🇹🇿Barakampenja
@BarakaMpenja🇹🇿Tanzania Journalist working as football Commentator & Sports Producer at Azam TV, 'Sauti ya Radi'🎤🔥
Similar User
@jamestupatupa_
@AhmedAbdallahTL
@azamfc
@mtibwaofficial
@gharib_mzinga
@Dominicksalamb1
@Tiganalukinja
@alwaatanngoda
@singidabssc
@PKishamba
@DigitalKusagaTZ
@hasheem_ibwe
@mkazuzutza
@Nyonyoma1
@jemedarisaid
#HuyuAnatakiwaAlipweFedhaNyingi Mara nyingi nakutana na waandishi wakongwe na mara zote huambiwa siku hizi waandishi hakuna. Lakini, huyu dogo Baraka Adson Mpenja @BarakaMpenja anatutoa kimasomaso wengi. Baraka anawapa watu sababu ya kuangalia mechi ya Namungo na Biashara Musoma
🔥🙌🙌SAKATA LA BERNARD MORRISON....... . Kikao cha Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la soka Tanzania (TFF) chini ya Mwenyekiti Elias Mwanjala, kimemalizika jioni hii ya leo, lakini hakuna maamuzi yoyote rasmi yaliyotangazwa.
🤣🤣🤣Heheheheh! Eti! Morrison, Miquissone, Boccosonne, Kahatasonne, Kageresonne........ . 🚶♂️🚶♂️🚶♂️Na-test tu jamani...Wanasimba mnasemaje?....
Umeshaangalia episode 21? Yumo @BarakaMpenja mle aka Sauti ya radi akielezea mengi ikiwa pamoja na namna ya kuhakikisha ndoto zako zinatimia. Link ili kuitizama iko kwenye BIO yangu. #SalamaNaBaraka #FahariTokaItete #SalamaNa #YahStoneTown
"Nilikuwa nasoma chuo kikuu cha DSM kuanzia mwaka 2011 hadi 2014, nilikuwa nimetoka kijijini Itete mkoani Mbeya shule ndiyo ilinileta huku, nilivyotoka chuo moja kwa moja nikaenda @azamtvtz, nilikuwa nimejiandaa" @BarakaMpenja @ecejay @yahstonetown #SalamaNaBaraka
"Kikubwa ninachokifanya mimi ni utofauti wa sanaa ya maneno na kuyaleta maneno ya mtaani kwenye mpira, nikitupa maneno na misemo ya kimtaani mtu anafurahi kukusikiliza" @BarakaMpenja @ecejay @yahstonetown#SalamaNaBaraka
"Wakati nipo shule ya msingi Baba yangu alikuwa anpenda sana mpira, alikuwa akiwekaga redio yake kusikiliza matangazo ya mpira wote tunakuwa kimya, mimi nilikuwa napenda sana kutangaza na nimeishi kwenye ndoto zangu" @BarakaMpenja @ecejay @yahstonetown#SalamaNaBaraka
"Kwangu ninachojivunia kikubwa ni kazi tu, kupata marafiki na kufahamiana na watu wengi, mzee wangu alikuwa ananiambia ukiwa na kipaji sio cha peke yako bali ni kwa ajili ya watu wengine na napenda sana kukosolewa" @BarakaMpenja @ecejay @yahstonetown#SalamaNaBaraka
"@Samagoal77_ kwenda @AVFCOfficial nilikuwa najua ndiyo zilezile tu, nikiingia kwenye Instagram ya @AVFCOfficial sioni, usiku wakaachia picha kwamba tayari wamemsaini nililia machozi ya furaha, sikuamini ila nina matumaini na @Samagoal77_" @BarakaMpenja @ecejay @yahstonetown
"Kazi ya mtangazaji kwenye mpira ni kusherehesha matukio ya mechi, mtangazji lazima uwe sehemu ya timu iliyoshida, mimi naenda kwa matukio, shutuma za kuwa mshabiki wa @SimbaSCTanzania zilianza kwenye mechi ya Simba na Nkana" @BarakaMpenja @ecejay @yahstonetown#SalamaNaBaraka
"Shutuma nimezisikia mambo kuwekeana na kupuliziana dawa za kunyongesha mtu nina uhakika zinafanywa ila sijaona kwa macho yangu, ila kuchinja paka na kondoo nimeshaona hata pale Taifa nimeona ila siwezi kutaja ni timu gani maana zina fitina" @BarakaMpenja @ecejay @yahstonetown
"Kuna wakati mimi naambiwa ni shabiki wa @SimbaSCTanzania kuna wakati naambiwa mimi ni Yanga ila timu ninayoipenda tangu nikiwa mdogo ni Tukuyu Stars wale ndiyo wana Koma Kumwanya orijino sio hawa Mbeya City" @BarakaMpenja @ecejay @yahstonetown#SalamaNaBaraka
"Mchezaji wa Bongo mwenye kipaji kikubwa na kipekee ni Ibrahim Ajib ni hodari sana akiwa uwanjani" @BarakaMpenja @ecejay @yahstonetown #SalamaNaBaraka
"Mimi nimeoa mwaka 2016 ila sijajaaliwa watoto, Mke wangu nilikutana naye shule, nilimfukuzia akasema haamini wanaume waongo ila nikamwambia nitamuoa, nilimpatia kwenye kuvuka maana alikuwa muoga sana kuvuka barabara" @BarakaMpenja @ecejay @yahstonetown #SalamaNaBaraka
"Mimi ni team @Cristiano ingawa Messi ni jini lakini mwamba wa Ureno ni noma" @BarakaMpenja @ecejay @yahstonetown#SalamaNaBaraka
Mambo ni bull bull @BarakaMpenja
𝘼𝙞𝙨𝙚𝙚!! Usiku huu kwenye #SalamaNaBaraka Usikose #FAHARITOKAITETE saa tatu kamili usiku huu ndani ya @eastafricatv @yahstonetown @samaki_samaki @slidevisuals #YahStoneTown #SalamaNa
🔥Dakika ya 37, "Mtenda akatendewa", Ruvu Shooting wakasawazisha dhidi ya Simba SC, kupitia kwa Fully Zullu Maganga... . 🚶♂️Hiki kichwa kwenu kinaitwaje?.....hapa kosa la nani?.. . 🎤🙏Commentator @hasheem_ibwe
🔥🔥🔥'Shiza Kichuyaaaaaaaaaaa..golden left foot'..anasikika Hasheem Ibwe, akitangaza goli la Simba dhidi ya Ruvu Shooting.
🔥🔥🔥Goli langu la kwanza kutangaza katika ligi kuu baada ya kupita kipindi cha COVID-19 ni la Balama Mapinduzi. FT: Mwadui 0-1 Yanga SC.
United States Trends
- 1. Jameis 40,9 B posts
- 2. Browns 52,7 B posts
- 3. Browns 52,7 B posts
- 4. Jeudy 24,6 B posts
- 5. Bo Nix 16,7 B posts
- 6. #WWERaw 116 B posts
- 7. Levi Wallace 5.203 posts
- 8. Watson 18,8 B posts
- 9. Big E 71,3 B posts
- 10. Kofi 28,3 B posts
- 11. #CLEvsDEN 11,4 B posts
- 12. #SkeletonCrew 8.144 posts
- 13. Chubb 6.940 posts
- 14. New Day 127 B posts
- 15. #DawgPound 4.827 posts
- 16. Sean Payton 2.300 posts
- 17. Seth 40 B posts
- 18. Delaware 51,3 B posts
- 19. Njoku 5.121 posts
- 20. Vance Joseph N/A
Who to follow
-
James Tupatupa
@jamestupatupa_ -
AHMED ABDALLAH
@AhmedAbdallahTL -
Azam FC
@azamfc -
Mtibwaofficial
@mtibwaofficial -
Gharib Mzinga
@gharib_mzinga -
Dominicksalamba
@Dominicksalamb1 -
Tigana lukinja
@Tiganalukinja -
Ramadhan Ngoda
@alwaatanngoda -
SINGIDA BLACK STARS SC
@singidabssc -
Prisca Kishamba
@PKishamba -
Digital Kusaga
@DigitalKusagaTZ -
hasheem ibwe
@hasheem_ibwe -
mkazuzutza
@mkazuzutza -
mwaisa_mtumbad
@Nyonyoma1 -
Bin Kazumari
@jemedarisaid
Something went wrong.
Something went wrong.