@KisikaEB Profile picture

Willy Gamba

@KisikaEB

Simba and Liverpool fan/ Love art and appreciate Science

Similar User
eric a johnson photo

@blkpasz

TzConnect photo

@tzDiscovery

Hancy Machemba photo

@hancymachemba

EMMANUEL MWAKYUSA 🇹 photo

@ellybanyambala

Fadhili Kangusi photo

@fadhilikangusi

Baba Faith. photo

@Gervasmgaya3

Florian Kezilahabi photo

@fkezilahabi

Peter Msirikale photo

@petermsirikale

Cherry photo

@independent255

Mwl Mzalendo, GMD 🇹🇿 photo

@AmosAnatory_

I stand for change photo

@mgaboz

Jovin photo

@j_kadutu

SKP photo

@SusanPidge

Geoffrey M. Mutalemwa photo

@SweetbutKanana

eric jablonski photo

@emjlol

Pinned

Haki huzaa haki. Chuki huzaa chuki. Haki haistahiki, Mtutu ama bunduki. Haki na usawa huzaa amani na mshikamano. Haki vitendo huondoa mifarakono. Tumekuwa wa mfano, Jana na Juzi, Leo mapambono, Hatutaki mapatano. Haki huzaa haki, Tuepuke mikiki. Chuki si rafiki, Chuki umauti.


La Brea TV series draws inspiration from the classic TV show Lost, blending mystery and survival in a unique storyline.


I am not afraid of snakes, but this was dangerous

Mimi na chali yangu tungekimbia hata tuhame😂🙌



Yegoooo

Hata ziwa victoria pia....kwa ki lugha chetu tunaita..*Omusote*



Yegoooo 😄 🤣 😂

Kule msoma wanaita msoke au kifulafusi wazungu wanaita tornado hutokea haswa pale ambapo majira yanadilika kutoka baridi kwenda joto kutokana na pepo za viguvugu kuvuma kwenye kanda za tropical



Sisi watu weusi laana tuliyopewa na shetani la mashetani haitatutoka milele

Serikali imesema michango yote ya kifedha kwa ajili ya kusaidia operesheni ya uokozi kufuatia ghorofa kuporomoka eneo la Kariakoo, zielekezwe katika akaunti maalum ya maafa iliyoko Benki Kuu (BoT) yenye jina la National Relief Fund, kwa namba 9921159801. Katibu Mkuu Ofisi ya…

Tweet Image 1


Mahone ndio alichoka. Michael was just smater. Tizama tena.

Yaaani Michael alichoka



😄

What is cash out 😳😭



Hacking your phone


Jengo 1?

Zoezi la uokoaji likiendelea katika eneo la Kariakoo baada ya ghorofa kuporomoka siku ya Jumamosi Novemba 16, 2024, na kusababisha vifo na majeruhi.



😄

Play almost all the basketball tickets on timeline last night , Woke up 3am and saw “what is cashout” sleep left my eyes 😭😭😭



Willy Gamba Reposted

Some of us don't have backups. If God doesn't do it for us, we are finished.


Soma vitabu zaidi.

Ukiangalia sana Movies za Kidiplomasia na politics, kuna vitu ukianza kuvisikia au kuviona unakua hushtuki.



😄 🤣 😂 😆 😄 🤣

Tweet Image 1

“Kama mmegundua kitu sisi Yanga, hatujawekeza nguvu zetu kubishana na maoni ya watu. Nguvu yetu kwa asilimia 100 tumewekeza uwanjani. Uwanjani ndipo ambapo majibu yote yanapatikana” Ally Kamwe Ally Kamwe amefungua code muhimu kwa wananchi. Msihangaike na porojo. Wengi wao…



Chai... 👀

📍VIDEO: "Chama kimeshaelekeza kote ambapo wagombea wetu wameenguliwa wanasheria wa wetu wafungue kesi za uchaguzi, na maeneo yote ambayo kuna mgombea pekee wa CCM tutapiga kura ya hapana" Zitto Kabwe. aliyekuwa Kiongozi wa Chama ACT Wazalendo.



Sasa mwanzo ulisema, it won't, sasa unasema next 20 years. Kama nilivyosema mwanzo itachukua ajira na itatengeneza pia. Simple principle of physics.

In the next 20 years, sounds realistic but currently gradute shouldn’t fear it now rather than keep learning as replacement will be done but new jobs will be created because of AI. Human will always be Human.



Machine za kumwagilia, kupanda na kuvuna mazao hazitachukua ajira za watu?

It won’t as long as utajua matumizi yake kwa kile unachokifanya i see much of upskilling rather than replacement. It will only do that to those who will fail to update themselves.



Nikuukize tukiwa na magari yanayo jiendesha yenyewe hayata chukua ajira za madereva? Leo tuna delivery za magari/pikipiki zikiwa hizi zitakuwa automated hazitachukua ajira za watu?

It won’t as long as utajua matumizi yake kwa kile unachokifanya i see much of upskilling rather than replacement. It will only do that to those who will fail to update themselves.



Infact itachukua ajira za watu, lakini pia itatenegeza ajira nyingine. Physics principle.

Nilisema na ntasema tena “AI haipo kumnyima mtu ajira ila ipo kumsaidia mtu kuongeza ufanisi katika utendaji ” hakuna sababu yoyote ya kuogopa AI ila ipo sababu kubwa ya kujifunza matumizi ya AI kwa usahihi katika sekta unayofanyia kazi au utakayokuja kufanyia kazi.



Bwana Mh Mwana nanii ameshaonja utamu wa V8, mafuta ya bure, posho za kumimina. Sasa hivi sio tu kulamba kisogo atakuwa tayari hata kutoa mtu uhai aendelee kuwepo pale. Uongozi mtamu nyie.

Kiongozi ambaye hakushinda Uchaguzi aliambiwa tu umepita bila kupingwa anajikuta Mbunge mara Waziri,unategemea aongee vitu vya maana!??



Do you realize the one complaining is working? She’s a grown woman, and she might not even be washing the dishes herself. All she wants is for the younger sibling to wash the dishes because she had to do it when she was in grade 7. Sounds fair, right? 😄🤣😂


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.