@ErasimusO Profile picture

Erasi@

@ErasimusO

Joined June 2015
Similar User
Baisar Abdallah photo

@malambili

Gaius Baltar photo

@BaltarOverride

Denise Yulita❤️😘👠👑 photo

@2Litaz

Oliver Daniel photo

@olverdaniel

Gur Singh photo

@iamgursingh

Joseph Mbassi photo

@JosephFaru

Musa photo

@gabisajr

Simu 2000 mgomo tena

Tweet Image 1

Hivi kumbe Nembo ya Taifa ilishabadirika? Ilibadirishwa Mwaka gani?

Tweet Image 1

Hivi TRA huwa wanatumia kigezo gani kujua mfanyabiashara mdogo kuwa mtani umepanda ikiwa wanakadiria tu? Wao wanakisia kuwa kila mwaka biashara lazima ipande je! Kama mwaka huo biashara imeyumba itakuaje? Nisaidieni kwa hili cz hata ukiwa na Efd bd wanakukadiria pia wao wenyew


Gwajima Mbunge wa Kawe Yuko wapi? Yaani jimbo la Kawe tunahasara Kwakweli nikama hatuna Mbunge wala Madiwani. Gwajima anashiriki kuhujum maeneo ya wazi kwa kutaka kukimirikisha Chama dola hasa Kata ya Kunduchi na maeneo mengine katika jimbo kwa nini hawaachi tabia hizi? Tumech

Tweet Image 1

Mbunge wa jimbo la Kawe Gwajima aliahidi kujenga barabara za jimbo mpk leo kajenga ngapi? Madale, Mivumoni, Wazo, Salasala, Mbezi beach, Mbezi Juu, Tegeta, Kondo, Ununio, Boko, Bunju, Mabwepande, Kinondo, Msigani, Nakasangwe, Mbopo, Kunduchi, Ukipita huko Barabara hazifai.

Tweet Image 1

Amelewa madaraka! Hata Waziri wa fedha aliwahi kusema asiyetaka aende akaishi Burundi. Cheo ni dhamana wanajibu ovyo kwakuwa wanafaham hatuwezi kuwafanya chochote ni dharau sana. Wanakula bure nyumba bure gari na mafuta bure wafanyakazi wa ndani bure watoto wao wanasoma bure.

Tweet Image 1

Wakati tunakua miaka ya 90 Tsh 200 Noti ndiyo pesa ilikuwa na thamani na mzunguko mkubwa sokoni leo Elfu kumi noti ukienda nayo sokoni utapata vitu hata mfuko wa mia tano haujai. Haya ni maendeleo au ni kuporomoka kwa saragu? Wachumi tusaidieni



ACT Wazalendo wanadhihirisha wazi kuwa wao siyo chama cha upinzani ila ni tawi la Chama Dola a.k.a CCM Dola. Halafu ikifika wakati wa uchaguzi watataka kuungana, wanaleta siasa za kisanii na propaganda.

Tweet Image 1

Yubilei ya 200 ya Wamisionari wa Damu Azizi ya Yesu. Karibu ujipatie… instagram.com/p/BD3Yg7IsChmP…


Karibu ujipatie kitenge cha Mwaka wa Huruma ya Mungu kutoka Kwa… instagram.com/p/BD3Y_KhMCie_…


@Freeman_Mbowe Tupo pamoja katika kilahatua hatubabaidhwi na mkoloni mweusi, mabadilikooooooo


@elienegarcia16 Morning my dear sweety


United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.