Ms Makia
@Ms_makiaJifunze kugawa upendo, chuki hushinda kwa muda mfupi sana.✍️
Similar User
@deebarbershop
@ShivoTz
@darnewstv
@balozi123
@nasrah_cutie
@Coder_Shedrack
@cooL3sT_kid14
@erry1506
@mwanibese
@jckyTheBon
@officialFatma98
@mimi__sam
@Gachiie_
@Mpemba77
@Shakir_a1
Vijana wafata mkumbo wapo Bar muda huu, wanalewa na pesa ya mwenye Nyumba.... 😂
Kwa hiyo unadhani ukipata hela ndio utadumu kwenye mapenzi? Aya sawa🤝
Tuliaminishwa tukaamini, ni ngumu sana kuvunja imani yetu hata wale walio tuaminisha wameshindwa tusiamini tena.. IMANI🚶🏿♂️🚶🏿♂️🚶🏿♂️🙌
Hata kama Natokea Singida ndo mtu anitumie hii keki ya Punda kweli....😂😂
Hata Vichaa wanapendeza siku hiz kuweni makini katika kuchagua watu wa kudate Nao.🙁
Unapaswa Kujiongelea Mambo Haya Kila Siku.✍ 1. Nami Naweza. 2. Kesho yangu ni Nzuri 3. Siwezi Kumridhisha Kila Mtu 4. Lazima Malengo Yangu Yatimie 5. Mimi ni Wa thamani 6. Sikuja Dukani kwa Bahati Mbaya. 7. Naweza Kufanya zaidi ya Hapaa. Jinenee Hayaa Kila siku..🙏
Sema Poa tu.. Mimi sitamrudishia mtu nitakaa nayo. 😂😂
Matatizo humsogeza mwanadamu karibu na Mungu kwa moyo mweupe usio na unafiki📌
Shida ya watu walio Single hata wao hawatakani 💔😂
Sema Yanga anaonea sana vitimu vidogo asiombe Siku Akutane na Simba.
Tabia zitakazo kuua taratibu Kulala kidogo/kulala sana. Kutumia dawa kupita kiasi. Kukweka mazoezi. Ukosefu wa shughuli za kijamii. Kufanya kazi kupita kiasi. Kutopumzika. Mahusiano yasiyo na future. Kufikiri hasi. Kutumia kabla ya kupata. Unywaji pombe kupita kiasi. Uchokozi.
Unajua hii timu ya viwa vijeshii inatishia amanii sana hapa bongo ipo siku watu wataipenda tu kama hap sisiemu 😂😂 Mbele daima nyuma ni mwiko💚💛 🔥
Kila kiumbe kinacho ishi kwenye mazingira yanayo kuzunguka, kina umuhimu wake.
Maybe Alikuwa Mbali na Simu Jaribu Kumpigia Tena Wenda Akapokea.
United States Trends
- 1. Good Monday 38 B posts
- 2. Carti 44,1 B posts
- 3. #MARK_Fraktsiya 231 B posts
- 4. #MARKxYOUNGJI_Fraktsiya 95,1 B posts
- 5. Sam Howell 6.110 posts
- 6. Geno 18,1 B posts
- 7. Mona Lisa 36,1 B posts
- 8. Packers 56,6 B posts
- 9. Acheron 6.014 posts
- 10. #BaddiesMidwest 14,2 B posts
- 11. Alex Bruesewitz 9.416 posts
- 12. Trump 2028 6.801 posts
- 13. Seahawks 34,8 B posts
- 14. Burna 27 B posts
- 15. #GoPackGo 9.747 posts
- 16. Klay 13,6 B posts
- 17. Pred 10,7 B posts
- 18. Yellowstone 11,9 B posts
- 19. Hazuki 9.391 posts
- 20. Weeknd 16,1 B posts
Who to follow
-
deebarber shop
@deebarbershop -
shivo tz 💊
@ShivoTz -
DARNEWS TV
@darnewstv -
𝐛𝐚𝐥𝐨𝐳𝐢👉🏻🇹🇿
@balozi123 -
Nasra_cutie
@nasrah_cutie -
Stranger Things
@Coder_Shedrack -
UTO VS TABORA ( 1 - 3 )
@cooL3sT_kid14 -
ERRY
@erry1506 -
Dada Mkuu
@mwanibese -
Jçķý
@jckyTheBon -
miss fatma💅
@officialFatma98 -
I'm a drug to a few 🍁
@mimi__sam -
Gachie
@Gachiie_ -
MPEMBA HALISI🤫
@Mpemba77 -
Essay Help Assignment Help Homework help
@Shakir_a1
Something went wrong.
Something went wrong.