Edmond Kitundu
@Ideas__HouseMusic Producer_Entrepreneur_Ideas Man_
Similar User
@BoulardZayn
@OMgumba
@AhmedAb42523097
Hi, is anyone feeling generous? I'm working with young talented people in my community and we're raising funds to set up a home music studio. Kindly give to our crowdfunding campaign, we'd be eternally grateful for your support. indiegogo.com/projects/music… Thank you 🙏
Wakati katiba ya Tanzania ya mwaka 1965 inabadilishwa mwaka 1977,wananchi wa kawaida walikua wanahitaji maji,elimu, afya n.k lakini bado waliona kuna umuhimu wa kuandika katiba mpya. Kama tangu 1977 tumeshindwa kupata maji kwa katiba hii, basi tusitegemee miujiza.
Hi @djsbu your song Everything happens for a reason from Y-Lens Vol 1 has been on my mind all day. Finally listening to it now, I'm feeling at peace and also emotional. It'll all work out in the end I know ❤️ Thanks for the music.
"If you are silent about your pain, they'll kill you and say you enjoyed it." —Zora Neale Hurston
Yani mama aliwaambia wabunge mijadala yao haina afya bungeni wakapiga makofi wakishangilia😂😂walikuwa wanashangilia nini??
By the way, NMB wametangaza tenders. Ziko 106 so hauwezi kukosa kipengele chako. Kuanzia kusupply vifaa mpaka social media influencers. Sema muwahi maana maombi yanafungwa keshokutwa saa 9 mchana. Share na wenzako.
The works of Ghanaian Sculptor, Kumi Samuel.
A SHORT THREAD 🪡 👉🏾Kuna umuhimu gani wa kuwa na CAG anaesoma reports wakati nothing's being done afterwards? 👉🏾Report imesomwa last week, tumewaona wezi na tunawajua, ila hawajashughulikiwa.. 👉🏾Labda kama inasomwa ili kuweka records straight.. 👉🏾ila otherwise, its pointless..
Oh man, okay!!
Procrastination is the arrogant assumption that God owes you another opportunity to do what you had time to do!
Kuna Siku Ndani Ya HiliHili Bunge, Atasimama Mbunge Mmoja Na Atasema “NI BORA WAPINZANI WANGEKUWEPO TU HUMU BUNGENI” Ipo Siku. #SaveThisTweet
“Wengine hufikiri kuwa kujielimisha ni kujua kusoma na kuandika.Hilo ni kosa, lakini si kubwa kama la pili.Wengi wetu, hasa baadhi ya viongozi, hufikiri kuwa tunajua kila kitu na hatuna haja kujifunza jambo lo lote zaidi.” #Mwal Nyerere #ChangeTanzania
Mr @freemanmbowetz once again you have won my heart and my minds. You are a true son and patriot of the soil, you are my hero! Very few in the history of our country have ever made a sacrifice of that scale for the sake of salvaging our freedom and democracy.
Watanzania tusipoamka usingizini na kuanza kudai Katiba Mpya itakayobadili mifumo ya utawala, fedha za kodi zetu zitaendelea kutafunwa na kikundi kidogo cha watawala miaka nenda rudi na tuendako utafunaji utashika kasi kubwa sana. Tutajuta kweli kweli.
“Ideas are cheap, execution is everything”
Tunahitaji nchi inayoongozwa kwa utawala wa Sheria na sio favour, Katiba mpya ndio muarobaini kwa sasa..
CAG : Mradi wa umeme bwawa la Nyerere unatumia upembuzi wa mwaka 1970 Mwaka 1970-2021 ni miaka 51.. mabadiliko ni makubwa mno, watu wameongezeka maradufu. Shughuli za binadamu zimeongezaka, mto rufiji maji yamepungua kuliko kipindi hicho.. Tuliposema hamkusikia “White elephant “
United States Trends
- 1. #LasVegasGP 40,2 B posts
- 2. Auburn 34,8 B posts
- 3. Bama 36,2 B posts
- 4. Lakers 39,3 B posts
- 5. Max Verstappen 106 B posts
- 6. Lewis 102 B posts
- 7. UCLA 10,5 B posts
- 8. Sainz 38,2 B posts
- 9. Chuck Woolery 4.370 posts
- 10. Lando 32,4 B posts
- 11. Nuggets 30,4 B posts
- 12. LAFC 3.535 posts
- 13. Oklahoma 50,5 B posts
- 14. Ferrari 57 B posts
- 15. Jokic 20,7 B posts
- 16. George Russell 26,2 B posts
- 17. Milroe 17,1 B posts
- 18. Love Connection 4.837 posts
- 19. #AEWFullGear 84 B posts
- 20. Texas 149 B posts
Something went wrong.
Something went wrong.