Master Mind
@pabloComputerThere is a lesson in everyone's life. Take the time to learn that lesson. https://t.co/Ftj1ITVmCA Isiah 1:6-10
Similar User
@MvuviMovies
@Richstartz
@ElimikaWikiendi
@usedpointTz
@nickyrabit
@TOTTechs
@HabariTech
@ally_ndimbo
@Swahiliestz
@DjTee255
@SanukaKidijital
@ITexpertTz
@AuxGrep
@nikombotech
@CipherdotM
Exited to be recognized as one of the most influential Tech content creators by Atoms and Bits, Huge thanks to everyone who's supported our Journey. Let's keep creating amazing tech contents together. 🚀
As a software developer, speed and accurate on typing its matter.. Learn to type without looking your keyboard.
VIJANA WANAUMIA NA KUPOTEZA HELA MINGI KWENYE AVIATOR, WAOKOENI, WAPENI USHAURI. USICHEZE AVIATOR USICHEZE AVIATOR USICHEZE AVIATOR USICHEZE AVIATOR
Media za bongo ifike pahala waweke segment ya maswala ya Tehama, ohh no hata TCRA wangetialia nguvu au wangeweka iwe ni sera kwa media kuwa segment ya tech, kuwe na wataalamu ambao watachambua tech in wide range in and out, cons and prons.. hii ingesaidia sana. @TOTTechs
WTF! If you notice, I always engage on my mutuals post. Many of you act like celebrities leave a comment here Repost, engage and follow each other 🔥
It's not easy to achieve the goal... Jenga tamaduni, ipe heshima hiyo tamaduni, itengengenezee sheria, iheshimu hiyo sheria, weka nidhamu kwenye vyote, kuwa mpole na mvumilivu. Itakuja kukupa unachostahili.
Jenga utamaduni wa kujifunza, gain skills, tak your skill as the way of solving people's problems. Share your progress to those who have experience than you to that field, accept ukosoaji, rekebisha makosa, endlea mbele. Mwiko kukata tamaa kwenye kujifunza.
Tumia muda kidogo kutazama hii clip, its all about keeping learning, consistency, and discipline.. ROCK, SCISSORS, PAPER GAME. JS, HTML, CSS, Just a lower version... kipi kinakufanya wewe ushindwe. Let's pull up
𝐒𝐦𝐚𝐫𝐭𝐇𝐌𝐈𝐒 𝐯𝟏.𝟎 A hospital and clinic management software that allows you to run your core financial, clinical, and operational processes with ease and precision. All the workings of an efficient hospital without the hassle of manual paper work.
Sipo hapa kuchafua hizi kampuni za mikopo, ila ninawatahadharisha kuweni nazo makini. Kuna kampuni zingine wana kupigia kukuomb ukope, alaf ukikopa umejaa kweny mfumo.
Mijitu kama hii ndio huwaribu fani za watu, how is it possible mtu unajifunza coding while huna hata basic ya mamb ynavyokwenda? Hapa ndio unampa mtu kazi ya website design and development wakat hata maswala ya DNS, HTTPS, SECURITY, SEO HAJUI HATA KIMOJA.. huyu kaskip step.
Programming, designing, Networking, security and all related IT skills zinahitaji safari ili kufikia malengo. Weka pesa, mda, malengo, penda unachofanya. Kuwaambia vijana watakuwa experts ndani ya miezi 2/3 mnawadanganya sana. Vijana wanajiona wanajua wakipewa kazi wanaharibu
Dear son, A horny man can lose everything in a day. 1 minute of lust can ruin your whole life. Success requires sexual discipline. Control your sexual urges to win in life.
Kama unataka kujifunza maswala software development nakadhalika ila haswa upande wa code, jifunze kupractice, haijalishi upo chuo au self-taught, learn to even small projects, this will leads you to become more effectively and experiences new challenges on what you learn
Skills >>> Qualifications/Certificates
Usiogope kuna kampuni zinaajir self-taught... they don't require your degree or any college certificate, just your high skills on helping them to achieve what they've been planned.
Bro before you dive in coding.. Jifunza basic ya programming language theory kabla huja choose language ya kuanza nayo, why? Kuna theory ziko background unapaswa uzifahamu, kama vile how programming language work with a computer, algorithm, language levels n.k Usiruke kitu.
United States Trends
- 1. Cowboys 48,7 B posts
- 2. #WWERaw 56,3 B posts
- 3. Cooper Rush 8.645 posts
- 4. Texans 59,4 B posts
- 5. Pulisic 16,9 B posts
- 6. Mixon 12,2 B posts
- 7. Aubrey 15 B posts
- 8. #USMNT 3.139 posts
- 9. #HOUvsDAL 6.692 posts
- 10. Turpin 2.996 posts
- 11. #AskShadow 5.798 posts
- 12. Trey Lance 1.503 posts
- 13. Bruins 4.925 posts
- 14. Jake Ferguson 1.415 posts
- 15. Bray 3.891 posts
- 16. #90dayfiancetheotherway 1.860 posts
- 17. Mike McCarthy 1.251 posts
- 18. Derek Barnett N/A
- 19. Zach Lavine 2.045 posts
- 20. CeeDee 3.490 posts
Who to follow
-
MVUVI MOVIES 🍿
@MvuviMovies -
Richstar
@Richstartz -
#ElimikaWikiendi
@ElimikaWikiendi -
Used Point
@usedpointTz -
nickyrabit
@nickyrabit -
#TOTTechs
@TOTTechs -
HabariTech
@HabariTech -
Ayeem Ndimbo
@ally_ndimbo -
Swahilies
@Swahiliestz -
DjTee255
@DjTee255 -
SANUKA KIDIJITALI INITIATIVE
@SanukaKidijital -
MvuviTech🔌
@ITexpertTz -
ps-aux-grep root
@AuxGrep -
Nikombo Tech
@nikombotech -
Cipherdot Series And Movies✍️
@CipherdotM
Something went wrong.
Something went wrong.