@JoachimJoachim6 Profile picture

Mjukuu wa Chipungu🇹🇿🇮🇹🇮🇱

@JoachimJoachim6

Joined September 2017
Similar User
Denis Ndunguru photo

@DenisNdunguru14

WILBERT FIDELIME photo

@WilbertFidelim2

Maggy Muggy photo

@MuggyMaggy

Bruce Cuthbert Mnyakwibata photo

@Mnyakwibat

Dingilai photo

@Baba_Mtumishi

Kitururu photo

@Kitururu1

Leonce Marto photo

@Leonce_Marto

caroline chipeta photo

@carolinechipet1

samweli john Shayo photo

@SamweliBaraka2

karungu photo

@byamanyirwoa

Gibson photo

@Gibson44178359

JUMA MIRIGO photo

@JumaMurigo

𝐌𝐫.𝐁𝐞𝐧𝐢𝐞 photo

@BenieFabiano

Sightmirror photo

@sightmirror

Lwesha Gift photo

@GiftLwesha

Mjukuu wa Chipungu🇹🇿🇮🇹🇮🇱 Reposted

Kila mtu ana mambo yake ya kijinga ambayo huwa yanamkera🤣, Binafsi huwa na kerwa sana nikimtumia mtu pesa kwenye simu halafu asiseme asante wala asiseme pesa imefika. Pili huwa nakerwa sana nikimtumia pesa dem, halafu namba yake jina kwenye muamala likatokea la kiume.


Mjukuu wa Chipungu🇹🇿🇮🇹🇮🇱 Reposted

🤣leo @SuluhuSamia anatafuta picha ya mkopo kaamua awafuate BAWACHA apate picha ya kumwoyesha @KamalaHarris CHADEMA hakikisheni mnaomba zaidi ya picha maana mna power kubwa sana 👏🏽 Big win! Hajatafuta picha na wanawake wa. CCM, ACT, CHAUMA na sherehe za kitaifa ameacha for you!

Tweet Image 1
Tweet Image 2

Mjukuu wa Chipungu🇹🇿🇮🇹🇮🇱 Reposted

"Siko hapa kujenga umashuhuri kutafuta kura, niko hapa kuhubiri haki ili nchi ipate ukombozi, nikisema ukweli nikakosa kura hiyo ni baraka kuliko kusema uongo nikapata kura, mmefanywa kuwa masikini halafu mnashangilia kuwa bodaboda ni kazi ya maana?" @godbless_lema .

Tweet Image 1

Mjukuu wa Chipungu🇹🇿🇮🇹🇮🇱 Reposted

Bodaboda sio ajira

Tweet Image 1

Mjukuu wa Chipungu🇹🇿🇮🇹🇮🇱 Reposted

It's now official: I'll be kissing Tanzanian soil once again on Wed. 25 Jan., 2023, at 13:35 hrs local time. I'll arrive aboard Ethiopian Airlines #ET805 from Addis Ababa. With the lifting of the illegal ban on political activity, it's now time to return home & get back to work!

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3

Hv Nyie Malijali Wenzangu Hebu Kujeni Hapa Kwanza.... Ni Nani Aliyewahi Kumtamani Demu Kwa Urembo Wake wa Nj'e na Akampata Then na Ndani Akakuta ni Mtamu Kama Alivyo Kwa Muonekano Wake wa Nj'e?

Tweet Image 1

Mjukuu wa Chipungu🇹🇿🇮🇹🇮🇱 Reposted

Kuna mkuu humu simkumbuki alidai tozo zimeongeza miamala ya simu

Tweet Image 1

Mjukuu wa Chipungu🇹🇿🇮🇹🇮🇱 Reposted

Hawana huo muda

@mackphason , hawa sidhani wanatambua hizi nukuu za Mwlm. Nyerere, mojawapo ni hii hapo 👇, au wanapenda kunukuu Yale yatakayo kuwa yanahalalisha unyoji wao, Nyambafu kabisa

Tweet Image 1


Mjukuu wa Chipungu🇹🇿🇮🇹🇮🇱 Reposted

Nimegundua kuwa watu hawana habari naye kabisa, ni kama kiongozi wa mtaa kumbeee 🤣

Tweet Image 1

Mjukuu wa Chipungu🇹🇿🇮🇹🇮🇱 Reposted

Mr. @JMakamba nataka uniambie hiyo bei ya mita kuuzwa 250,000/- inatoka wapi wakati bei halisi ya mita ni elfu 79, elfu 76 na elfu 69? Kwa hiyo kuna vigogo wanajipigia laki 1.8 kwa kila mita inayoagizwa? Halafu why umuuzie mteja mita ambayo umiliki wake bado ni wa @tanescoyetutz?

Tweet Image 1

Mjukuu wa Chipungu🇹🇿🇮🇹🇮🇱 Reposted

Kumekucha #KatibaMpya

Tweet Image 1

Mjukuu wa Chipungu🇹🇿🇮🇹🇮🇱 Reposted

Tusipokuwa tayari kupigania #KatibaMpya na kuhakikisha kura zetu zinahesabiwa na mshindi anayetangazwa ni tuliyempigia kura - tusitarajie kupata kiongozi mwelewa, mchapakazi na mwerevu Tutaendelea kutawaliwa na wahuni, mafisadi, wakora na kuonea wivu wengine! #ChangeTanzania

Tweet Image 1

Mjukuu wa Chipungu🇹🇿🇮🇹🇮🇱 Reposted

Hovyo kabsa

Tweet Image 1

Mjukuu wa Chipungu🇹🇿🇮🇹🇮🇱 Reposted

JUKUMU la MAHAKAMA ni KUTENDA HAKI kwa mujibu wa ibara ya 107A(1) ya KATIBA ya Tanzania. Kumpeleka MTUHUMIWA kwenye MAHAKAMA "ILIYOFUNGWA MIKONO" ni UKOLONI. Ni HAKI ya mtuhumiwa kufikishwa MAHAKAMANI ili atendewe HAKI. Hatupaswi kuwa na SHERIA zinazo KIUKA HAKI za watu.


Mjukuu wa Chipungu🇹🇿🇮🇹🇮🇱 Reposted

Kwa hizi TOZO hakuna namna sisi vijana TUKAUNGANISHA nguvu kukataa kila kinachofanywa na serikali ya kinyonyaji chini ya @SuluhuSamia na chama chake. Tuanze na kukataa kuhesabiwa mpaka wakarekebishe hizi TOZO za kinyonyaji. #KatibaMpyaNiSasa

Tweet Image 1
Tweet Image 2

Mjukuu wa Chipungu🇹🇿🇮🇹🇮🇱 Reposted

haya mambo ya hovyo sana

Tweet Image 1

Mjukuu wa Chipungu🇹🇿🇮🇹🇮🇱 Reposted

#CHADEMA Naipenda kutoka moyoni nitakufa nayo✌️✌️👊👊

Tweet Image 1

Mjukuu wa Chipungu🇹🇿🇮🇹🇮🇱 Reposted

Wamedondokea pabaya @PKibatala @JohnMallya

Tweet Image 1

Mjukuu wa Chipungu🇹🇿🇮🇹🇮🇱 Reposted

Teuzi za usiku wa manane 😅 Haya Chalamila huyu karudi, Ally Hapi kapumzishwa kwa sasa na Mongella kaachwa aendeleze ubabe - same trend - reward ukatili na ubabe, hamisha hamisha, pumzisha kwa sasa - then recycle and repeat 🙄 Hakuna jipya #TutaelewanaTu

UTEUZI - WAKUU WA MIKOA @venusnyota

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.