AnoldMrosso1's profile picture. Katiba mpya muhimu

Anold Mrosso

@AnoldMrosso1

Katiba mpya muhimu

Joined September 2020
Similar User
dalalimziwanda's profile picture. Estate Agent-houses,fields,houses

@dalalimziwanda

Anold Mrosso Reposted

Ukweli lazima usemwe


Anold Mrosso Reposted

Morocco, mwaka 2007/09, walitumia Sh34.3bn kutengeneza Mohammed VI Football Academy. Kuna fields 8 za hadhi ya FIFA, indoor pitch, 5 five star hotels, hospital. En-Nesryi (Sevilla), Ounahi (Angers), Nayef Aguerd (Westham) wametoka hapo. MaCCM hizi Sh34.3bn mnaingiza tumboni tu.…

IAMartin_'s tweet image. Morocco, mwaka 2007/09, walitumia Sh34.3bn kutengeneza Mohammed VI Football Academy. Kuna fields 8 za hadhi ya FIFA, indoor pitch, 5 five star hotels, hospital. En-Nesryi (Sevilla), Ounahi (Angers), Nayef Aguerd (Westham) wametoka hapo.

MaCCM hizi Sh34.3bn mnaingiza tumboni tu.…
IAMartin_'s tweet image. Morocco, mwaka 2007/09, walitumia Sh34.3bn kutengeneza Mohammed VI Football Academy. Kuna fields 8 za hadhi ya FIFA, indoor pitch, 5 five star hotels, hospital. En-Nesryi (Sevilla), Ounahi (Angers), Nayef Aguerd (Westham) wametoka hapo.

MaCCM hizi Sh34.3bn mnaingiza tumboni tu.…
IAMartin_'s tweet image. Morocco, mwaka 2007/09, walitumia Sh34.3bn kutengeneza Mohammed VI Football Academy. Kuna fields 8 za hadhi ya FIFA, indoor pitch, 5 five star hotels, hospital. En-Nesryi (Sevilla), Ounahi (Angers), Nayef Aguerd (Westham) wametoka hapo.

MaCCM hizi Sh34.3bn mnaingiza tumboni tu.…

Anold Mrosso Reposted

Kuna kipaji nimeelezwa ninacho ya kuona watu! Kuwaona zaidi ya ule mwonekano wa kwanza. Napenda kuamini kuwa kama kweli ni karama na huwa najaribu kuitumia vyema Ninachoona kwa ujumla kwa wengi wetu 👉🏽stress iko juu 😭 Uchumi unayumba, uhakika wa mapato umepungua, majukumu…

MariaSTsehai's tweet image. Kuna kipaji nimeelezwa ninacho ya kuona watu! Kuwaona zaidi ya ule mwonekano wa kwanza. Napenda kuamini kuwa kama kweli ni karama na huwa najaribu kuitumia vyema
Ninachoona kwa ujumla kwa wengi wetu 👉🏽stress iko juu 😭

Uchumi unayumba, uhakika wa mapato umepungua, majukumu…

Anold Mrosso Reposted

Waziri wa Afya, @ummymwalimu Ummy, umekuwa na porojo sana. Julai 5, 2022 Rais Samia alipokuwa akizundua jengo la huduma za Afya ya Mama na Mtoto katika Hospitali ya CCBRT Jijin Dar Es Salaam ulisema mtavunja Idara ya tiba Hivyo, Kitengo cha Huduma za Uzazi mama na Mtoto…

IAMartin_'s tweet image. Waziri wa Afya, @ummymwalimu 

Ummy, umekuwa na porojo sana. Julai 5, 2022 Rais Samia alipokuwa akizundua jengo la huduma za Afya ya Mama na Mtoto katika Hospitali ya CCBRT Jijin Dar Es Salaam ulisema mtavunja Idara ya tiba 

Hivyo, Kitengo cha Huduma za Uzazi mama na Mtoto…
IAMartin_'s tweet image. Waziri wa Afya, @ummymwalimu 

Ummy, umekuwa na porojo sana. Julai 5, 2022 Rais Samia alipokuwa akizundua jengo la huduma za Afya ya Mama na Mtoto katika Hospitali ya CCBRT Jijin Dar Es Salaam ulisema mtavunja Idara ya tiba 

Hivyo, Kitengo cha Huduma za Uzazi mama na Mtoto…

Anold Mrosso Reposted

Kwa mtu aliyejielimisha kuhusu mabadiliko ya nne ya viwanda duniani, ataelewa kuwa Tanzania mabadiliko haya yanaanza na biashara ndogo zinazoanza mitandaoni na hukomaa na kuingia kwenye mifumo rasmi baadae. Inahusisha pia wasio kwenye mtandao. Muuza mitumba anayetafuta elfu mbili…

freemanmbowetz's tweet image. Kwa mtu aliyejielimisha kuhusu mabadiliko ya nne ya viwanda duniani, ataelewa kuwa Tanzania mabadiliko haya yanaanza na biashara ndogo zinazoanza mitandaoni na hukomaa na kuingia kwenye mifumo rasmi baadae. Inahusisha pia wasio kwenye mtandao. Muuza mitumba anayetafuta elfu mbili…

Anold Mrosso Reposted

Nimesubiri niseme nikiwa wa Mwisho! Bila Mbowe Upinzani ungeshatetereka kitambo! Tunaposema Upinzani tunamaanisha CHADEMA ! Hata Wale wengine waliojaribu kuihujumu, Kawajenga yeye kisiasa! Huyu Ni Mtoto wa Baba wa Taifa kiimani Wewe ni Baba wa Mawazo mbadala nchini…

AbroadTanzania's tweet image. Nimesubiri niseme nikiwa wa Mwisho!

Bila Mbowe Upinzani ungeshatetereka kitambo! 

Tunaposema Upinzani tunamaanisha CHADEMA ! Hata Wale wengine waliojaribu kuihujumu, Kawajenga yeye kisiasa!

Huyu Ni Mtoto wa Baba wa Taifa kiimani 

Wewe ni Baba wa Mawazo mbadala nchini…

Anold Mrosso Reposted

Leo, Ijumaa, September 15, 2023 saa 12:00 jioni karibu Sauti Ya Watanzania Clubhouse. Balozi Willbroad Slaa- PhD, Mdude Nyagali, Wakili Peter Madeleka na Boniface Mwabukusi. Mada: Muelekeo Juu ya Tamko la kuipa serikali siku 30 Juu ya Mkataba wa Bandari, KatibaMpya & Ngorongoro

SautiWatanzania's tweet image. Leo, Ijumaa, September 15, 2023 saa 12:00 jioni karibu Sauti Ya Watanzania Clubhouse. Balozi Willbroad Slaa- PhD, Mdude Nyagali, Wakili Peter Madeleka na Boniface Mwabukusi. 

Mada: Muelekeo Juu ya Tamko la kuipa serikali siku 30 Juu ya Mkataba wa Bandari, KatibaMpya & Ngorongoro

Anold Mrosso Reposted

Ni muhimu kuielewa HISTORIA ya KATIBA ya Tanzania: 1961 (Katiba ya Uhuru) 1962 (Katiba ya Jamhuri) 1965 (Katiba ya Mpito) 1977 (Katiba ya Muungano) Hakuna popote kwenye HISTORIA hii ELIMU ilitolewa kwanza kama SHARTI la KUANDIKA KATIBA. Wananchi WANATAKA KATIBA MPYA SASA.

PMadeleka's tweet image. Ni muhimu kuielewa HISTORIA ya KATIBA ya Tanzania:
1961 (Katiba ya Uhuru)
1962 (Katiba ya Jamhuri)
1965 (Katiba ya Mpito)
1977 (Katiba ya Muungano)
Hakuna popote kwenye HISTORIA hii ELIMU ilitolewa kwanza kama SHARTI la KUANDIKA KATIBA. Wananchi WANATAKA KATIBA MPYA SASA.

Anold Mrosso Reposted

Mlikuwa wapi? Enyi wasomi Mlikuwa wapi? Uhuru wetu ukiminywa Mlikuwa wapi? Mliosoma kwa jasho letu Mliopanda ngazi kupitia mabega zetu Mlikuwa wapi? Ardhi yetu ikiporwa Maliasili zetu yakimnadishwa Unyonywaji wetu ukihalalishwa Uhai wetu ukizimia Mlikuwa wapi? IssaBinMariam 9/‘23


Anold Mrosso Reposted

Mtu anitajie IBARA ya Katiba inayosema kwamba Rais ndiye mwenye MAMLAKA ya KUKUBALI au KUKATAA uanzishwaji wa mchakato wa Katiba ya nchi! Kwa uelewa wangu, Katiba ni mali ya wananchi, inayotoa ULINZI kwa raia dhidi ya Watawala. Sasa, mtawala hatakiwi kuamua lini Katiba ifanyiwe…

BabaMwita's tweet image. Mtu anitajie IBARA ya Katiba inayosema kwamba Rais ndiye mwenye MAMLAKA ya KUKUBALI au KUKATAA uanzishwaji wa mchakato wa Katiba ya nchi! Kwa uelewa wangu, Katiba ni mali ya wananchi, inayotoa ULINZI kwa raia dhidi ya Watawala. Sasa, mtawala hatakiwi kuamua lini Katiba ifanyiwe…

Anold Mrosso Reposted

Kama Rais anataka KUPINGA mchakato wa #KatibaMpya, anatakiwa AJIUZULU kwanza, awe raia wa kawaida. Huwezi kuwa Rais halafu ukaweka KIKWAZO Katiba isipatikane! Huyu mama asaidiwe kuelewa Katiba & sheria za nchi, pamoja na MIPAKA ya mamlaka yake. Yes! Mamlaka yake yana MIPAKA.


Anold Mrosso Reposted

Rais Samia anasema hana mpango wa kuandika Katiba Mpya sasa ila anataka kutoa elimu ya Katiba iliyopo kwa miaka 3. Chadema tunasema tunataka Katiba mpya sasa Kama unakubaliana na Chadema #Retweet Kama unakubaliana na Samia #Like

John_Pambalu's tweet image. Rais Samia anasema hana mpango wa kuandika Katiba Mpya sasa ila anataka kutoa elimu ya Katiba iliyopo kwa miaka 3. Chadema tunasema tunataka Katiba mpya sasa

Kama unakubaliana na Chadema #Retweet 
Kama unakubaliana na Samia #Like
John_Pambalu's tweet image. Rais Samia anasema hana mpango wa kuandika Katiba Mpya sasa ila anataka kutoa elimu ya Katiba iliyopo kwa miaka 3. Chadema tunasema tunataka Katiba mpya sasa

Kama unakubaliana na Chadema #Retweet 
Kama unakubaliana na Samia #Like

Anold Mrosso Reposted

Wakili Madeleka bado yuko gerezani. Sote tunafahamu sababu HALISI yeye kuwekwa huko. Madeleka amejitoa sana kupambana dhidi ya UDHALIMU. Ni wachache sana wenye uthubutu, yeye ameweza. Huu ndio wakati kila mmoja wetu aoneshe kujali & kuthamini jitihada zake. #FreeMadeleka

BabaMwita's tweet image. Wakili Madeleka bado yuko gerezani. Sote tunafahamu sababu HALISI yeye kuwekwa huko. Madeleka amejitoa sana kupambana dhidi ya UDHALIMU. Ni wachache sana wenye uthubutu, yeye ameweza. Huu ndio wakati kila mmoja wetu aoneshe kujali & kuthamini jitihada zake. #FreeMadeleka

Anold Mrosso Reposted

Rais anayesaini mikataba ya hovyo kuliko hata wa Chifu Mangungo; anayegawa bandari zetu zote na njia za usafirishaji kisirisiri kwa wageni; anayelazimisha Bunge kubariki uharamia huo, na anayenyang'anya watu wetu ardhi zao na kuwapa wageni, anastahili kukosolewa kwa staha gani?

TunduALissu's tweet image. Rais anayesaini mikataba ya hovyo kuliko hata wa Chifu Mangungo; anayegawa bandari zetu zote na njia za usafirishaji kisirisiri kwa wageni; anayelazimisha Bunge kubariki uharamia huo, na anayenyang'anya watu wetu ardhi zao na kuwapa wageni, anastahili kukosolewa kwa staha gani?

Mbunge kama mbunge si chawa


Anold Mrosso Reposted

Congratulations to @freemanmbowetz from @ChademaTz and @AttaLouisa from @NPP_GH on your election as co-chairpersons of the newly elected board of @dua_africa . We wish you much success in your new role. #Democracy #Africa

dua_africa's tweet image. Congratulations to @freemanmbowetz from @ChademaTz and @AttaLouisa from @NPP_GH on your election as co-chairpersons of the newly elected board of @dua_africa . We wish you much success in your new role.
#Democracy #Africa
dua_africa's tweet image. Congratulations to @freemanmbowetz from @ChademaTz and @AttaLouisa from @NPP_GH on your election as co-chairpersons of the newly elected board of @dua_africa . We wish you much success in your new role.
#Democracy #Africa

Anold Mrosso Reposted

Mwanachama wa #CCM, leo amejitokeza kupata madini katika kongamano la #KatibaMpya jimbo la Arumeru Mashariki mkoani Arusha. Hii inaonyesha jinsi #CHADEMA walivyo watu wastaarabu sana, hivi mwanachama wa #CHADEMA anaweza kwenda katika mkutano wa #CCM na sare zake akaachwa salama?

JoelyMsuya's tweet image. Mwanachama wa #CCM, leo amejitokeza kupata madini katika kongamano la #KatibaMpya jimbo la Arumeru Mashariki mkoani Arusha. Hii inaonyesha jinsi #CHADEMA walivyo watu wastaarabu sana, hivi mwanachama wa #CHADEMA anaweza kwenda katika mkutano wa #CCM na sare zake akaachwa salama?

Anold Mrosso Reposted

Vichwa vya treni (vichwa vya mabehewa) mnanunua vilivyotumika kwa kuwa wanapanda abiria. Mnatuona kama wanyama siyo binadamu. Lakini kila mwaka mnatumia Sh558 bilioni kununua magari mapya (VXR V8) mtaani tunaita ‘shangingi’. Vitu vipya kwa viongozi, vyuma chakavu kwa walipa kodi?

IAMartin_'s tweet image. Vichwa vya treni (vichwa vya mabehewa) mnanunua vilivyotumika kwa kuwa wanapanda abiria. Mnatuona kama wanyama siyo binadamu. Lakini kila mwaka mnatumia Sh558 bilioni kununua magari mapya (VXR V8) mtaani tunaita ‘shangingi’. Vitu vipya kwa viongozi, vyuma chakavu kwa walipa kodi?
IAMartin_'s tweet image. Vichwa vya treni (vichwa vya mabehewa) mnanunua vilivyotumika kwa kuwa wanapanda abiria. Mnatuona kama wanyama siyo binadamu. Lakini kila mwaka mnatumia Sh558 bilioni kununua magari mapya (VXR V8) mtaani tunaita ‘shangingi’. Vitu vipya kwa viongozi, vyuma chakavu kwa walipa kodi?

Anold Mrosso Reposted

Kama SPIKA aliweza kujua kuwa kuna KESI Mahakamani iliyofunguliwa na waliokua wanachama 19 wa CHADEMA, sasa ANASHINDWAJE mpaka SASA kujua MATOKEO ya KESI hiyo huko Mahakamani?


Anold Mrosso Reposted

Tunataka #KatibaMpya ambayo itaupa nguvu kila Mhimili ili uwe na uwezo wa kufanya maamuzi bila kuingiliwa na Mhimili mwingine #WenyeNchiWananchi

HildaNewton21's tweet image. Tunataka #KatibaMpya ambayo itaupa nguvu kila Mhimili ili uwe na uwezo wa kufanya maamuzi bila kuingiliwa na Mhimili mwingine #WenyeNchiWananchi

United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.