@DrMeku Profile picture

Dr. Meku 🇿🇼

@DrMeku

Shabiki wa Young African SC, MWANANCHI.

Joined April 2017
Similar User
Kadiri Waziri M—Brand Designer photo

@kadiriwazirim

TYVAVijana photo

@TYVAvijana

Tunzaa Fintech Inc. photo

@tunzaaHQ

Mmassy Jr (II) photo

@LelloMmassy

Henry M.Kulaya photo

@KulayaHenry

Faustine photo

@RednetCompany

Asat Ayo photo

@asatayo

Philbert James photo

@mwamba_wakusini

Gabriel Mwang'onda🇹🇿 photo

@GMwangonda

Jane Shussa photo

@ShussaJane

Golden Heart 💥 photo

@Kelvin__France

Anto Killa👣 photo

@Antokillaa

Thomas Ludovick photo

@tludovick

Sheria Poa photo

@SheriaPoa

Shembu photo

@henrymhina__

Pinned

SOCIAL MEDIA CAMPAIGNS (Kwa beginners) - Part 1 Inawezaka umewahi kusikia mara kadhaa watu wakiongelea ‘Social Media Campaigns’, pengine ukahisi ni li-jibwana likubwa saana, NIKUTOE WASIWASI. Uzi huu tutaangalia 1. hizi ‘campaigns ni nini, 1/ #UZI #OngezaMaarifa

Dr. Meku 🇿🇼 Reposted

Lubumbashi🇨🇩🛬

YoungAfricansSC's tweet image. Lubumbashi🇨🇩🛬
YoungAfricansSC's tweet image. Lubumbashi🇨🇩🛬
YoungAfricansSC's tweet image. Lubumbashi🇨🇩🛬
YoungAfricansSC's tweet image. Lubumbashi🇨🇩🛬

Dr. Meku 🇿🇼 Reposted

MADE in TANZANIA. 2024 has been the BEST investment year for Tanzania since economic liberalization of late 1980s. -record FDI inflow (over $7.7 BILLION) -record number of projects (over 830) -record number of local investors (over 50%) -record jobs to be created (over…

KIWANDA CHA KWANZA CHA SYRINGES KUANZA UZALISHA WAKE NCHINI Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) na Bohari ya Dawa Tanzania (MSD) wametembelea Kiwanda cha kutengeneza sindano cha MEDICAL DAWLIA LIMITED kilichopo Kigamboni, Dar es Salaam leo Tarehe 11Desemba 2024 kuangalia hali ya…

InvestTanzania's tweet image. KIWANDA CHA KWANZA CHA SYRINGES KUANZA UZALISHA WAKE NCHINI 

Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) na Bohari ya Dawa Tanzania (MSD) wametembelea Kiwanda cha kutengeneza sindano cha MEDICAL DAWLIA LIMITED kilichopo Kigamboni, Dar es Salaam leo Tarehe 11Desemba 2024 kuangalia hali ya…

Kufuga Kuku wa Kienyeji ni mchongo kwetu Vijana.

Dr. Meku 🇿🇼 Reposted
m_mamatz's tweet image.

Dr. Meku 🇿🇼 Reposted

Kwa kuzingatia kwmaba ifikapo Mwaka 2050 , Tanzania itakua na watu wapatao Million 140 basi Dira ya Maendeleo ya 2025-2050 inataka Tanzania iwe itimizia hizi sabaha 20. 1. Tanzania kuwa nchi yenye hadhi ya kipato cha kati ngazi ya juu, ukichagizwa na sekta ya uzalishaji…

Mwitah_tz's tweet image. Kwa kuzingatia kwmaba ifikapo Mwaka 2050 , Tanzania itakua na watu wapatao Million 140 basi Dira ya Maendeleo ya 2025-2050 inataka Tanzania iwe itimizia hizi sabaha 20.

1. Tanzania kuwa nchi yenye hadhi ya kipato cha kati ngazi ya juu, ukichagizwa na sekta ya uzalishaji…

Dr. Meku 🇿🇼 Reposted

Karibu Jangwani Israel Mwenda🔰 Kwa taarifa zaidi tembelea Yanga SC APP📲 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

YoungAfricansSC's tweet image. Karibu Jangwani Israel Mwenda🔰

Kwa taarifa zaidi tembelea Yanga SC APP📲

#TimuYaWananchi 
#DaimaMbeleNyumaMwiko

Dr. Meku 🇿🇼 Reposted

Picha hizi mbili zimetufundisha mambo kadhaa: 1. Watu wanataka habari zinazothibitisha hisia zao. 2. Watu wapo tayari kusambaza habari za uongo kwa haraka. 3. Bila kujali hisia binafsi, daima jaribu kuthibitisha ukweli wa habari.

thomasjkibwana's tweet image. Picha hizi mbili zimetufundisha mambo kadhaa:  

1. Watu wanataka habari zinazothibitisha hisia zao.  
2. Watu wapo tayari kusambaza habari za uongo kwa haraka.  
3. Bila kujali hisia binafsi, daima jaribu kuthibitisha ukweli wa habari.

The Dar Rapid Transit (DART) Agency has signed an agreement with the International Finance Corporation (IFC) to facilitate the development of phases three and four of the Bus Rapid Transit (BRT) system in Dar es Salaam. Under the agreement, IFC will act as the transaction…

Dr. Meku 🇿🇼 Reposted

KUNA UDIKTETA WA WENGI DHIDI YA WACHACHE WALIO SASAHIHI NA WA WACHACHE DHIDI YA WENGI WALIO SAHIHI. Chama kisichokuwa na Dola msingi wake mkubwa ni Watu. Na katika kila jamii ya Mahali kwa wakati fulani kunakuwa na watu thabiti wenye haiba na mvuto kupitia matendo yao…

Dr. Meku 🇿🇼 Reposted

Regardless of the size of your poultry project , the following basics must be met: 1. A poultry house strong enough to project chickens from rain, wind, and sun. 2. Feed and water. 3. Source of heat 4.Beddings or litter materials. 5.A Biosecurity and vaccination program.

Radvan_Vedasto's tweet image. Regardless of the size of your poultry project , the following basics must be met:

1. A poultry house strong enough to project chickens from rain, wind, and sun.

2. Feed and water.

3. Source of heat 

4.Beddings or litter materials. 

5.A  Biosecurity and vaccination program.

Dr. Meku 🇿🇼 Reposted

Sheria ya Uhuru wa Tanganyika ya Mwaka 1961 Tarehe 9 Desemba 1961, Tanganyika ilijiunga rasmi na mataifa huru duniani, hatua iliyoashiria kipindi cha kihistoria kwa taifa letu. Hatua hii kubwa ilifikiqa kupitia Sheria ya Uhuru wa Tanganyika ya 1961 (Tanganyika Independence Act…

thomasjkibwana's tweet image. Sheria ya Uhuru wa Tanganyika ya Mwaka 1961

Tarehe 9 Desemba 1961, Tanganyika ilijiunga rasmi na mataifa huru duniani, hatua iliyoashiria kipindi cha kihistoria kwa taifa letu. Hatua hii kubwa ilifikiqa kupitia Sheria ya Uhuru wa Tanganyika ya 1961 (Tanganyika Independence Act…

Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya utajiri mkubwa na muda. Kama unataka PESA ya kubadilishia mboga na kuweka mafuta kwenye gari basi wekeza kwenye short term investment. Ila kama unahitaji PESA nyingi na muda wa kutosha kuenjoy maisha basi wekeza kwenye long term investment.

Paulbomani1's tweet image. Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya utajiri mkubwa na muda.

Kama unataka PESA ya kubadilishia mboga na kuweka mafuta kwenye gari  basi wekeza kwenye short term investment.

Ila kama unahitaji PESA nyingi na muda wa kutosha kuenjoy maisha basi wekeza kwenye long term investment.

Kikosi kinachoanza dhidi ya MC Alger #CAFCL #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

Dr. Meku 🇿🇼 Reposted

EPZA Launches Collective Investment Scheme to Boost SEZ Industrial Infrastructures. Following the success of the Samia Bond, the Export Processing Zones Authority (EPZA) has introduced a Collective Investment Scheme (CIS) to address infrastructure challenges in Tanzania’s…

Dr. Meku 🇿🇼 Reposted

🔰𝐍𝐄𝐗𝐓 𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇🔰 🏆 #CAFCL ⚽️ MC Alger🆚Young Africans SC 📆 07.12.2024 🏟 5 July 1962 🕖 8pm🇩🇿 10pm🇹🇿 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

YoungAfricansSC's tweet image. 🔰𝐍𝐄𝐗𝐓 𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇🔰 

🏆 #CAFCL 
⚽️ MC Alger🆚Young Africans SC
📆 07.12.2024
🏟 5 July 1962 
🕖 8pm🇩🇿 10pm🇹🇿

#TimuYaWananchi 
#DaimaMbeleNyumaMwiko

Dr. Meku 🇿🇼 Reposted

Karibu Young Africans SC Fitness Coach Adnan Behlulović🔰💪🏽 Adnan Behlulović anaungana na Taibi Lagrouni kuongeza nguvu kwenye idara ya utimamu wa mwili kwa wachezaji wetu. Habari zaidi inapatikana Yanga SC APP📲 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

YoungAfricansSC's tweet image. Karibu Young Africans SC Fitness Coach Adnan Behlulović🔰💪🏽

Adnan Behlulović anaungana na Taibi Lagrouni kuongeza nguvu kwenye idara ya utimamu wa mwili kwa wachezaji wetu. 

Habari zaidi inapatikana Yanga SC APP📲

Kwani ile ndege ya viongozi inanunuliwa lini? Hatuwezi kukubali viongozi wetu waendelee kupitia shida nzito kama hivi wakati wana majukumu mazito ya kitaifa. Tunaomba ndege ya viongozi inunuliwe hara iwezekanavyo

Moja ya basi lililokuwa limewabeba Wabunge wanaoelekea kwenye Mashindano ya Michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Mombasa Nchini Kenya, limepata ajali ya kugongana na lori la mizigo maeneo ya Mbande Kongwa asubuhi hii ya leo December 06,2024. Taarifa iliyotolewa na…

millardayo's tweet image. Moja ya basi lililokuwa limewabeba Wabunge wanaoelekea kwenye Mashindano ya Michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Mombasa Nchini Kenya, limepata ajali ya kugongana na lori la mizigo maeneo ya Mbande Kongwa asubuhi hii ya leo December 06,2024.

Taarifa iliyotolewa na…

Dr. Meku 🇿🇼 Reposted

Exciting Internship and Volunteering Opportunities at EBM SCHOLARS! Location: Dar es Salaam, Tanzania (Behind Sky City Mall) Position: Admissions and Scholarships Officer (Volunteer/Intern) Are you passionate about education and eager to help students achieve their academic…

EBMSCHOLARS's tweet image. Exciting Internship and Volunteering Opportunities at EBM SCHOLARS!

Location: Dar es Salaam, Tanzania (Behind Sky City Mall)
Position: Admissions and Scholarships Officer (Volunteer/Intern)

Are you passionate about education and eager to help students achieve their academic…

😅😅 madawati ya elimu kwa umma za BOT na other mutual funds zipitie hapa kwenye comments kuna wateja wengi sana wanahitaji elimu haki ya Mungu tena.

Mnaonaje kuhusu hizi bonds wakuu? Tuinvest 😀

Dr. Meku 🇿🇼 Reposted

"Kupitia uwakilishi wake" natamani tujadili hapa my brother. Amefanya nini hapa mkuu ? Na natamani tutumie "POLIS" mfumo wa utunzaji taarifa za kibunge kama Hansards etc ambazo ni compilation ya maswali na michango ya waheshimiwa ili tujue Sugu alifanya kitu Gani katika general…

Loading...

Something went wrong.

Something went wrong.