@Mwanaharakati__ Profile picture

Mkuu wa Shule

@Mwanaharakati__

Brother, Father, Patriot✌️

Similar User
Devota Minja photo

@DevotaMinja

Bob Chacha Wangwe photo

@BobWangwe

Shekh Ponda Issa Ponda photo

@SheikhPonda

Adv. Dickson Matata photo

@AdvMatata

James Mbowe photo

@JamesMbowe4

Deogratias Mahinyila photo

@AdvMahinyila

Talanta Mhanga photo

@MhangaTalanta

Pascal Yohana Haonga photo

@HaongaHon

TANGANYIKA TELEVISION photo

@TAnganyikaTele

Hilmi Hilal photo

@HilmiHilal88

Baba Mwita photo

@BabaMwita

Lembrus Mchome photo

@LembrusMchome

Rose Mayemba photo

@rose_mayemba

Bruce Cuthbert Mnyakwibata photo

@Mnyakwibat

𝐀𝐩𝐨𝐥𝐥𝐨 photo

@Apollo_Boniface

Pinned

Hii Nchi ikipata Watanzania wazalendo aina yako Shangazi, tutafika mbali! But I see the spirit emerging in many Tanzanians through what they tweet. Asiwepo mmoja wetu atakayekubali kununuliwa tena, kusaliti mapambano zaidi tuendelee kuwaelimisha Watu kwa nguvu zaidi 💪💪✌️✌️


Mkuu wa Shule Reposted

Kanda ya Pwani yenye mikoa ya Dar es salaam na Pwani, jumla ya wagombea wa CHADEMA walioenguliwa walikuwa 1,306. Na jumla ya wagombea wa CHADEMA Kanda ya Pwani 1,306 walikata rufaa zao kwa Kamati za rufaa za wilaya Jumla ya rufaa 44 tu ndiyo zilizokubaliwa tena 90% zenyewe…

Tweet Image 1

Mkuu wa Shule Reposted

The woman who respects you the most Loves you the most.


Mkuu wa Shule Reposted

Onesmo, ndugu zako Maasai hawataki kugombea kupitia CHADEMA. Wanaogopa. Wanatishiwa maisha. Kama ambavyo wewe unaogopa kuwepo CHADEMA kwa kuwa utapoteza biashara zako zote, ndivyo wengine wengi wanaogopa. Tunapata changamoto sana kufanya siasa. CCM mmeziharibu siasa zetu sana.


Mkuu wa Shule Reposted

Look at you idiots: Watekaji ni vijana wenu mnaowatumia ktk oparesheni zenu za kihalifu. Hakuna kitu mtawafanya. Hilo tukio na mengine hamuwezi kuyachunguza kando ya kuchukua hatua. Ndio maana tunahitaji mamlaka huru ya kukushughulikieni. Jeshi la vibaka na wahuni.

Polisi yaanza Uchunguzi wa picha mjongeo inayoonesha Watu wakijaribu kumkamata na kujaribu kumwingiza Kwa nguvu Ndani ya gari Bw. DEOGRATIUS TARIMO ambaye ni Mfanyabiashara na Mkazi wa Kibaha Pwani.

Tweet Image 1


Mkuu wa Shule Reposted

Hakuna Polisi atateka raia mchana kweupe bila idhini ya serikali. Wanapata ujasiri kutoka kwa serikali. Ndio maana Utekaji ni kawaida mpya TZ. Inaogofya, tutaumia, ila umma utashinda.


Mkuu wa Shule Reposted

VIDEO: "Tumekuja kutoa taarifa Bungeni kwamba Mbunge wetu hayuko peke yake, sisi tunamuunga mkono.hata alipozungumza Bungeni kimetafutwa kipengele kidogo tu katamka neno 'Kodi' badala ya 'Tozo' basi limeshupaliwa mpaka limeonekana ni kama mtu anaangaliwa sasa kama adui.”…


JWTZ wajifunze waache kutumika kama toilet paper @IAMartin_ @MariaSTsehai @HecheJohn

BREAKING!!!! It’s official, the Mozambique Army is Supporting and protecting the People. #MozambiqueProtests



Mkuu wa Shule Reposted

Ahmed Ally anajua sana kuchamgamsha soka letu. Asubuhi hii atakuwa kwenye Kijiwe cha kahawa Stesheni Posta. Ahmed Ally atakuwa anasoma Msimamo wa ligi kuu pia atasoma vichwa vya habari vya magazeti na ataenda na TV kubwa kuonesha Magoli ya Tabora United.

Tweet Image 1

Mkuu wa Shule Reposted

Taifa linaendelea kushuhudia kwa njia mbalimbali ubakaji mkubwa wa demokrasia kwenye uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji. Wasimamizi wa "uchafuzi" huu wamekiuka kwa kiwango kikubwa hata kanuni na miongozo mibovu iliyotengenezwa kwa makusudi na hivyo kuweka…


Mkuu wa Shule Reposted

Nimewafukuza TAKUKURU ktk mkutano wa semina ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ninayoifanya leo hapa Arusha Mjini na wagombea wote wa Chama chetu. Nimewaambia waondoke mara moja wakashughulike kwanza na majina feki ya marehemu na watoto yaliyoingizwa ktk madaftari ya uandikishaji…


Mkuu wa Shule Reposted

“Nita wafurusha wote wafuasi wa Hamasi Hapa America hatutaki ujinga, Kama hupendi Israel iwepo basi nasi hatukupendi nchini Marekani, hatuna mchezo juu ya Hilo” CHUMA AMESEMA


Mkuu wa Shule Reposted

“CCM wataamua wenyewe, uchaguzi uwepo au usiwepo. CHADEMA tumejiandaa vyovyote CCM watakavyo. CCM wakitaka tufanye uchaguzi tutawasaidia uchaguzi ufanyike. CCM wakitaka kuharibu uchaguzi, tutawasaidia kuharibu uchaguzi” - Boniface Jacob, Mwenyekiti CHADEMA - Kanda ya Pwani.


Mkuu wa Shule Reposted

Tanzanians have only one request to @realDonaldTrump - kindly bring back @mikepompeo as Secrrtary of State 😂 Kiboko ya madhulmat CCM 😂 We have unfinished business💥

Tweet Image 1
Tweet Image 2

Mkuu wa Shule Reposted

The IDU extends our best wishes to President @realDonaldTrump and Senator @JDVance in today’s U.S. Presidential Election. The Republican Party has been at the heart of our global centre-right political alliance since our founding in 1983 by President Ronald Reagan. This…

Tweet Image 1

Mkuu wa Shule Reposted

"Uchaguzi wa serikali za mitaa ni zoezi la kiraia, ni fursa ya kidemokrasia, lakini zoezi hilo ni lazima litekelezwe kwa uadilifu, kwa uzalendo na kwa uaminifu, ni Sala yetu kwamba kama zoezi la kupata viongozi wa serikali za mitaa raia wenye haki ya kupiga kura wapate fursa ya…

Tweet Image 1

Mkuu wa Shule Reposted

Mama anajua umeropoka mahali kuwa lazima mgombea atoke bara ?

Tweet Image 1

Mkuu wa Shule Reposted

Mtoto Antony wa Kagera ali trend 2018 baada ya kutaka kumfikisha baba yake Polisi kwa kutaka kuuza ardhi pekee ya familia. Issihaka Msuya akaguswa na Ujasiri wa Antony akajitolea kumsomesha English Medium Kilimanjaro. Sasa Antony amehitimu darasa la 7 na amepata “A”masomo yote.

Tweet Image 1

Mkuu wa Shule Reposted

Anaitwa BARNABAS MWANDENUKA ni msomi wa chuo KIKUU, anagombea UENYEKITI wa mtaa wa KIVUKONI kupitia CHADEMA.,Mtaa wenye IKULU . Tangu juzi msimamizi anamsumbua anataka kujua nyumba anayoishi. Sasa kuna watu wasioeleweka wamekua wakimfuatilia kila anakokwenda. Nafikiri nmeeleweka

Tweet Image 1

Mkuu wa Shule Reposted

Hauwezi kuteka na kupoteza vijana 6 ndani ya mwezi mmoja ikaonekana ni sawa tu. No, you are extremely insecure, incompetent and an evil soul, @SuluhuSamia Waachie Deus Soka na wenzake usiku huu. Hatuwezi kuweka rehani Uhai wetu sababu ya ulafi wako wa madaraka. Imetosha.


Mkuu wa Shule Reposted

❤️ Thank you We are now 1.3 million strong ✊🏽 Here’s to making our world a better place for all 🥂 Tupo pamoja 🌍 Tutambuane wapambanaji let’s follow each other 🔥 #KatibaMpya #TutaelewanaTu

Tweet Image 1

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.