Similar User
@JastineStansla2
@DanielHumbe1
@MakwayaZuber
Kwa kweli askari wasio na Uniforms watapata taabu saana @tanpol
Usikubali kukamatwa na Mtu; 1. Kavaa kiraia 2. Gari halina No. au No za kiraia 3. Watu ambao hawajatoa vitambulisho 4. Watu wasiokwambia kosa lako na kwamba uko chini ya ulinzi. 5. Watu wasio na hati ya ukamataji!! Pambana kama Big Tarimo!! —— Wakili Jebra Kambole (…
Afya Tips Ya Leo Juice 🥤 ya Wakubwa Ingredients 1. Asali 🍯 2. Almonds Seeds 3. Mbega za Maboga 4. Korosho 5. Karanga Mbichi 6. Tende 7. Nazi 8. Ndizi mbivu 9. Maziwa 🥛 Changanya Kwenye Blenda Ili Kuweza Kupata Mchanganyo Mzito Kunywa Glass Moja Ya Mchanganyo…
Waungwana naombeni RT’s zenu hapa, mteja wa mdogo wangu anaweza kuwepo kwenye TL yako. Thank you. 🙏🏻
Duh!!!! haya yanatokea Tanzania kweli @JonMrema mamaa @SuluhuSamia
POLISI WATEKA WAFANYABIASHARA NA KUPORA FEDHA: TUME ILIYOUNDWA MAPENDEKEZO YAKE YAPUUZWA ! Jeshi la Polisi wilayani Mbarali Mkoani Mbeya limewateka na kupora mamilioni ya fedha wakulima wawili ambao pia ni wafanyabiashara wa mpunga katika kijiji cha Ubaruku. Tukio hilo…
Homeraa atatoa order tenaa wafikishwe mahakamani duh!! hii nchi ngumu saana
#SamiaMustGo Baada ya Serikali ya Samia kuteka watu&kumuua Mzee Ally, Bawacha wameanza rasmi Operation ya Choma vitenge vya Samia NB. Rais Samia aliwapa vitenge hivi Wanawake wa Chadema waliohudhuria Siku ya Mwanamke Dunian iliyofanyika Moshi 2023 ambapo yeye alikuwa mgen rasmi
HAYA NDIO MAKABILA 125 YA TANZANIA Chagua yako 1. Waalagwa (pia wanaitwa Wasi) 2. Waakiek 3. Wameru 4. Waassa 5. Wabarabaig (pia wanaitwa Wamang’ati) 6. Wabembe 7. Wabena 8. Wabende 9. Wabondei 10. Wabungu (au Wawungu) 11. Waburunge 12. Wachagga 13. Wadatoga 14. Wadhaiso 15.…
Sitawafunza vyote ila hapa nawaibia hii wakuu. 👇🏾
hawa ahadzabe nawakubali saana @ortamisemitz hongera saana kwa mkurugenzi hakikisha unapeleka ngombe hata 3 maana wanakulaga nyama mbichi hao
JAMII YA WAHADZABE WAAHIDI KUJITOKEZA KWA WINGI KUSHIRIKI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA Jamii ya Wahadzabe na Wagatoga ni moja kati ya makabila machache yaliyobaki kote duniani yanayoendeleza utamaduni wa kale, ikiwa ni pamoja na shughuli za uwindaji na maisha ya kula matunda,…
Weweee mbowe na Lissu wasipoongea wewe kama @Vicent_Kassala
Mara ya mwisho mbowe kuongea na Lissu ni lini? Kwa taarifa yako ni kwamba hawaongei mwezi unaenda wa tano huu. Shauri yenu.
Boss fighting spirit yetu ipo juu saaana @moodewji hongeraaa saana mkuu endeleaa kuweka mpungaa tufike mbaaaali saaaana
Tumepitia miaka michache migumu Simba, lakini ushindi wa leo umenifurahisha sana. Vijana ni wapya na wachanga lakini wamepigana kwa moyo wao wote. Simba Nguvu Moja! 🦁💪🏽 📷 tygadurel
Mh Rais mama @SuluhuSamia sisi husema UKUBWA ni JALALA @ChademaTz wafanye maandamano ya amani na POLICE waimarishe ulinzi kwao kama ulivyofanya hapo awali,kizuia maandamano kwa nguvu kutachafua taswira ya demokrasia TANZANIA,na baadhi ya watu wanataka hivyo huo ni mtego MAMA.
Nimesikiliza CLIP ya Dr slaa nikagundua Yale ni maigizo,kama watu walipanga njama kwanini hawakuchukuliwa hatua za kisheria?
Police wafuate sheria za ukamataji laasivyo watahatarisha USALAMA wao
police wa kituo cha magomeni wamefika kkoo muda huu wakataka kuondoka na mtuhumiwa wakaulizwa kesi yake nini awasemi arab namba awana wananchi wamegoma askari kuodoka na mtuhumiwa uyo aliye vaa kofia ndio askari na mwenzake uyo mweupe aliye simama ukutani
Shikamoo mama na Rais wangu @SuluhuSamia Mimi nilidhani mama utasema wanaotuhumiwa wakae pembeni kupisha uchunguzi,bila kuwa na uchunguzi huru haya matukio hayatokoma.na hawatoacha kuita majima mabaya serikali yetu.
“Kifo cha ndugu yetu Kibao kimeibua wimbi kubwa kulaani, kusikitika, kulaumu, kuita serikali ya wauaji, hii sio sawa. Kifo ni kifo, na hatupaswi kupuuza damu ya Mtanzania” Rais ameongeza kwa kusema, “Kifo ni kifo, tunachotakiwa kufanya Watanzania wote tukemee mambo haya, damu ya…
Aliyevifuta hivyo VIJIJI ni nani? @ortamisemitz @PMadeleka
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais, Tawala za mikoa na serikali za Mitaa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa ametangaza kuwa jumla ya vijiji 12, 333, mitaa 4,269 na vitongoji 64, 274 vitashiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024. Akizungumza jijini Arusha…
Duh!!!! Muheshimiwaa @jgwajima @Bgwajima Ungemfufua na haya MAGUFULI kama kweli unauwezo wa kufufuaa,pia ungepita MOCHWARI zote na kufanya zoezi hilo.
Ni HAKI yako kufikiri unavyotaka kuhusu VIDEO hiyo hapo 👇.
Wakuu huyu bwana @Benji_Fernandes ni mtu muhimu saaana,ameifanya Tanzania kuingia kwenye ramani ya DUNIA kwenye issue ya miamala ya simu Congratulations kwake.tumfollow kwa wingi saaana ili na TANZANIA iweze kutuma pesa marekani na nchi zingine kupitia @NALAmoney
Surprising my mom for her birthday ❤️
United States Trends
- 1. #OnlyKash 60,4 B posts
- 2. Starship 202 B posts
- 3. Jaguar 64,8 B posts
- 4. Celtics 18,4 B posts
- 5. Nancy Mace 90 B posts
- 6. Sweeney 12,2 B posts
- 7. SpaceX 218 B posts
- 8. Medicare and Medicaid 26,2 B posts
- 9. Jose Siri 2.947 posts
- 10. Jim Montgomery 4.226 posts
- 11. Dr. Phil 8.747 posts
- 12. Stephen Vogt 1.786 posts
- 13. Linda McMahon 4.119 posts
- 14. $MCADE 1.379 posts
- 15. Dr. Mehmet Oz 8.462 posts
- 16. #LightningStrikes N/A
- 17. Monty 11,5 B posts
- 18. Cenk 15,5 B posts
- 19. #SpiteMoney N/A
- 20. Lichtman 1.657 posts
Something went wrong.
Something went wrong.