@LMwande16573 Profile picture

Lazalo Mwande

@LMwande16573

Lazalo Mwande Reposted

Bikini yenyewe ni hii😂😂

Tweet Image 1

Leo tuna follow watu 100 tu shusha endo kwenye coment

Tweet Image 1

Hivi hii dawa inatibu nini?

Tweet Image 1

Hili swala limekahaje mbona kama sielewi vizuri?

Wanne wakamatwa kwa kusambaza taarifa za watoto kutekwa swahilitimes.co.tz/2024/07/wanne-…



Serikali yetu inafanya kazi gani??

HABARI MBAYA KUTOKA MTWARA Mwandishi wa Habari wa Mtwara Digital Mohamed Mwaya ( @⁨+255 717 505 047⁩ ) amekamatwa na kuchukuliwa na watu wasiojulikana Mchana huu July 24,2024 maeneo ya Bima Mtwara. Mashuhuda wanasema watu hao walikuwa wanne na waliondoka naye kwenye gari…

Tweet Image 1


Lazalo Mwande Reposted

HABARI MBAYA KUTOKA MTWARA Mwandishi wa Habari wa Mtwara Digital Mohamed Mwaya ( @⁨+255 717 505 047⁩ ) amekamatwa na kuchukuliwa na watu wasiojulikana Mchana huu July 24,2024 maeneo ya Bima Mtwara. Mashuhuda wanasema watu hao walikuwa wanne na waliondoka naye kwenye gari…

Tweet Image 1

Broo atujikubari kama juzi kati apo b mkubwa aliwapa frusa comedian kuenda Korea cha Hajabu dogo eliudi na yeye kavaa kikorea wakati huo alikua anapigiwa promo ya kuwa dogo anaye takiwa kuwa wa mfano kwenye vazi taifa

Nigerians wengi na baadhi ya mataifa ya west africa wakienda abroad hawaachi/hawapotezi asili na tamaduni zao na wengi wanakuwa proud na hiyo life style!! Sisi 🇹🇿 Ukifanya hivyo wengi watakuona mshamba/loko/Maskini/Sio mnyamwezi😁 1. Nigerians wanaweza ongea kingereza but…



Broo kichwa cha family yapaswa kiwe na akili kama zako kupambanua mambo kiundani zaidi

Mimi sio mtoto tena wakudanganywa na michezo ya #Siasa nishaimba sana mpaka sioni cha kukiimba tena kwenye hizo mbanga!! Nikitaka kujua jambo na-refer kwenye miwa yangu iliyopita basi nang’amua kitu!! Leo nimeng’amua kitu Hivi nikikwambia kama ukute huu ni mchezo tu…



Ni mkoagani nimaharufu kwa chakula hichi??

Tweet Image 1

Tukipaza sauti kutete haya mahovu utasikia × ifungiwe selikali niyakwetu inatakiwa kutulinda cha Hajabu ndio inayo tuwinda

Tweet Image 1

Haimahanishi atuyaoni mahovu mnayo fanya na ukatili tunao kumbananao kwenyejamihii 1. Mnatuteka 2.mnatuhibia 3.mnatunyima uhuri wa kuwakosoa Serikali ya ccm ni yakikatili

Tweet Image 1

United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.