@MinaTzTz Profile picture

Mina

@MinaTzTz

Joined April 2021
Similar User
Elisha yakobo magele photo

@elishayakobo1

Cole Pfeiffer photo

@viny_el_chapo

BLONDED photo

@yhy_kp

JINSI YA KUPATA FOLLOWER TWITER 👉 Kwanza heshimu twiti za kuinuana 👉 Ukiona twiti za kuinuana like, retweet 👉 Mwisho unashusha handle yako 👉 Mwisho kabisa uwe unalike zile handle walizo weka wenzako na kuzireply FB (Follow back) Kwa pamoja tutafika 10K, Weka handle👋👋


Kumbe kweli eti!!!! Hata nyanya za mia zinaweza uzwa 1,000,000, ukaringa nazo kwamba unakula za gharama, kumbe mwenzio ananua 100 na anakula kwa afya na ajifii.@SimbaSCTanzania mnaboa sana. Hapo hakuna kocha, alikutaka timu ikiwa nzuri ilishatengenezwa akauzia jina. Hana lolote


Mina Reposted

Kikosi kamili cha msimu 2021/22. #SimbaDay2021 #OneTeamOneDream #NguvuMoja

Tweet Image 1

Tanzania ni nyekundu tu, mpaka najisikia furaha na fahari kuwa na mshabiki wa simba. Ila uongozi wa @SimbaSCTanzania umekosea kuchagua mgeni rasmi.🤔


Mina Reposted

Kama Andazi lilishinda basi ngoja tuone nyota ya TP. Wakati tunasubiri kuendelea na kesi hiyo kesho 👉Retweet kwa TP 👉Like kwa Matango Pori.

Tweet Image 1
Tweet Image 2

Hujawai kujielewa.

Aidha, nimefurahishwa na kauli ya @kigogo2014 kuwa na kule upande wa pili amewahama. Kwa hili namkaribisha tumuunge mkono Rais wetu Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye mission ya kuchagua Rais Mwanamke 2025. Mimi pamoja na kuwa MWANAUME, nawaunga mkono wanawake Kwa nguvu zangu zote!



Mina Reposted

Mbona jamaa yetu mnuonea sana siku hizi 😂

Aidha, nimefurahishwa na kauli ya @kigogo2014 kuwa na kule upande wa pili amewahama. Kwa hili namkaribisha tumuunge mkono Rais wetu Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye mission ya kuchagua Rais Mwanamke 2025. Mimi pamoja na kuwa MWANAUME, nawaunga mkono wanawake Kwa nguvu zangu zote!



Tuelewane kuwa, hakuna mwenye mkataba na nchi hii kwamba ataingoza milele. Fanya yale ambayo waliokuweka hapo wanahitaji kwa wakati huo, na itakuwa legancy inzuri katika kumbu kumbu ya uhai wako.

Before thinking of reforming the economy, the installation of the new constitution is a sensible approach in any case. #KatibaMpya #ChangeTanzania mshomi.com/president-sami…



Katiba ya Tanzania ni kichaka cha wanyang'anyi na uporaji wa mali za wanyonge.

Katiba haimtengi raisi kupewa ushauri mbaya, kwenye katiba yetu raisi hana wajibu wa kufuata ushauri yeye akitaka kuufuata anafuata akitaka kuacha anaacha. ~ @fatma_karume #MariaSpaces #KatibaMpya #ChangeTanzania

Tweet Image 1


Mina Reposted

9️⃣ Days to GO! The Tanzania one, Hassan Mwakinyo is full of amazing records Follow @MwakinyoPros for all infos about the #MabingwaWaUlingo event

Tweet Image 1

Yanga vichwa maji, hawana akili

RASMI : Haji Manara ni wa kijani na njano.

Tweet Image 1


Hivi jamani, ikulu imerudi tena dar??

PICHA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo Auguts 07,2021 Ikulu Jijini Dar es salaam. #MillardAyoUPDATES

Tweet Image 1
Tweet Image 2


Atasahaulika tu, hakuna namna.

Mbunge wa Ilala Dar es salaam Mussa Hassan Zungu leo ameingia kwenye orodha ya Viongozi waliopata chanjo ya corona ambapo amechanjwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. #MillardAyoUPDATES

Tweet Image 1
Tweet Image 2


Jamani, si kachanjwa juzi au? Imekuaje tena?

TANZIA: Mbunge wa Ushetu na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Elias John Kwandikwa amefariki Dunia Jijini Dar Es salaam leo alipokuwa akipatiwa matibabu. Katibu wa Mbunge huyo ndugu Julius Lugobi ameithibitisha kutokea kwa msiba huo.

Tweet Image 1


Jamani vitonga garama. Hakuna vya bure, mtakufa kama kuku wa kideri. Mtakufa kwa makubaliano ya binadama na mashetani.

Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto imetoa angalizo kwa Wasimamizi wa chanjo kutolipisha Watu fedha kwani chanjo hizo ni bure huku ikitaka kuzingatiwa kwa weledi, hayo yamebainishwa na Katibu Mkuu (Afya),Prof.Abel Makubi. #MillardAyoUPDATES

Tweet Image 1
Tweet Image 2


Mh.@TunduALissu njoo Tanzania , pambana kwenye ardhi yako,tupambane wote tushinde wote , watanzania hatutaki wapiga debe, wanaosema twende halafu wao wanarudi nyuma.

This post is unavailable.

United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.