@Lucas38478952 Profile picture

Lucas Emmanuel

@Lucas38478952

Auditor (Account & Taxation)| Business analysis | Business plan 🪡,|@YoungAfricanSc Fun 🇹🇿 ~| KishapuShinyanga

Joined April 2021

Mimi nilikutana na hao wawili wa Pembeni 😅😅 ✊✊

Iyunga Tech School Leavers njooni hapa Leo tuna kikao, taja sifa za Kila mwalimu hapo uliyemuona kwenye hii picha. 😀😀

Tweet Image 1


Lucas Emmanuel Reposted

"Ziko nyakati katika maisha unaletewa malaika na ziko nyakati unaletewa adui. Ukiletewa malaika kamata mikono yake akuvute uinuke. Ukiletewa adui, kanyaga mabega yake ukwee juu. Daima mwendo ni kwenda juu aje malaika aje adui, iwe ni kutumia mkono au mabega." ~Togolani Mavura.

Tweet Image 1

Lucas Emmanuel Reposted

Never compromise with your enemy! Nyoka akijivua gamba hageuki kuwa Mjusi na badala yake huwa linakuwa joka kubwa na lenye sumu kali zaidi. #MalemboisBack

Tweet Image 1

Lucas Emmanuel Reposted

"Binadamu hatokusahau kwa mambo matatu, kwanza kauli nzuri, pili, sikio la kumsikiliza, na tatu zawadi. Haya matatu humfanya ajisikie unamtambua, unamheshimu na unamthamini. Mengine yanasahuilika" ~Togolani Mavura.

Tweet Image 1

Lucas Emmanuel Reposted

"Kila kizuri ukionacho kina mtihani wake, suala ni utayari wako tu wa kujisajili kuwa mtahiniwa na maandalizi yako ya kuufaulu." ~Togolani Mavura.

Tweet Image 1

SIKU HUANZA NA KUISHA 🙏🏿

Tweet Image 1

Lucas Emmanuel Reposted

"Kwenye jamii yetu hatuna upungufu wa simulizi za walioibuka, wala hatuna upungufu wa simulizi za walioanguka na kupotea baada ya mafanikio na umaaarufu wa msimu, bali tuna upungufu wa simulizi za walioibuka na walioweza kudumu katika majira yote." ~Togolani Mavura.

Tweet Image 1

Lucas Emmanuel Reposted

SALA KWA MTAKATIFU YOSEFU Ee Mt. Yosefu, wewe ni Mchumba safi na Mpenzi wa Bikira Maria, u Baba Mlishi wa Yesu, mlinzi na mtunzaji wa Familia Takatifu, na wa familia zote. Tuna imani kabisa katika uangalizi wako uliojaa upendo, juu ya uhai mpya, na uaminifu wako kwa familia.

Tweet Image 1

Lucas Emmanuel Reposted

"Anayekupandisha, panda nae, anayekushusha usishuke nae". ~Togolani Mavura.

Tweet Image 1

Katika maisha usiogope vitu vifatavyo 1. KUKATALIWA 2.KUONEKANA HAUJUI 3.KUONEKANA UNAPENDA KAZI 4.KUONEKANA HAUPENDI KUJICHANGANYA NA WATU WENYE DEAL ZISIZO RASIMI 5.KUONEKANA MPANDANAJI 6.KUONEKANA UNAMCHA MUNGU UWE NA USKU MWEMA.


Accountants and auditors should obey proffesional ethical behaviours


United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.