@JAS887_ Profile picture

J

@JAS887_

Not everything to listen 👂| FOLLOW ME I FOLLOW YOU BACK ASAP.

Similar User
Hafidhinho720 photo

@HJunior720

J Reposted

Let’s go

Tweet Image 1
Tweet Image 2

J Reposted

We will win today I believe


Na mm Nahitaji hii mkuu

This post is unavailable.

J Reposted

Kama umeweza kuamka tena siku ya leo hata kama una msongo wa mawazo hauna amani kichwa kinawaka moto tu mwambie Mungu asante


J Reposted

Maandamano haya ya wananchi wa Ngorongoro kudai huduma za msingi ni ishara ya wananchi kuanza kuelewa haki zao, ni ishara kuwa kesho yetu wananchi watakuwa jasiri. Credit @MwanzoTv


J Reposted

Hatuhami ng'o! Kundi moja la wanawake kutoka Endulen, Ngorongoro, leo wamefanya maandamano wakipinga mpango wa serikali kuwaondoa kwa nguvu huko Msomera #MwanzoHabari Tazama: youtu.be/E4CyHTG6mYA


J Reposted

Tunaukimbilia, ulinzi wako mzazi Mtakatifu wa Mungu, usitunyime tukiomba katika shida zetu, utuokoe kila siku tuingiapo hatarini, Ee Bikira Mtukufu mwenye baraka, Amina.🙏

Tweet Image 1

J Reposted

Atukuzwe Baba na Mwana na Roho Mtakatifu, Kama Mwanzo na sasa na siku zote na milele amina. ✝Bwana atujalie usiku mtulivu na mwisho Mkamilifu🙏

Tweet Image 1

J Reposted

⚠️ Jifunze kutunza kipato chako Kuna Ugumu mkubwa kwenye kupata na Kuna urahisi Mkubwa kwenye Kupoteza.📌


J Reposted

⚠️ Kila kitu kitatokea Katika Muda mwafaka,Shikamana na Subra!.📌


J Reposted

⚠️Baba yangu aliniambia Sauti ya Masikini Huwa haiendi mbali ,pambana Mwanangu ili ukiongea usikilizwe.📌


Tangazo lililopita walisema mapema wiki hii ambayo ndio hiyo iliyo isha matokeo yake wame lipa watu wachache sana bado vijana tupo tuna wadai @SuluhuSamia @ridhiwankikwete @WizaraArdhi @KassimMajaliwa_

Vijana mmelipwa nyote? Wa Data conversion?? Pitia hapa chini muelewe 👇🏿👇🏿

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4


Simba ⚽⚽🦁 🦁

Watu wa Simba jitambulisheni kwa RT moja yenye hadhi ya NYOTA 2 tafadhali…..

Tweet Image 1


J Reposted

BACK BENCHA tunawakumbusha kuwa USIOGOPE KUSHINDWA ila OGOPA unachofanya BAADA ya KUSHINDWA. THOMAS EDSON alifanya MAJARIBIO zaidi ya 1000 ambayo YALISHINDWA lakini Leo hii tunafurahia BALBU ambayo ni Moja ya MAFANIKIO yake. Morning Africa.🤝


J Reposted

Tumalize ubishi kabisa Retweet kwa Roma Mkatoliki Like kwa Wakazi

Tweet Image 1
Tweet Image 2

J Reposted

Wapwa Mchana huu Leteni HANDLE ZENU MUINUKE MMOJA MMOJA 1- LIKE HII TWEET 2- NIFOLLOW NIKUFOLLOW 3- FOLLOW ATAKAE LIKE HANDLE YAKO 4- PIGA NYETO KWA AFYA YAKO😂


J Reposted

Moja kati ya baraka tunazozichukulia poa ni: ➡️ “KUANZA SIKU MZIMA ➕ KUMALIZA SIKU MZIMA” au ➡️ “KUTOKA NYUMBANI MZIMA ➕ KURUDI NYUMBANI MZIMA” UHAI ni TUNU 💚


J Reposted

I wish I could post this video everywhere possible. Well said Mh. Waziri @HusseinBashe #KilimoNiBiashara #KilimoNiAjira. cc: @TIFPLCTanzania


J Reposted

RT for your Mom.

Tweet Image 1

United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.