@Gado255 Profile picture

Kinyamkera

@Gado255

Digala 💰/ Kitaa LifeStyle 🔥/ Ngumi Nauza Bure!

Similar User
Shuku Senya photo

@SenyaShuku

Saidi R. Fundikira photo

@itetemia

Baraka Shao photo

@barakashao

stacyblackman photo

@stacyblackman

ℳ𝒾𝓃𝒹𝒾 photo

@Mindi_ams

chief__materu photo

@visentmateru

Omary Sallum photo

@sallum_omary

€hicharito $anga🇹🇿 photo

@ChicharitoSanga

Eng. Mohamed photo

@RummyClever

Kaishindwa photo

@Asaidiwe

Ivan Massawe photo

@ivannho24

❕ photo

@Kunta_Kinte_X

Ernest photo

@ErnestM__

M U S T I photo

@z_yIIV

Sadiki Anthony Minja photo

@sadiki_anthony

Kinyamkera Reposted

Kwenye taasisi kubwa na klabu kubwa ya kihistoria kama @YoungAfricansSC #Wananchi , watu wengi wanatoa mchango wao katika ujenzi wa klabu hii kubwa na kongwe barani Afrika, Muhimu zaidi sisi tuliopata bahati ya kuaminiwa katika kuitumikia klabu hii tuweke juhudi zetu zote katika…

Tweet Image 1

Kinyamkera Reposted

Ni kosa kubwa sana kujiona mkubwa kuliko Taasisi. Hakuna mwanadamu ambaye pengo lake halizibiki. Watu wengi huwa tunajisahau tu.


Kinyamkera Reposted

Nyingi sana


Kinyamkera Reposted

Mbeya siku zote niwashamba yena washamba kabisa wanajikutaga wajanja wakiwa dar lakini hawana utofauti na waha 🚮


Kinyamkera Reposted

About Tanzanians exposure and action to international opportunities, I have a lot to say that will upset most.🤐


Kinyamkera Reposted

Katuni

Tweet Image 1

Kinyamkera Reposted

30 Universities in the US with the Easiest Admission Process The following universities only require an online application, and you can upload transcripts, SOPs, and even letters of recommendation online. Their application will save you both time and money. Thread 🧵


Kinyamkera Reposted

Make sure your kids have a place called home before you depart

Tweet Image 1

Kinyamkera Reposted

Nimewahi jaribu, zamani wakati bado ni mtu mwema, nilitaka kufanya matumizi ya kijinga, nikaghairi, nikasimama buguruni baada tu ya mataa b4 tazara, kushoto kuna wamama wafanya biashara, nikawauliza wanahitaji sh ngapi kujikomboa, wengi wanataka 50k to 100k kuongeza mtaji!

Ile tweet ya jamaa aliyemsaidia dogo na mama yake aliyekua mgonjwa imenipa mawazo sana. Nimefikiria hela nnazopoteza ulevini na kwa mishangazi zinaweza kubadili maisha ya familia ngapi mpaka nimepata hasira. Jambo unaloliona dogo kwako linaweza kubadili maisha ya mtu completely.



Kinyamkera Reposted

Kikeke; Wewe umefika lakini mbona hatuoni watu? Mbowe; “Niwaulize nyie, watanzania mlivyo” so sad💔


Kinyamkera Reposted

Polisi wamemkamata Mbowe wakamuweka siti ya mbele ya gari. Naomba kukiri kuwa sikuwahi kushuhudia hali hiyo duniani. Huwa watu wakikamatwa wanakunjwa kwenye siti ya nyuma, au wanalazwa kwenye difenda. Nimetafsiri mambo mawili, ngoja tuone mwisho wake.

Breaking: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amekamatwa na Polisi baada ya kuwasili Magomeni Mapipa kuongoza maandamano. #CrownHabari



Kinyamkera Reposted

Oooh wanaoweza kuandamana ni Kenya tu, mshawahi kuona maandamano ya Zanzibar? Na hii ni 10yrs back nimejaribu kutafuta maandamano ya 1995 na 2001 sijayapata


Kinyamkera Reposted

Kenya vs Stanza

Tweet Image 1
Tweet Image 2

Kinyamkera Reposted

Amazfit GTR 2 LTE E-sim capable 150+ sports mode Sleep monitoring Stress monitor Blood oxygen level Make calls Receive messages


Lini utafanya kazi na kwanza unit?#AskFidQ


Do you remember when you joined X? I do! #MyXAnniversary

Tweet Image 1

Kinyamkera Reposted

"Tutahakikisha kiingereza kinafundishwa katika shule zote za Serikali na binafsi, kuanzia Chekechea." Mhe. @freemanmbowetz


Kinyamkera Reposted

Diamond is bigger than all Nigerian Afrobeat artist, Ni vile tu wabongo hatukubali vya kwetu.


Kinyamkera Reposted

📢 Kufuatia Upotoshaji uliofanywa na Chombo cha Habari cha Sauti ya Amerika, Mhe. @tonytogolani Balozi wa Tanzania Seoul anafafanua ….✍️🏾 “Taarifa hii ina mapungufu makubwa ya kiuandishi, kiuweledi na haiakisi ukweli kwa sababu: 1. Tanzania haijasaini Mkataba wowote na Jamhuri…

Tweet Image 1
Tweet Image 2

Kinyamkera Reposted

Ukweli ni kwamba Magufuli alipendwa na WA Tanzania wengi na kuchukiwa na wachache, napatwa na wasiwasi kuwa huenda zile kura za 2020 kweli zilikuwa zake wala hazikuibwa. Hapo votes za mwananchi zilikuwa so credible no wizi no brabra, matokeo ndo hayo


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.