Similar User
Twende na Mama photo

@twendenamama

Bimkubwatanzania photo

@Bimkubwatz

ndende🇹🇿 photo

@ndendehassan22

Kambayajir photo

@KambayaJohnson

nampapyissa photo

@NampapyI29334

Mwakampoka photo

@mwakampoka__

ashura photo

@jashura796

BimkubwaTanzania Blog 🇹🇿 photo

@bimkubwatanzabg

kachwenkima photo

@kachwenkim__

kenedy s. Kithabo photo

@kennedy40691787

mbwenacho98 photo

@mbwenacho935714

warida yahaya photo

@WaridaYahaya

Asina Nanyanga photo

@AsinaNanyanga

Dr.Michael lembele photo

@Michaelhawjeans

kasheshe photo

@kasheshe1418739

Sahari Abuu Reposted

HIZI HAPA SABABU 10 ZA KWANINI UWEKEZE TANZANIA   TANZANIA   TANZANIA inaibuka kwa kasi kuwa kivutio kikuu cha uwekezaji barani Afrika na kuvutia wawekezaji wa kikanda na kimataifa kwa sababu kadhaa muhimu:-   1.  Mazingira Imara ya Kisiasa:-  Tanzania ina rekodi kubwa ya utulivu…

Tweet Image 1

Sahari Abuu Reposted

MHE. RAIS SAMIA AALIKWA MKUTANO WA G20   TANZANIA   Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amealikwa kushiriki mkutano wa viongozi wa G20 utakaofanyika Rio de Janeiro nchini Brazil kuanzia Novemba 18 hadi 19, 2024 ukiwa na kauli mbiu inayosema 'Kujenga ulimwengu wa haki na sayari…

Tweet Image 1

Sahari Abuu Reposted

Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye hafla ya kuaga mwili wa aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Marehemu Lawrence Nyasebwa Mafuru katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaa, tarehe 14 Novemba, 2024.

Tweet Image 1

Sahari Abuu Reposted

Tufuatilie kwenye mitandao yetu ya kijamii @Bimkubwatanzania tutakuletea matangazo ya moja kwa moja kutokea KARIMJEE Dar es Salaam leo Novemba 14, 2024.

Tweet Image 1

Sahari Abuu Reposted

TSH TRIL 4.6 ZINAJENGA BARABARA, MADARAJA TANZANIA SERIKALI inaendelea na utekelezaji wa miradi 77 ya ujenzi wa barabara na madaraja kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) yenye thamani ya Sh trilioni 4.6 Kupitia miradi hiyo tayari Tanroads imekamilisha kwa asilimia 100 miradi…

Tweet Image 1

Sahari Abuu Reposted

HIZI HAPA HOSPITALI  ZA UTALII TIBA   TANZANIA   Tanzania imechagua hospitali ili kuendesha mpango wa utalii wa kimatibabu (Utalii tiba) ambazo ni pamoja na Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI), Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) na…

Tweet Image 1

Sahari Abuu Reposted

MIRADI 63+ KUPANUA BIASHARA YA KABONI   TANZANIA   TANZANIA imesajili  zaidi ya miradi 63 ya biashara ya kaboni katika sekta mbalimbali na kuiwezesha nchi kupunguza kasi ya hewa ukaa na kuingiza mapato kutokana na huduma za mazingira.   Miradi iliyosajiliwa ni sekta ya kilimo…

Tweet Image 1

Sahari Abuu Reposted

TANZANIA KUANZISHA KITUO CHA MAFUNZO YA USAFIRI WA ANGA   ARUSHA   Serikali kupitia Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) inatarajia kutangaza zabuni ya ujenzi wa Kituo cha kisasa cha Mafunzo ya Usafiri wa Anga (CATC) kabla ya mwisho wa mwezi huu Novemba 2024.   Makadirio…

Tweet Image 1

Sahari Abuu Reposted

WANANCHI MILIONI 5.3 WANUFAIKA NA MIRADI YA MAJI. DAR ES SALAAM Katika kipindi cha Julai 2021 hadi Juni 2024, miradi 354 kati ya miradi 998 ya maji iliyopokea fedha kutoka Mfuko wa Taifa wa Maji imekamilishwa na hivyo kuwanufaisha wananchi takribani milioni 5.3 kwa huduma bora…

Tweet Image 1

Sahari Abuu Reposted

JAPAN KUONGEZA NGUVU  HUDUMA YA AFYA YA TZ   MWANZA   SERIKALI ya Japan imesisitiza dhamira yake ya kuongeza nguvu kwenye sekta ya afya ya Tanzania katika jitihada za kuimarisha ushirikiano kati ya nchi hizo mbili.(Hii ni kwa mujibu wa Balozi wa Japan nchini, Yashushi Misawa,…

Tweet Image 1

Sahari Abuu Reposted

TSH BIL 54.79 KUJENGA BARABARA MISENYI   KAGERA   Serikali imesaini mkataba  wenye thamani ya shilingi bilioni  54.79 wa ujenzi wa barabara ya kilomita 25 inayounganisha Bunazi na Kagera Sugar Limited (KSL) wilayani Missenyi Mkoani Kagera ujenzi  ambao unatekelezwa na kampuni ya…

Tweet Image 1

Sahari Abuu Reposted

Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye hafla ya kuaga mwili wa aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Marehemu Lawrence Nyasebwa Mafuru katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaa, tarehe 14 Novemba, 2024.

Tweet Image 1

Sahari Abuu Reposted

Tufuatilie kwenye mitandao yetu ya kijamii @Bimkubwatanzania tutakuletea matangazo ya moja kwa moja kutokea KARIMJEE Dar es Salaam leo Novemba 14, 2024.

Tweet Image 1

Sahari Abuu Reposted

TSH TRIL 4.6 ZINAJENGA BARABARA, MADARAJA TANZANIA SERIKALI inaendelea na utekelezaji wa miradi 77 ya ujenzi wa barabara na madaraja kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) yenye thamani ya Sh trilioni 4.6

Tweet Image 1

Sahari Abuu Reposted

TANZANIA Tanzania imechagua hospitali ili kuendesha mpango wa utalii wa kimatibabu (Utalii tiba) ambazo ni pamoja na Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI), Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) na Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH).

Tweet Image 1

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.