ColonelStevie's profile picture. #𝕄𝕒𝕟𝕌𝕥𝕕   #𝕐𝕒𝕟𝕘𝕒𝔽𝕔 IG:@𝕔𝕠𝕝𝕠𝕟𝕖𝕝_𝕟𝕚𝕟𝕛𝕒

𝕋𝕙𝕖 𝕃𝕒𝕤𝕥 𝕆𝔾

@ColonelStevie

#𝕄𝕒𝕟𝕌𝕥𝕕 #𝕐𝕒𝕟𝕘𝕒𝔽𝕔 IG:@𝕔𝕠𝕝𝕠𝕟𝕖𝕝_𝕟𝕚𝕟𝕛𝕒

Joined August 2013
Similar User
SimpertE's profile picture. Ukijua kutega ujue na kutegua.

@SimpertE

callmeragie's profile picture. Wauzaji wa jumla na Rejareja wa spares za malori kutoka ulaya. MAN, SCANIA, BENZ, DAF, IVECO.  phone: +255 746 129 169

@callmeragie

Pinned

KATIBA MPYA NI LAZIMA....😲

Bwana @hpolepole amesema Katiba hii ya 1977 ina mapungufu mengi ebu msililizeni Mpaka Mwisho.........

Mzee murio hajuii kama Kuna video au? 😅

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limesema Shabiki mmoja wa Timu ya CS SFAXIEN ya Tunisia ameumia katika fujo zilizotokea Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es salaam huku jumla ya viti 256 ( 156 vya bluu 156 na Orange 100) viking’olewa na Mashabiki wa Club hiyo leo December…

millardayo's tweet image. Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limesema Shabiki mmoja wa Timu ya CS SFAXIEN ya Tunisia ameumia katika fujo zilizotokea Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es salaam huku jumla ya viti 256 ( 156 vya bluu 156 na Orange 100) viking’olewa na Mashabiki wa Club hiyo leo December…

𝕋𝕙𝕖 𝕃𝕒𝕤𝕥 𝕆𝔾 Reposted

HIGHLIGHTS 📹 ⚽ @YoungAfricansSC ’s Prince Dube comes through with a last-minute goal to secure a 1-1 draw against @TPMazembe 🌟 #TotalEnergiesCAFCL | @Football2Gether

Kaka si ungesubir mpira uishee tuu 😅

This post is unavailable.

Tayariiii washapigwaa kenee mshonooo😅

SIMBA 🇹🇿 wakiwa nyumbani mechi 6 za mwisho CAF ✅ Simba 2-0 Wydad ✅ Simba 6-0 Jwaneng ❌ Simba 0-1 Al Hly ✅ Simba 3-1 Al Ahli Tripoli ✅ Simba 1-0 Bravos 🧑‍🍳🧑‍🍳

SportsarenatzTz's tweet image. SIMBA 🇹🇿 wakiwa nyumbani mechi 6 za mwisho CAF

✅ Simba 2-0 Wydad
✅ Simba 6-0 Jwaneng
❌ Simba 0-1 Al Hly
✅ Simba 3-1 Al Ahli Tripoli
✅ Simba 1-0 Bravos

🧑‍🍳🧑‍🍳

Baba kafa na ukimwi afu eti mama afe kwa mafuaaa😅

Fadlu anatoa somo jinsi ya kucheza mechi za ugenini, kipindi cha kwanza Simba wamepiga pasi (228) huku wakigusa mpira x (3) kwenye Box la Constantine. Simba wanacheza kwa swagger huku wakitoka nyuma kuwa pası fupi fupi "Tipi tap Football " Bila mpira Simba wanazuia vizuri sana…

SportsarenatzTz's tweet image. Fadlu anatoa somo jinsi ya kucheza mechi za ugenini, kipindi cha kwanza Simba wamepiga pasi (228) huku wakigusa mpira x (3) kwenye Box la Constantine.

Simba wanacheza kwa swagger huku wakitoka nyuma kuwa pası fupi fupi "Tipi tap Football "

Bila mpira Simba wanazuia vizuri sana…

Tuu shud sack arteta and jus keep kocha wa set piece instead

Hojlund Highlights against Arsenal

𝕋𝕙𝕖 𝕃𝕒𝕤𝕥 𝕆𝔾 Reposted

Ready to get back to it in the league 😤 #SALHRG

SalfordCityFC's tweet image. Ready to get back to it in the league 😤 

#SALHRG
SalfordCityFC's tweet image. Ready to get back to it in the league 😤 

#SALHRG
SalfordCityFC's tweet image. Ready to get back to it in the league 😤 

#SALHRG

Naomba Nisaidie jeshi la police..gari iliinekana gogoni police au stakiwi kusaidia jeshiii☹️

Abdul Nondo atelekezwa Coco Beach

tanpol's tweet image. Abdul Nondo atelekezwa Coco Beach

𝕋𝕙𝕖 𝕃𝕒𝕤𝕥 𝕆𝔾 Reposted

Huyu mtu mbona kama ana kitu?

Inchi ya kisengee hii serikali wangesema passport buree, watulipie na gharama za visa husika tungewaachia 🇹🇿 yaoo wapigee wanavotakaa

Anayedaiwa kuwa mgombea katika kitongoji cha Mgera B, kata ya Mwandiga mkoani Kigoma amekamatwa alfajiri ya leo akiwa na kura ambazo zimeonekana kuwa na muhuri wa Tume ya Uchaguzi.

Inchi ya democrasia na vyama vingii 😅 na blah blah zingine kibaoo😎

HAKUNA UCHAGUZI.

𝕋𝕙𝕖 𝕃𝕒𝕤𝕥 𝕆𝔾 Reposted

Hawa vibaka wamekamatwa nyumbani kwa Aida Kenani, Mbunge wa CDM Jimbo la Nkasi, Rukwa, wakiwa na dumu la mafuta ya petrol. Walienda kuchoma nyumba yake kwa maelekezo ya DC Nkasi. Vibaka hawa wanatumika na CCM kufanya uhalifu. Look at them now!

TitoMagoti's tweet image. Hawa vibaka wamekamatwa nyumbani kwa Aida Kenani, Mbunge wa CDM Jimbo la Nkasi, Rukwa, wakiwa na dumu la mafuta ya petrol.  

Walienda kuchoma nyumba yake kwa maelekezo ya DC Nkasi. 

Vibaka hawa wanatumika na CCM kufanya uhalifu. Look at them now!

Hiii inamaaanisha hata @TZWaziriMkuu haijui katiba ya inchi yakee, inaskitishaa🤦🏽‍♂️

😳😳😳😳

Ka msengeee🤬

“Tunamshukuru Rais Samia Kwakuwa angalau watu 45 wameokolewa na watano wamepoteza maisha, tunaendelea kupongeza kazi nzuri inayofanywa na uongozi wa awamu ya sita” Msemaji wa Wafanyabiashara Kariakoo

AbroadTanzania's tweet image. “Tunamshukuru Rais Samia Kwakuwa angalau watu 45 wameokolewa na watano wamepoteza maisha, tunaendelea kupongeza kazi nzuri inayofanywa na uongozi wa awamu ya sita” Msemaji wa Wafanyabiashara Kariakoo

United States Trends
Loading...

Something went wrong.

Something went wrong.