Similar User
@lostunner
@JizzeMick
@babaatino
@Barfumuthobias
@JohnBos49371197
@StewardJavan
@siravianny
@KulayaLadslaus
@Walter_Timoth
@Dumelakienyeji
@Paboneasy
@kelvleon
@saintbob__
@DaffaMousa
@Chepezi
Kuna watu wengi tunapoteza haki zetu kwasababu hatujuhi sheria... nawaza kama kila familia ingekuwa na mwanasheria 1 (wakili msomi 1) basi hata magereza hizi zigekuwa na watu wachache sana, kwani wengi wao wanafungwa bila hatia, kwa sababu tu hawajuhi sheria.
Tukiwa tunafanya toba kwa Mungu,huwa tunaomba msamaha hata kwa makosa ambayo tumetenda bila kujua kuwa ni dhambi, vile vile kwetu sisi pia unaweza kumkosea mwenzako bila kujua kuwa umemkosea. Tujifunze kuambiana ukweli na kusameheana bila kuweka chuki, makasiriko, wala masononeko
Mtu wa karibu yako akikukosea usimkasirikie, kuna uwezekano asijue alipo kukosea. Muite kwa upole, mueleze kosa lake. bila shaka mtazidi kudumisha ukaribu wenu zaidi.
Usiruhusu watu waseme huwezi kuishi bila wao, wakumbushe kuwa kuna wakati ulikuwa huwajui na bado uliishi bila wao.
Samehe na uachilie. Sio kwa sababu kakuomba msamaha bali kwa sababu nafsi yako ina stahili amani.
"Mafanikio hufungua dirisha sio geti kuruhusu wachache kwa zamu. Tukitaka tufanikiwe wote kwa wakati mmoja upo uwezekano mkubwa tukakosa kufanikiwa wote." ~Togolani Mavura.
Kwenye kitabu cha mafanikio kuna kurasa za mateso, chuki, kudharauliwa, kukatishwa tamaa na kuna kurasa nyingine si za kusoma kwa sauti.
Wapo watu wanao tafuta makosa yako ili wakukimbie, na wapo ambao huyafumbia macho makosa yako kwa sababu wana kupenda.
Mafanikio ni mchakato wala sio bahati, chochote unacho kifanya leo ndio kinacho jenga ama kubomoa kesho yako.
Paka mwenye malengo hamli panya mwenye mimba..
Pilau la Jumapili mateso. Unatumwa, hadi likija kuiva umechoka
Chomoa Ka laki hapo kwenye Ada ya mtoto ukamwagilie Moyo elimu haina mwisho ๐
Day 8/365-2023 Unaamuka asubuhi kwenda kumdai deni kwa rafiki yako unamkuta anapiga mswaki na chumvi ๐คฃ๐คฃ
Maisha tunayoishi ni hadithi kabisa maana tushazika ,wazazi,ndugu jamaa na marafiki.tengeneza hadithi nzuri maishani.
Mwanamke mnyenyekevu ni pumziko la kudumu kwa mwanaume mpambanaji..
Sifa za uhakika ni zile tu unazopewa ukiwa umeondoka sehemu ambayo ulikuwepo ๐ Gm
Ukithubutu kuwa na ndoto, thubutu kuifuata hiyo Ndoto. Thubutu kupita kwenye Maumivu na shida ili kufikia Malengo yako.
United States Trends
- 1. Pam Bondi 119ย B posts
- 2. Jameis Winston 3.439 posts
- 3. Gaetz 943ย B posts
- 4. Brian Kelly 3.394 posts
- 5. Browns 32ย B posts
- 6. #911onABC 11ย B posts
- 7. Bryce Underwood 18,5ย B posts
- 8. #GoBlue 5.920 posts
- 9. #TNFonPrime 1.821 posts
- 10. #PITvsCLE 2.537 posts
- 11. Michigan 68,4ย B posts
- 12. Brad 33,6ย B posts
- 13. #DawgPound 2.692 posts
- 14. Lindor 3.605 posts
- 15. Trump University 10,3ย B posts
- 16. Shohei Ohtani 50,6ย B posts
- 17. Seton Hall 1.115 posts
- 18. Keanu 10,2ย B posts
- 19. Aaron Judge 18,4ย B posts
- 20. Kazee N/A
Who to follow
-
Lostunner
@lostunner -
Mick Jizze
@JizzeMick -
Tino
@babaatino -
#๐ช๐ฎ๐ณ๐๐น๐ฎ๐ฐ๐ต๐ฒ๐ฏ๐๐ธ๐ฎ๐๐ถ '๐ ๐ด๐ฎ๐บ๐ฏ๐ผ'
@Barfumuthobias -
JohnBosco๐น๐ฟ
@JohnBos49371197 -
Jay๐น๐ฟ
@StewardJavan -
MJAPANI_MWEUSI
@siravianny -
Chofu_Forever Living Product
@KulayaLadslaus -
Walter Timothy
@Walter_Timoth -
Mchochezi_daily
@Dumelakienyeji -
Pabon
@Paboneasy -
chalii ๐ฆด
@kelvleon -
Farasi
@saintbob__ -
Dapher ๐ฏ๐ต
@DaffaMousa -
C H E P E
@Chepezi
Something went wrong.
Something went wrong.