@AntipasLissu Profile picture

Tundu Antipas Lissu(Official)

@AntipasLissu

Tanzania Huru

Similar User
Zanzibar Ni Kwetu photo

@znzkwetu

Frank Frankfrancis photo

@FFrankfrancis

Mr Visit Zanzibar Tanzania 🇹🇿 photo

@AbdallaZanzibar

mustaphamkwama photo

@mustapha_mkwama

manga photo

@ErikeyGrapher

Wamuhu Njuguna photo

@wamuhu_njuguna

Kassian Kanyopa photo

@KassianKanyopa3

Francis Nyamhanga🇹🇿 photo

@FranceNyamhanga

Bullet Chember photo

@blaque_carter

Tundu Antipas Lissu(Official) Reposted

Mgombea wa Ubunge CHADEMA Kamanda @Bonface akiwa anahutubia MAMILIONI🤣🤣🤣

Tweet Image 1

Uongo

Mgombea wa Ubunge CHADEMA Kamanda @Bonface akiwa anahutubia MAMILIONI🤣🤣🤣

Tweet Image 1

Tundu Antipas Lissu(Official) Reposted

@MagufuliJP Amesema “Haya ya kuigawa Nchi kwenye Majimbo ni mambo wanayofundishwa huko wanakotoka na lengo ni kuifanya Nchi ivurugike ili wawe wanasomba kila kilichopo nchini, ukipigana na Mkeo hata Watoto hawana raha, sufuria unaweza kuikanyaga,tusikubali kutengenezewa Majimbo”

CCM MNAKWAMA WAPI?

"Mti wenye matunda ndiyo unapondwa mawe na Watoto" @MagufuliJP Urambo leo

Hatukubali

"Mti wenye matunda ndiyo unapondwa mawe na Watoto" @MagufuliJP Urambo leo

Uzinduzi wa Kampeni za @ChademaTz Kanda ya Kusini. Ikumbukwe, ukanda huu una utajiri mkubwa wa gesi asilia, lakini unakumbwa na 'Laana ya Rasilimali Asilia'! CCM hawana mkakati wa kuhakikisha watu wa kusini kuwa wafaidika wa kwanza wa hizi rasilimali! #SasaBasi.

Tundu Antipas Lissu(Official) Reposted

"Kama mnanipenda mtaniletea Madiwani wa CCM, hauwezi ukawa na waya wa umeme halafu katikati ukaweka kamba ya Katani, unadhani umeme utawaka? au unatochi juu ukaweka betri halafu ukaweka gunzi, tochi itawaka? msiniletee magunzi mimi"- @MagufuliJP

Kwani kujumuika ni dhambi?

Baba yangu @BenMembe @BernardMembe nani kakuambia UKIFANYA hivi ndiyo UNAKUA MZALENDO? Watanzania wanatamani kutoka hapo na anayweza kuwatoa ni @MagufuliJP tu. Hizo siasa za Mwaka 1970s. Ungefanya hayo ulipokuwa Waziri wa Mambo ya Nje BABA.

Tweet Image 1

Tundu Antipas Lissu(Official) Reposted

MGOMBEA WA URAIS WA JMT KWA TIKETI YA CHADEMA @TunduALissu akihutubia Mamilioni ya Watanzania NEWALA MUDA HUU. MAKAMANDA WANACHUKUA NCHI.

Tweet Image 1

Acha ujinga wewe

MGOMBEA WA URAIS WA JMT KWA TIKETI YA CHADEMA @TunduALissu akihutubia Mamilioni ya Watanzania NEWALA MUDA HUU. MAKAMANDA WANACHUKUA NCHI.

Tweet Image 1

Tundu Antipas Lissu(Official) Reposted

Jamani.... kwa MSIO MJUA BI. KIDUDE tafadhali bonyeza LINK ya Wikipedia hapo chini.... umfahamu kwa ufasaha!! Asante MREMBO kwa kutambua kwamba MIMI ni LEGENDARI ✊🏿!Naendelea kukukumbusha ⁦@jgwajima⁩ ile PHD uliyoiweka kwenye PROFILE yako,itoe tu. sw.m.wikipedia.org/wiki/Bi_Kidude

Tundu Antipas Lissu(Official) Reposted

Uongozi hasa wa kisiasa nikuwa karibu na Watu maana ndiyo Waajiri wako, hivyo lazima kuwasikiliza na kushirikiana nao katika kutatua changamoto mbalimbali zinazo wakabili. @kitilam mgombea wa Ubunge CCM UBUNGO akiwa na Wanaubungo.

Tweet Image 1

Mnamzuga nani?

Kwenye Mafanikio ya Mwanamme, MWANAMKE HAKOSI

Tweet Image 1

Loading...

Something went wrong.

Something went wrong.