Nice Gisunte
@Nice_Gisunte๐ ๐ต๐ฎ๐๐ถ๐ป๐ถ ๐๐ฎ๐๐ถ๐ฐ๐ต๐ฎ ๐ง๐ฎ๐ถ๐ณ๐ฎ | ๐๐ถ๐๐ฎ๐ป๐ถ ๐๐ฎ๐๐ฎ ๐๐ฎ ๐๐ถ๐๐๐ป๐ฑ๐ฎ (๐๐น๐ฎ๐น๐ฎ - ๐๐ฆ๐ ) ๐ฎ๐ฌ๐ญ๐ฑ-๐ฎ๐ฌ๐ฎ๐ฌ.
Similar User
@DevotaMinja
@Nuru_Ndosi
@BavichaQueens
@Zacharia_Obada
@ASikagonamo
@ChasoIringa
@LightMadame
@kevin_ndabila
@AishaSMadoga
@RoseMakei
@Rubibi_idrisa
@ChademaHai
@JamesMbowe4
@phillykiu
@YohanaKaunya
Katika dakika 19 nilizopewa, Dakika 8 nilitumia kuwasilisha. Dakika 8 alitumia Mwenyekiti wa Kamati kunikatisha. Dakika 3 waliitumia wabunge kunikatisha. Watawala hawapendi kusikia mawazo tofauti na matakwa yao. Wananchi tuamke kwa nguvu yetu ya umma kuikataa miswada hiiโฆ
Wagombea wanawake katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Ilala Mmethubutu, mnaweza, mtashinda, msiogope. Asanteni sana kwa mwitikio mkubwa, najivunia kuwa mwenyekiti wa Bawacha Mkoa Ilala maana nyuma yangu nina Jeshi Kubwa.
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani Mhe @ExMayorUbungo atakuwa mgeni rasmi katika kongamano la wagombea wanawake katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mkoa wa Ilala. Viongozi wote wa Bawacha na wagombea toka Mitaa 159, Kata 37, majimbo 3 tutakutana. #WanawakeChimbukoLaMaendeleo
Bawacha Mkoa wa Ilala Jumamosi tarehe 16/11/2024 tuna jambo letu, tutakuwa na mafunzo kwa wagombea wanawake wa Wilaya za Segerea, Ukonga na Ilala zinazounda Mkoa wa Ilala.
Bawacha Ukonga tumesimamisha wagombea wanawake katika maeneo yote ambayo Chama kimesimamisha wagombea.
Happy birthday binti yangu Monica โค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธ
Bado kuandikisha majina feki na watoto wa shule chini ya umri - haikutosha - @ccm_tanzania inaogopa mnooo upinzani. Kwa nini hamjiamini?
So Rais Samia kupitia mkweo Waziri wa @ortamisemitz mkatumia pesa za walipakod wa ๐น๐ฟ kuandikisha mpaka marehemu na watoto wa shule under 18 ili mwisho wa siku mje kuengua wagombea wote wa Chadema? Nyie si mnasemaga kwamba mnakubalika inakuaje mnaogopa Uchaguzi? Shame on you๐ฎ
Kesho Jumamosi, novemba09, 2024. Nitaongoza maandamano ya amani na yasiyo na kikomo, kupinga Wagombea wetu wa CHADEMA kuenguliwa kihuni Shinyanga mjini. Na natangaza kwenye kata, Jimbo au wilaya ambayo wamewaengua wagombea kihuni, kufanya maandamano ya amani, mchana au usikuโฆ
Hili la kuenguliwa wagombea wa upinzani ni upumbavu, kwamba wagombea wa upinzani ndio hawana akili tu za kujaza fomu?
Taifa linaendelea kushuhudia kwa njia mbalimbali ubakaji mkubwa wa demokrasia kwenye uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji. Wasimamizi wa "uchafuzi" huu wamekiuka kwa kiwango kikubwa hata kanuni na miongozo mibovu iliyotengenezwa kwa makusudi na hivyo kuwekaโฆ
"Uchaguzi ni vita, pambaneni kuhakikisha hakuna kura inapotea, hakuna kura inaibiwa." Mhe. @freemanmbowetz
. @JerrySilaa umezungumza kama kiumbe aliyekatwa kichwa. Haipendezi mtu ambaye tunaelezwa kwamba amehudhuria shule na hata kusoma masuala ya sheria kushangilia haki za watu kuishi zinapo-porwa. Kwamba Mzee Ali Mohammed Kibao (65) hakutekwa na watu wenye bunduki? Mzee Kibaoโฆ
Mwenzenu kwa ushamba wangu wa Kinyakyusa nilifikiri wakati kama huu kwa Taifa letu likiwa na Rais @SuluhuSamia kama mama na mwanamke wa kwanza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Isingewezekana kabisa mwanamke mwenzie yeyote kutoka popote ndani ya Tanzania kuumizwa,โฆ
Namna ambavyo kiongozi wetu wa Chama kata ya Msongola, Jimbo la Ukonga, alivyopigwa na viongozi wa CCM karibu na kituo cha kuandikisha wapiga kura, alipokuwa akiwazua kuandikisha majina ya wananchi wanaofika kituoni kujiandikisha kwa kuwadanganya kuwa wao ndio waandikishaji.
"Kama hujajiandikisha kupiga kura tafadhali nakuomba, nakuomba hakikisha umejiandikisha kupiga kura kwa sababu usipojiandikisha hautakuwa na msaada wowote katika haya mapambano yanayokuja." Mhe. Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti Bara.
Nikiwa kama Mwenyekiti wa Bawacha Mkoa wa Ilala leo Oktoba 15, 2024 nimefanya ziara katika jimbo la ukonga kufuatilia zoezi la uandikishaji wa wapiga kura katika daftari la wakazi. Tumebaini wanafunzi wanaandikishwa kwenye daftari la wapiga kura kwa shinikizo la wakuu wa shule.
United States Trends
- 1. $CATEX N/A
- 2. $CUTO 7.487 posts
- 3. #collegegameday 2.182 posts
- 4. $XDC 1.383 posts
- 5. DeFi 105ย B posts
- 6. #Caturday 7.757 posts
- 7. Henry Silver N/A
- 8. Jayce 81,5ย B posts
- 9. #saturdaymorning 3.110 posts
- 10. Good Saturday 36,5ย B posts
- 11. #Arcane 301ย B posts
- 12. #MSIxSTALKER2 5.998 posts
- 13. Renji 3.731 posts
- 14. Senior Day 2.904 posts
- 15. Pence 85,3ย B posts
- 16. Fritz 8.659 posts
- 17. Cavuto N/A
- 18. Zverev 6.991 posts
- 19. Fishers N/A
- 20. Tyquan Thornton N/A
Who to follow
-
Devota Minja
@DevotaMinja -
Nuru Ndosi
@Nuru_Ndosi -
Bavicha Queens
@BavichaQueens -
Zacharia Thomas Obad
@Zacharia_Obada -
Ayubu Sikagonamo/ freeman
@ASikagonamo -
CHASO IRINGA
@ChasoIringa -
Rachel P. Mkadala
@LightMadame -
Kevin Ndabila
@kevin_ndabila -
Aisha Saleh Madoga
@AishaSMadoga -
Rose Moshi Makei
@RoseMakei -
Idrisa Kassim Rubibi
@Rubibi_idrisa -
CHADEMA Jimbo la Hai
@ChademaHai -
James Mbowe
@JamesMbowe4 -
Philipo Kirumba
@phillykiu -
Yohana Kaunya
@YohanaKaunya
Something went wrong.
Something went wrong.