swalehe mtumbatu NIETZSCHE
@Nietzsche_S_R_M🅳🅰🆂🅴🅸🅽: a being-immersed-in-the-🌍//a philosopher//a linguist// a library addict📚 A neo-Kantian moralist, A Platonic idealist, A Corpenicus astronomist
Similar User
@jumadayday
@Erick_GalaxyKey
@Alkam82877024
@Godwin42268987
@Silvanusmumba
@DenyceJr
@Silumbu2
@kimabaibui
@DavidMAmos2
@BabaGiannes313
@lavuboy
@guchibanda
@Litalakimura
@gamamkabulu
@felixjr__
We don't choose ᵀᴼ ᵀᴴᴵᴺᴷ, but we choose ᵂᴴᴬᵀ ᵀᴼ ᵀᴴᴵᴺᴷ ᴬᴮᴼᵁᵀ, ᴺᴱᵛᴱᴿ ignore the power ᵀᴼ ᶜᴴᴼᴼˢᴱ ᵂᴴᴬᵀ ᵀᴼ ᵀᴴᴵᴺᴷ ᴬᴮᴼᵁᵀ.
Dunia inabadilika kwa kasi sana saivi, vilele vya milima vinapotea, ardhi inapoteza rutuba, jangwa linaongezeka kwa kasi, mafuriko yanaharibu kilimo, ajira asilia zinapotea kwa kasi! Tumshike bwana 'Elimu', huyu ndo mtaji pekee tutakaobaki nao baada ya mabadiliko haya yote!
Kwa kila unachopost kwenye social networks kina madhara yake wakati ukifika. Umri ni kama saa yenye autobattery, hausimami! Picha za nusu uchi, kauli za matusi na kudharau akina dada, malipo yake ni makubwa mno, muda utazungumza! Ipo siku utahitaji heshima lakini hutoipata!
🎥 Mwaka.. 2006 MEL GIBSON Alituletea Muvi Kali Sana Iitwayo APOCALYPTO. Muvi Hii Ilishutiwa Nchini Mexico Na Wahusika Aliowatumia MEL GIBSON Ni Wazawa Wa Asili Ya America (Indians) Na Lugha Iliotumia Ikawa Sio English Bali,
MOBUTU SESE SEKO KUKU NGBENDU WA ZA BANGA. Aliishi kuanzia 14.10.1930 mpaka 07.09 1997. Alikua mwanasiasa, aliwahi kua Afisa wa juu wa jeshi pia aliwahi kuwa Raisi wa Taifa la Zaire enzi hizo ambalo kwa sasa linaitwa Congo mwaka 1965- 1997.
Uzi upo vizuri kaka🙌🏾
Rome haikujengwa kwa siku moja, vitu vizuri vinahitaji muda na uvumilivu. Hakuna njia fupi kwa mafinikio ya muda mrefu, Stay focused, be humble, work hard, work smart, THE RIGHT SUCCESS WILL FINALLY LAND ON YOUR ARMS🙌🏾
"Ni bora kuonewa wivu kuliko kuonewa huruma" Dorotus Fanya maamuzi sahihi kuhusu maisha yako! Huruma ni hisani ya wenye mafanikio, wivu ni utajiri wa maskini!
Dunia ina watu wa aina mbili tu: wajinga na welevu. Wajinga wana uhakika kwa kila jambo wakati welevu hawana uhakika na jambo lolote! Wajinga hufanya kila jambo, welevu hawafanyi jambo lolote! Wajinga huumia kwa ujinga wao, welevu huumia kwa mashaka yao!
United States Trends
- 1. #OnlyKash 45,4 B posts
- 2. $MCADE 1.589 posts
- 3. Jaguar 55,8 B posts
- 4. Sweeney 10,8 B posts
- 5. Jose Siri 1.918 posts
- 6. $GARY 1.707 posts
- 7. Jim Montgomery 3.184 posts
- 8. Nancy Mace 76,1 B posts
- 9. Joe Douglas 11,6 B posts
- 10. $MOOCAT 2.042 posts
- 11. Starship 148 B posts
- 12. Monty 10,4 B posts
- 13. Bader 3.937 posts
- 14. Dr. Mehmet Oz 4.364 posts
- 15. Dr. Phil 7.586 posts
- 16. Embiid 24,2 B posts
- 17. Medicaid Services 10,3 B posts
- 18. Rodgers 13,9 B posts
- 19. Jets 43,4 B posts
- 20. Maxey 16,4 B posts
Who to follow
-
Jay
@jumadayday -
Erick Key 🗝️
@Erick_GalaxyKey -
Alkam
@Alkam82877024 -
masai
@Godwin42268987 -
DR. Mumba
@Silvanusmumba -
D e n n i s. L. M.
@DenyceJr -
forex tz
@Silumbu2 -
bingwa
@kimabaibui -
David M.Amos
@DavidMAmos2 -
Mashalla Charles
@BabaGiannes313 -
chi ze don
@lavuboy -
Mr. Guchibanda (Senator)
@guchibanda -
marwa
@Litalakimura -
Gama🇹🇿
@gamamkabulu -
F e l i x
@felixjr__
Something went wrong.
Something went wrong.