@NovYrab Profile picture

Bray 𝕏

@NovYrab

Football ⚽️|Technology⚙

Joined January 2023
Similar User
fezoo photo

@fezoomaster

Mr Kûwêzâ photo

@Mrkuweza_255

Kizoguy photo

@ErickAndySambwe

Maole Maole photo

@iAmMtui

Mchizi chizi kichizi photo

@mchizidamas

Mr MIYEYUSHO photo

@sijaonajr

kabape photo

@KabapeVinc82116

BigFish 🐬 photo

@godson_sahani

AVIATOR photo

@YesayaSamson

wakurungwa photo

@MayuyaTz

Rico photo

@ricompole

KLINTON RAJABU photo

@KlintonRaj15933

Ellyënzo pőpåélly🐐 photo

@enzopopa

Sulè photo

@suleiman_davd

Nillan jr photo

@NillanJr

Bray 𝕏 Reposted

Whether we like him or not, Mbwana Samatta is the best Tanzanian footballer of all time

Tweet Image 1

Bray 𝕏 Reposted

Bray 𝕏 Reposted

🧵 Wachezaji waliocheza michezo mingi timu ya Taifa ya Tanzania 🇹🇿. THREAD. . ⏳ Kwenye kila Taifa kuna takwimu ambazo zinajulikana wazi. Mfano kuna wachezaji wanao ongoza kwa magoli,assist etc. Hapa Nimekuwekea orodha ya wachezaji waliocheza mechi nyingi Taifa Stars.

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3

Bray 𝕏 Reposted

Sometimes kuliko kujifanya umeumia Sana na kupost hayo maswala ya k/koo ni Bora ukaushe Tu maana baadhi yenu mnaharib kabisa aisee 💔


Bray 𝕏 Reposted

#VIDEO Katika hali isiyo ya kawaida katika Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, Edward Futakamba Mkazi wa Kata ya Nsemulwa amewashangaza wengi baada ya kufanya sherehe ya harusi licha ya Bibi harusi kugoma kufunga ndoa hiyo. Edward aliyekuwa akiishi na Mwanamke aitwaye Marry na…


Bray 𝕏 Reposted

Week nyingine tunaamka bado hatujui alipo CHAULA. Kama unaiona taarifa hii naomba urepost. Vijana kwasasa hatupo salama, kuchukulia poa haya matukio ni kujichimbi kaburi mwenyewe. Maana siku yoyote yatakukuta, wewe au ndugu yako au jirani yako na sisi tutakuangalia tuu Repost

Tweet Image 1

Bray 𝕏 Reposted

Sipendi kabisa mijadala ya dini ila nadhani kama kuna sehemu mkoloni alifanikiwa kwa asilimia 100 Afrika ni kwenye dini. Yaani tunabaguana waziwazi


Bray 𝕏 Reposted

Hizi story za Manabii na Mitume tunazopewa kwa kiasi kikubwa tunadanganywa bwana. Hata kama zamani dunia ilikuwa tofauti kuna mahali na sisi tutumie akili zetu🙌


Bray 𝕏 Reposted

Inatamkwa kama operation ya uokozi yenye mbinu kali kuwahi kufanyika katika historia ya CIA. — Awali wengi waliuona kama mpango wa kijinga tu. — Walitakiwa kutoroshwa Wamarekani sita bila risasi hata moja kusikika. Wapitishwe katikati ya raia wa Iran wasiopungua elfu kumi bila…

Tweet Image 1

Bray 𝕏 Reposted

— Huyu hapa, kijana ambaye aliitetemesha dunia kwa kuivua nguo mifumo ya CIA, akiwa na miaka 15 tu! — Nyaraka zote ambazo wao waliamini ni za siri na hakuna wa kuweza kuzifikia, kijana alizifunua na kuzigeuza atakavyo. — Jina lake ni KANE GAMBLE (Tamka: Ken Gembo)... Na huu ni…

Tweet Image 1

Bray 𝕏 Reposted

Umekutana na WEHU wengi, lakini nina uhakika haujawahi kumsikia huyu jamaa... — Alipokuwa na umri wa miaka 9, aliichoma moto shule aliyokuwa akisoma. — Ukubwani alianzisha imani yake. Yeye akiwa ndiye MWOKOZI MKUU. Mafundisho yake yaliruhusu MADAWA na UASHERATI. — Hakukosa…

Tweet Image 1

Bray 𝕏 Reposted

Halopesa Mobile App UI-Redesigning 100% completed. Rate it out of 10.

Tweet Image 1

Bray 𝕏 Reposted

Machinga huyu amenyooka sana.


Bray 𝕏 Reposted

Feisal Anamtafuta Fei Toto


Bray 𝕏 Reposted

Nilipotekwa nilinufaika na sauti ya umma. Nakuhakikishia, @Sativa255 anahitaji sauti yako kuliko kawaida. Tunajali kwakuwa kila mtu ana haki ya kuwa salama. Na kuwa huru. #WhereIsSativa?

Tweet Image 1

Bray 𝕏 Reposted

Kabla haijawa mbaya naomba niongee pengine ntapata Msaada wa haraka jana jioni nilimtafuta Sativa sikumpata Sativa ana Simu 3 kati ya hizo moja tu ndo ambayo ilikuwa hewani Within Hours zote zikawa hazipatikani mi nilikuwa na route ya Dom nilivofika Moro ikabidi ni cancel…

Tweet Image 1

Bray 𝕏 Reposted

"Mtoto wetu wa miaka miwili alichezea bunduki, akamfyatua kwa bahati mbaya baba'ake na kumuua!" Haya maelezo aliyatoa Sharon Kinne. Mrembo ambaye alitoroka gerezani, akatafutwa kwa zaidi ya miaka hamsini sasa bila ya kupatikana. Wamexico walimuita LA PASTOLERA. Wakimaanisha…

Tweet Image 1

🙌🏽Brilliant

Anakupenda tena sana. Kinachomsumbua ni wivu. Mindset yake inamwambia hujapokea simu kwakua ukikua kwa mwanaume mwingine una cheat. Hiyo inasababishamwa na alishawahi kukuta au kuona dalili hizo kwako



Bray 𝕏 Reposted

Kuoa na kuto oa yote ni maamuzi Sahihi na magumu.


Bray 𝕏 Reposted

🚨CHIMBO..! CHIMBO..! CHIMBO..! Trouser za kitamba kwa Tsh. 8000/= tu. Trousers zmenyookaa🙌🏽🔥 Njoo uchague mwenyw ile kitu roho inapenda✊🏽😮‍💨 Contact; 068 766 3394 / +255 68 626 3181 Location; Karume Brewery. RT na wengine waone CHIMBO🙏🏽

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.