Halal enterprises
@H__EnterprisesHuman resource officer (HR)| insightful thoughts| wise sayings.
Nguzo za imani ya kiislamu 1. Kumuamini Mwenyezimungu 2. Kuamini malaika wa mwenyezi Mungu 3.Kuamini vitabu vya Mwenyezi mungu 4. Kuamini mitume wa mwenyezi Mungu 5. Kuamini siku ya mwisho 6. Kuaminika qadar yake (Hatima)
Wallahi you’ve no idea how lucky you are to be a Muslim. Alhamdulillah🥹
Ayat ya leo Na yeye ndiye aliyeumba usiku na mchana na jua na mwezi, vyote katika anga vinaogelea Al-Anbiya-u-33
It's not correct to say Inshallah, it's correct way is In sha Allah
Swala za fardh katika uislamu Fajr (asubuhi) Dhuhr (Adhuhuri) Asr (Alasiri) Maghribi Isha
Nguzo tano za uislamu 1. Shahada 2. Kusimamisha swala tano 3. Zakat 4. kufunga mwezi mtukufu wa Ramadhan 5. Kwenda kuhiji Makkah kwa kila mwenye uwezo
The beauty of young reciters🥺🤍.
Wapo Wanaoiliza Sana Kuhusu Faida Vitunguu Swaumu, Hizi Hapa... 1. Inaimarisha na Kuboresha kinga yako ya mwili. 2. Inapunguza Hatari na uwezekano wa Kupata Cancer. 3. Kuimarisha Afya ya Moyo! 4. Inaimarisha Mzunguko wa Damu! Pia, swaumu Zina Vitamin C, Madini ya Calcium na…
Aya ya leo Mmeandikiwa- mmoja wenu anapofikwa na mauti, kama akiacha mali- afanye wasia kwa wazazi wake na jamaa zake kwa namna nzuri inayo pendeza. Ni waajibu haya kwa wachamngu. AL-BAKARA -180
Ayat ya leo Na wapeni wanawake mahari yao hali ya kua ni kipawa. Lakini wakikutunukieni kitu katika mahari, kwa radhi yao, Basi kileni, kiwashuke kwa raha. An-Nisaa-u-4
United States Trends
- 1. $PLUR 5.678 posts
- 2. $DUCK 7.673 posts
- 3. Bill Belichick 31,8 B posts
- 4. Iran 268 B posts
- 5. Beal 1.928 posts
- 6. Wray 157 B posts
- 7. Shams 5.156 posts
- 8. West Point 77,7 B posts
- 9. Vatican 11,6 B posts
- 10. Rich Rod 2.060 posts
- 11. Casas 29,6 B posts
- 12. New Jersey 143 B posts
- 13. Ferran 54,8 B posts
- 14. Hartline 1.822 posts
- 15. F-35 10,9 B posts
- 16. Montana 22,9 B posts
- 17. Chapel Bill 5.238 posts
- 18. Pentagon 53,1 B posts
- 19. smtown 30,2 B posts
- 20. Rapunzel 7.716 posts
Something went wrong.
Something went wrong.