@Lutu_II Profile picture

Lutu II

@Lutu_II

Every day brings an opportunity to do something legendary | Freedom is what you do with what’s been done to you.

Similar User
James photo

@Jlayzjames001

Mudy photo

@Momtupu

Israh_19 photo

@Israh_19

CHOLLOH MADINI💎💎 photo

@idrischollo

Hamida Rashidi76 photo

@HamidaRashidi76

Asili yetu.!

MAJANI YA MPERA 💦💦💦 1. Chai ya majani ya mpera inaponyesha kifua na kikohozi 2. Majani ya mpera yaliyosagwa vizuri yanatumika kutibu muwasho uliotokana na mzio (allergy) 3. Majani haya ya mpera yakichemshwa kama chai yanaondoa cholesterol iliyozidi mwilini. 4. Chai ya…

Tweet Image 1


🫡🫡

Wanaume huwa mnaniuliza "Bikira utaitoa wapi mwaka 2024 hii?" Ila wanawake hata siku moja hawawezi kuuliza "mwanaume aliyejipata utamtoa wapi 2024 hii?" Wanaume mnaweka visingizio vingi ili muishi na malaya ila malaya haohao hawajawahi kushusha standards ili waishi na maskini.



Lutu II Reposted

Nimekuwa naulizwa kuhusu shinikizo la damu , Leo tupate elimu kwenye makala niliyofanya siku ya Kimataifa ya SHINIKIZO LA DAMU. Katika kujua ukubwa wa hili tatizo , katika kila wanawake watano, Mwanamke mmoja ana shinikizo la damu. Na kila kina baba wanne mmoja ana tatizo la…


Mama Yuko Kazini💪

Kuzaliwa kwa mtoto inapaswa kuwa tukio la furaha kwa familia na jamii nzima badala ya huzuni hasa pale inapotokea kupoteza mtoto, mama au wote kwa pamoja. Tunaendelea kuifanya kazi ya kuboresha huduma zetu za afya ili kukabiliana na changamoto hii ya mwanzo wa maisha ya kila…



Mtu wa maana kabisa !!

I once said. ISHI NA DEMU WAKO AKAE AKIJUA KWAMBA MUDA WOWOTE UNAWEZA KUMUACHA. AKE AKIJUA KWAMBA UNAWEZA KUMPA NAFASI YA KUONDOKA KAMA ANAHISI AMEPATA MTU BORA ZAIDI. Bro. We are replecable, we can be replaced faster kuliko unavyodhani. Chuma yako kuna boys kibao wame line…



CODE za maana kabisa.! 💪

VYAKULA VYA ASILI VYA KUBOOST HORMONE ZA KIUME & NGUVU ZAKIUME KWA HARAKA ZAIDI. Nikitambo sana sija toa uzi wa Afya, nipe nafasi yako leo 👇👇👇

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3


Day 03 💪

25/05/2024 08:30 DEI 03 App: BETPAWA CODE: 4V9IIG9 ODDS: 1.30 App: SPORTBET CODE: 9BDDD33 ODDS: 1.32 CODE: 4805FB ODDS: 2.10(ziada tu sio lazima uweke hii)



Afya Tips

MONDAY AFYA TIPS 🥕💦🍆! 1. Unaharibu Mapafu yako unapovuta sigara 🚭, na kujiweka katika Hatari ya Kansa ya Mapafu 🫁. 2. Huenda una uume wa kawaida🍆 lakini ponografia inakufanya uone kama una ka kipisi ka sigara. 3. Jaribu leo kuongeza Tangawizi na Vitunguu Swaumu 🧄…

Tweet Image 1


Hii utaikuta Africa pekee😁

MONDAY AFYA TIPS 🥕💦🍆! 1. Unaharibu Mapafu yako unapovuta sigara 🚭, na kujiweka katika Hatari ya Kansa ya Mapafu 🫁. 2. Huenda una uume wa kawaida🍆 lakini ponografia inakufanya uone kama una ka kipisi ka sigara. 3. Jaribu leo kuongeza Tangawizi na Vitunguu Swaumu 🧄…

Tweet Image 1


Tuishi humu💪

1. Kunywa Glass 2 za Maji Asubuhi hii, Fanya hivyo Kwa Ajili ya Vital organs zako🫀🫁 . 2. "Kaa Mbalii" na Sukari Nyingi, na utakua umeuokoa Mwili wako. 3. Usinywe Soda wala Energy Drink Leo, Okoa Moyowako na Kongosho (Pancreas). 4. Kula Angalau yai 🥚 1 Leo Kwa Ajili ya Moyo…



Imani imetufikisha huku asee🤔🤔

Pesa za PARIPESA nje nje leo. Code➡️➡️ JV74N 17.55 total odds Jisajili hujachelewa Link: rb.gy/yxzbb1 Promo code jaza👉🏿KIRIKUU Upewe bonus ya kucheza buleee💰 Win or Ignore😎

Tweet Image 2


📌

Mambo 13 ambayo KIJANA Unayetaka Kutoboa Lazima Uyaishi Kabla ya 30 ⚠️ Miaka 20 – 30 ni miaka ambayo mara nyingi hupita bila kujua. Ni miaka ambayo inaweza kukutengenezea maisha au kuyazika kabisa. Haya mambo 13 ya kukuamsha na kukupa nguvu ya KUKOMAA. #SIKU100ZAUHURU 🫡…

Tweet Image 1


Blessings nyingi kwako Kaka💪

HERI ya PASAKA ndugu zangu wote out there 😍😍

Tweet Image 1


Hii post imeitafuta ili niisome kwa Mara ya pili📌

Ewe kijana, Kuwekeza kwenye mapenzi ni sawa na kuwekeza kwenye ponzi scheme. Be very valuable. Mapenzi yatajileta menyewe. Ukifanya kinyume kila siku utakuwa unalia kwenye ukurasa wa Prosper.



📌

Ewe kijana, Kuwekeza kwenye mapenzi ni sawa na kuwekeza kwenye ponzi scheme. Be very valuable. Mapenzi yatajileta menyewe. Ukifanya kinyume kila siku utakuwa unalia kwenye ukurasa wa Prosper.



Lutu II Reposted

two Boy hataki shobo.. . . . . x.com/samatimemagari…

☎️Ndio ilikua ni siku ya Jumamosi October Mwaka Jana. . Nilipokea simu kutoka kwa Dada flani akajitambulisha anaitwa Diana. . Diana akasema ana maongezi ya kibiashara hivyo anaomba kama dakika 5. . Sasa the way Diana alivyokua anaongea nikajua hapa sitaweza kuongea kwa uhuru👇

Tweet Image 1


📌

Ndugu watafutaji: Kuwa na pesa mingi na afya mgogoro, ni umasikini. Utafutaji unatufanya kusahau kuishi. Hakuna utajiri wa kifedha wenye maana kama unaugulia kitandani. Hakuna utajiri wa kifedhaa wa maana kama huna watu karibu yako. Unapokomaa kufafuta, KUMBUKA: - Afya ni…



📌

KUMBUKA Kila Mtu Anaweza: . Kufikiri . Kudhani .Kulaumu . Kusingizia . Kugombeza . Kuahirisha mambo . Kusema sio wewe . Kufikiria kwa muda mrefu . Kusema hauna rasilimali . Kusema muda hautoshi NI NGUMU SANA, Na Sio Kila Mtu Anaweza: .Kuchukua risk . Kujipigania kibabe…



📌

KUMBUKA Kila Mtu Anaweza: . Kufikiri . Kudhani .Kulaumu . Kusingizia . Kugombeza . Kuahirisha mambo . Kusema sio wewe . Kufikiria kwa muda mrefu . Kusema hauna rasilimali . Kusema muda hautoshi NI NGUMU SANA, Na Sio Kila Mtu Anaweza: .Kuchukua risk . Kujipigania kibabe…



📌

MATAJIRI SIKILIZENI UJUMBE HUU KUTOKA KWA MAKAMU MWENYEKITI KANDA YA KASKAZINI



United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.