Mafinga Town Council
@Mafingamjimedi1Official Account for Mafinga Town Council
Similar User
@stevenleonardk4
BADO SIKU 12 KUELEKEA KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA TAREHE 27 NOVEMBA 2024
KUONGEZA MUDA WA KUWASILISHA NA KUTOA MAAMUZI YA RUFAA ZA WAGOMBEA @LindaSalekwa @ccm_tanzania @ChademaTz @TZMsemajiMkuu @pjserukamba @act
BADO SIKU 20 KUELEKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA TAREHE 27 NOVEMBA 2024 SAVE THE DATE @ortamisemi @serikalizamitaa @mohamed_mchengerwa @serukamba @salekwalinda
Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tarehe 27 Novemba 2024. Bado Siku 22. SAVE THE DATE
KLINIKI YA ARDHI HALMASHAURI YA MJI MAFINGA YAWAFIKIA WANANCHI ZAIDI YA 1000 @Ndejembi @ortamisemitz @SuluhuSamia @CCMdigital24
HAKIKISHA UNASHIRIKI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA TAREHE 27 NOVEMBA 2024
TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA HALMASHAURI YA MJI MAFINGA - [ ] VIMEPIMWA - [ ] VIWANJA VYA MAKAZI- Shilingi 1500 kwa Mita 1 ya Mraba - [ ] MAKAZI NA BIASHARA- Shilingi 2000 kwa Mitaa 1 ya Mraba - [ ] BIASHARA - Shilingi 2500 kwa M
KILA LA KHERI KIDATO CHA PILI Watahiniwa 2894 Me 1,435 Ke 1,459 Shule za binafsi 11 Shule za Serikali 12 Kuanzia tarehe 28 Oktoba hadi tarehe 8 Nov emba 2024
ZOEZI LA UCHUKUAJI NA UREJESHAJI WA FOMU ZA KUGOMBEA NAFASI ZA UONGOZI @ortamisemitz @TZMsemajiMkuu
UJIO WA MADAKTARI BINGWA WA MHE.RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWAMU YA PILI KATIKA HOSPITALI YA MJI MAFINGA TAREHE 28 OKTOBA HADI TAREHE 3 NOVEMBA 2024. MADAKTARI BINGWA WATAKAOKUWEPO:- -Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake -Bingwa wa Watoto -Bingwa wa Magonjwa ya Ndani
Kila la kheri wanafunzi wa Darasa la Nne kwenye Mtihani wenu wa Upimaji wa Taifa
Kila la kheri wanafunzi wa Darasa la Nne kwenye Mtihani wa Upimaji wa Taifa
HAKIKISHA UNAJIANDIKISHA. MWISHO WA KUJIANDIKISHA NI TAREHE 20/10/2024
MABADILIKO YA RATIBA YA MATUKIO MUHIMU KUELEKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 27 NOVEMBA 2024
MAFINGA TC MSHINDI WA KWANZA KIKANDA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2024, HONGERA WAKAZI WA MAFINGA, WADAU WA MAENDELEO, WAHESHIMIWA MADIWANI, MBUNGE, MHE. MKUU WA WILAYA YA MUFINDI MKURUGENZI MJI NA WATUMISHI WOTE KWA USHIRIKIANO
HERI YA SIKU YA NYERERE. IKAWE YA AMANI NA UZALENDO KATIKA KULITUMIKIA TAIFA
BADO SIKU 4 KUELEKEA KATIKA ZOEZI LA KUJIANDIKISHA KATIKA ORODHA YA WAPIGA KURA. ZOEZI LINALOTUPELEKA KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA TAREHE 27/11/2024
KLINIKI YA ARDHI HALMASHAURI YA MJI MAFINGA. TUNAANZA NA KATA YA BOMA KATIKA UWANJA WA MASHUJAA TAREHE 7-11 OKTOBA 2024. NJOO TUKUHUDUMIE
KUELEKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA TAREHE 27/11/2024
United States Trends
- 1. #UFC309 294 B posts
- 2. Jon Jones 165 B posts
- 3. Jon Jones 165 B posts
- 4. Jon Jones 165 B posts
- 5. Chandler 87,2 B posts
- 6. Oliveira 71,7 B posts
- 7. Kansas 22,7 B posts
- 8. #discorddown 6.742 posts
- 9. Bo Nickal 8.901 posts
- 10. Do Bronx 10,9 B posts
- 11. Arod 2.155 posts
- 12. #BYUFootball 1.383 posts
- 13. Rock Chalk 1.379 posts
- 14. Tennessee 55,4 B posts
- 15. #MissUniverse 433 B posts
- 16. Keith Peterson 1.340 posts
- 17. Tatum 28,3 B posts
- 18. Oregon 34,3 B posts
- 19. #kufball 1.085 posts
- 20. Big 12 16,5 B posts
Who to follow
Something went wrong.
Something went wrong.