@Alexamos3_ Profile picture

Alex Amos

@Alexamos3_

Anything we do we a business||Yanga & Arsenal fan|| Sales Force Executive at @jubileelifetz ||Sales Agent Platinum Credit Ltd

Joined February 2020
Similar User
Prof Mwamasinga photo

@ProfBarakaM

Anderson photo

@anderson_saimon

GUSTAVO photo

@AfisaUbashiri

Mneka Jr photo

@baraka__8

Tienyi Daniel. photo

@tienyidani

Dokta suley photo

@dokta_suley

George photo

@JojiBonus

king lameck photo

@king_lameck

man_chuse photo

@chuse1990

Anko nedd photo

@ankonadeem

guyu photo

@Mld3dd

kampuchea photo

@kampuchea39

Uncle Tony photo

@Uncletony90

Misungwi photo

@henritho

NORMAL MAN photo

@call_me_Normy

Pinned

1/12 BIASHARA 6 UNAZOWEZA KUFANYA DAR ES SALAAM KWA MTAJI WA 150K Dar ikiwa ni kitovu cha biashara Tanzania, inatoa fursa nyingi za ujasiriamali hata kwa mtaji mdogo. Kwa mtaji wa TZS 150k, unaweza kuanzisha biashara yenye mzunguko wa haraka na faida nzuri.


Tumalize na Mungu


Alex Amos Reposted

Alex Amos Reposted

Yawezekana tunaangushwa tunasababishiwa au tunateleza wenyewe kwa namna yoyote ile Ila tusiishie hapo tulipoangukia💋


Anza siku na Sala unahitaji sana ulinzi wa Mungu kuliko kitu chochote. Good Morning Familia


Tumalize na Mungu🙏🙏


Alex Amos Reposted

Usipoteze muda wako kubishana mahali penye maadui fanya maisha yako kuza kipato chako hela inakata shombo zote.


Kuna tofauti ndogo sana kati ya uvumilivu na kupoteza muda, sijui inamuhusu nani ila move on unapoteza muda wako


Alex Amos Reposted

Mwaka Unaenda Kuisha Kitu gani Cha Maana Ulichofanya.... Au Umeishia Kufanya Mapenzi Tu.🤣


Alex Amos Reposted

Kama Ungeambiwa Uchague Wimbo Mmoja Wa Bongo Fleva Usikilize Mwaka Mzima Ungechagua Wimbo Gani.?🤔


Kama mshahara wako wa mwezi hauwezi kulipia kodi kwa miezi 6, we ni jobless mwenzetu pambana upate kazi ndugu yangu.


Alex Amos Reposted

Alafu mtu unamuuzia kidali 5000 anakwambia unauza bei, kamkamate mwenyewe sasa kama unaweza😡


Alex Amos Reposted

Marafiki zao wanaweza kuwa marafiki zako ila jitahidi sana usiwafanye maadui zao kuwa maadui zako pia Good Morning Familia


Alex Amos Reposted

Kuna muda hata mimi mwenyewe sijiamini💯 alafu kuna mtu unakuta yuko serious kuniambia "trust me bro"😁😁 Ndugu yangu unataka nikuamini kuliko ninavojiamini like seriously 🤣🤣


Alex Amos Reposted

Kama umefikisha umri wa miaka 35, makadirio unakuwa umefika nusu ya miaka yako utakayoishi duniani (70yrs biblia). Na katika hiyo 35 umebaki na 10yrs tu kuwa na nguvu ya kufanya kazi baada ya hapo uzee! Guys Invest from now usije kuwatesa wenzako uzeeni kwa anasa zako za sasa.


Alex Amos Reposted

In your age of 25+ hupaswi tena kuwa na mtu wa ahsante babe nimeipata unapaswa kuwa na yule mtu wa kukuuliza ile pesa umefanyia nini cha maana!! Bro hawa viumbe walipewa matunda yote bustanini but still walitamani tunda moja la mti wa utambuzi wa mema na maovu!!


Alex Amos Reposted

Bado nina imani @YoungAfricansSC tutawashangaza wengi kwa kufika nusu fainali ya #CAFCL msimu huu

Alexamos3_'s tweet image. Bado nina imani @YoungAfricansSC tutawashangaza wengi kwa kufika nusu fainali ya #CAFCL msimu huu

Alex Amos Reposted

Dear Ladies! Sio kwa ubaya ila nawakumbusha tu kuwa lile baya unaloomba limkute mpenzi wako/ mmeo, kwa kipimo sawa na hicho kitamkuta na mwanao wa kiume. Kama unatamani mwanao aishi maisha ya furaha yeye na mke wake basi anza kumfanya baba yake awe na furaha, usimlaani mwanao.


Alex Amos Reposted

Kwanini wanawake wengi sio wabunifu na mnashindwa kujiongeza!! We unataka ndoa na unashindwa kujiongeza December hii ukabeba zawadi kibao ukapeleka kijijini kwa boyfriend wako!! Trust me wazee wana ushawishi mkubwa kwa kijana wao kuoa mwanamke wanaomtaka wao hasa wakimuelewa


Tunafundishwa kujiajiri na watu walioajiriwa😂😂

Alexamos3_'s tweet image. Tunafundishwa kujiajiri na watu walioajiriwa😂😂

Kipindi nikiwa mdogo Primary, kuna bibi mmoja kila tulivokuwa tunaenda kumuomba miwa, alikuwa kila akikupa muwa anausifia then anakupa na mbegu yake ukapande. Kipindi kile sikuelewa nini alikuwa anamaanisha ila sasa naelewa


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.