Similar User
@Jayhimself__
@MishitaW
@MaxTz255_
@jaymotz
@KitimeJr
@BenMtanganyika
@EnduroTherapist
@maulidbondoJr
@invzibo
@pompeowachuga
@kideo_jr
@WisemanHoliness
@tidykocto2001
@bjmoyeka
@mussacrane
Utupe Mkate wetu wa kila Siku... 🙏 Good Morning Family
“Unavyofanya kwa bidii ndivyo wanavyoongezeka kukuvunja moyo, usiogope pambana kwani kivuli cha Mungu kipo nyumabyako.” AMKA KAPAMBANE‼️
Tuanze Asubuhi Kwa Kuretweet neno la Allah, Chapa Retweet hapa.
Imagine wewe ni jobless unapata liteni harafu umefunga yaan matumizi yako kwa siku ni ...... 🤗Au basi sijui nilitaka kusema Nini😁😁 Ramadhani Kareem 🙏🙏🙏🙏
CLOUDS MEDIA MAJUKUMU INAYOFANYA/ILIYOWAHI KUYAFANYA, ILICHEZA NAFASI KAMA MEDIA YA TAIFA.....😅🤝🏽 👉🏽Clouds imekuwa chachu ya mabadiliko mengi sana katika upande wa Media kibongo bongo, kuanzia katika ubunifu pamoja na uendeshwaji wa shughuli zote....Mlengo wa media yao pengine…
Huwezi kuelewa ni kwanini kila Tuamkapo asubuhi tunamshukuru Mungu mpaka siku utakaposhindwa kuamka kitandani!! Good morning familia 🖐.
Furahia kile kidogo ulichonacho, wakati mwingine tamaa inaweza kukufanya upoteze hata kile kidogo. Good morning champs.
Haijalishi tunapitia Magumu kiasi gani katika Maisha lakini kamwe hatupaswi kukata Tamaa 🙏🏿🙏🏿 Good morning watu wa Mungu
🔰Kwa uwezo ya kikosi cha Mamelodi Sundowns kilivyo,mchezaji pekee ambaye kwa namna flani anaweza kuwasumbua ni Pacome. Kama Yanga itamkosa Messi wa Afrika itakuwa ni tabu kidogo
“ Mwenyezi Mungu aka Bariki kazi za Mikono yetu., INSHALLAH…””😎😎
Mapambano yanaendelea 💎 Good morning watu wa Mungu 🙏
Mmeamkaje watu wa Mungu?
💥Mfano uwanja wa Arusha huo ukaitwa Kilimanjaro stadium au Serengeti stadium Nje ya uwanja kwenye garden my be ikawekwa mifano ya wanyama waliopo mbuga husika au ukatengenezwa mfano wa Mt Kilimanjaro?? Maoni tu,,
Elimu haikuja kukupatia kazi bali imekuja kukupatia maarifa ya kutafuta kazi,kinachokukwamisha ni uzembe wako tu✍️🦅
Usiombe ukaingia kwenye mfumo wa Hawa jamaa. Utalia na kusaga meno hakika 🤣🤣🤣 Wana talent ya uongeaji kinyama ukifuatilia hyo connection dah ujanja ujanja 2.
Unae soma Tweet hiii Mwenyezi Mungu akakupe hitaji la moyo wako siku hii ya leo Good morning
Good morning champs 🤝 Mnifikishe 4k 🙏 Fanya unifollow nikufollow back chapu asubuhi hii mpwa ✊️
Kuna mashabiki nawaonea huruma sana yaani.shabiki anae shabikia arsenal na yanga 🤭🤭 Yanga kapewa mamelodi Arsenal kapewa Bayern Munich Hakikisha unakua karibu nae muda wote kamba zote mzifiche 😂🤭maana lolote linaweza kutokea.
Ni app gani kati ya hizi huwezi kuiweka katika simu yako ??🤷♂️ 1. Instagram 2. Snapchat 3. Telegram 4. Tiktok 5. Twitter X 6. Facebook 7. WhatsApp
Yupi Mfalme Wa Martial Arts Kati ya hawa watatu?
United States Trends
- 1. Warriors 70 B posts
- 2. Rockets 43,8 B posts
- 3. Steve Kerr 6.181 posts
- 4. Draymond 8.303 posts
- 5. Selena 104 B posts
- 6. Steph 26,9 B posts
- 7. Podz 5.434 posts
- 8. Voice of America 27,3 B posts
- 9. #Survivor47 12,6 B posts
- 10. Jalen Green 4.451 posts
- 11. Knicks 35,4 B posts
- 12. Benny Blanco 16 B posts
- 13. Sengun 6.010 posts
- 14. Whataburger 1.255 posts
- 15. Trae 53,8 B posts
- 16. #AEWDynamite 27,1 B posts
- 17. Hawks 32,4 B posts
- 18. Diligence 4.627 posts
- 19. #playstationwrapup N/A
- 20. Bill Kennedy 1.185 posts
Who to follow
-
J.A.Y🧢
@Jayhimself__ -
Wamuhira
@MishitaW -
Myunani
@MaxTz255_ -
Jaymodel
@jaymotz -
John kitime
@KitimeJr -
вєη мтαηgαηуιкα
@BenMtanganyika -
La_Pioche Therapist
@EnduroTherapist -
General Practitioner
@maulidbondoJr -
Invisible
@invzibo -
pompeowachuga
@pompeowachuga -
Mkemia
@kideo_jr -
Holiness
@WisemanHoliness -
KOCTo🥋🇹🇿
@tidykocto2001 -
JAYMO🇰🇪
@bjmoyeka -
𝐓𝐡𝐞 𝐆𝐨𝐝𝐟𝐚𝐭𝐡𝐞𝐫
@mussacrane
Something went wrong.
Something went wrong.