbona mnaweza kivimudu bila kuuza UTU?Nitawalea watoto wangu kuwa wapiganaji.Kuna tabia imezuka ya kuabudu watu kwa sababu ya mkate kuliko Mungu.


Miss Sintah Reposted

Bila shaka jana ulisikiliza Hotuba zote Mbili, ipi ni hotuba bora ya kufungia Mwaka? #Retweet kwa Tundu Lissu #Like kwa Rais

Tweet Image 1
Tweet Image 2

Miss Sintah Reposted

Mhe Rais kama kuna mambo yalikuwa yakifanyika awamu ya tano ukiwa Makamu wa Rais hukuyapenda na ulitamani kuyabadilisha kama ungekuwa Magufuli.Muda wako ni huu ACHA KULALAMIKA kiti hicho hujakaimu ni MAMLAKA KAMILI chukua hatua, kukaa kwako kimya ni KUHALALISHA. #FreeMbowe


Miss Sintah Reposted

Kwenu viongozi wa CCM na SERIKALI yenu, kama kuna MANENO yoyote mazuri juu YANGU na muyaongee SASA... Sio msubiri mpaka mtu AFE ndio mlete UNAFIKI kama mnavyofanya sasa kwa MAALIM SEIF... #FreeMbowe


Miss Sintah Reposted

Hoja nzito za mawakili wa upande wa utetezi, zahairisha kesi hadi kesho saa 3:00 asubuhi, baada ya Jaji kuomba apatiwe muda. #MboweSioGaidi #Retweet za heshima kwa jopo hili

Tweet Image 1

Miss Sintah Reposted

Tajiri akiumwa masikini atalipa hela kwenda kumuona/kumjulia hali,Masikini akiumwa atasubiri apone na kwenda kumwambia Tajiri kuwa alikua anaumwa.


Miss Sintah Reposted

Wakati mwingine tunapunguza mazungumzo na watu sio kwamba tumeanza kuwachukia, Ni kwa sababu wao wanatuona Sisi ni watu wa akiba kwao


Miss Sintah Reposted

Kiongozi yeyote asiyetetea haki ya wananchi kuchagua Viongozi wao na kutetea haki ya Viongozi kuchaguliwa kuliko kupita bila kupingwa , atakuwa amekosa sifa za kutetea AMANI. #HekimaZaBagonza #ChangeTanzania

Tweet Image 1

Miss Sintah Reposted

Tunawachukulia Poa watu wanaotuthamini halafu tunawathamini watu wanaotuchukulia Poa


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.