Elizabeth Achilles Ndyalusa
@AchyLizzyBrings to the team a fresh perspective that is centred on people. She is a change-maker at heart. 👩🏾💼💜
Similar User
@KimamboSajida
@makhajason
@innomangu
@Masanja_Arl
@HarrisonMariki
@KaayaDr
@MaureenManyama
@TinyGloria1
@empugie
@curiousmind255
Rare diseases may be uncommon, but the people who live with them are extraordinary. They face challenges and struggles that most of us can't even imagine, but they do so with courage, strength, and determination. #rarediseases #rarediseaseday #isupportra…lnkd.in/d76pVHWR
Kwenye uzinduzi wa Miongozo ya Elimu Maalumu na Jumuishi. "Kama elimu inaweza patikana chini ya muembe kwanini isiwe na nyumbani" Balozi Togolani Mavura @tonytogolani
Mheshimiwa Prof. Mkenda, wewe ni kati ya mashujaa uliewezesha watoto wote ambao hawakuweza kupata elimu kutokana na kushindwa kufika mashuleni, leo wanapata fursa sawa na wenzao wanaohidhuria shuleni. Ahsanteni wote pamoja na watumishi wote wa wizara.
Nikupongeze wewe mzazi wa Ali Kimara kwa kuamua kusimama na mwanao na ni baraka, umeamua kutumia changamoto yake kusaidia watoto wengine, kwa wazazi wote hili ni somo kubwa sana. Prof. Adolf Mkenda UzinduziMiongozoElimuMaalumNaJumuishi-Dodoma
Wait! Mtu MWEUSI angevaa pampasi, na sisi WEUSI tungetoka kulalamika Simba waombe radhi? WHITE huyo ni muigizaji, hakulazimishwa, alikuwa kazini katika utafutaji maokoto. TAS na LHRC mlitakaje? WHITE akose pesa ya mboga? Mnashindwa kulaani bandari zinauzwa, mnalalamika ujinga.
Unapofurahia moshi wa shisha, kumbuka unapovuta huo moshi kwa dakika sitini ni sawa na kuvuta sigara 100. …ukikaaa kwenye kijiwe cha shisha, kumbuka na wewe unavuta hata kama huna paipu mdomoni.. Second, third and fourth hand smoking!! @ZakayoMmbaga
Kumbusu Yakuhusu Nini? Picha kuisambaza Na sauti kupaza Ni tendo la kilaza Kumbusu Yakuhusu Nini? Na watoaji povu Kwa kweli ni wachovu Kumbusu si utovu Kumbusu Yakuhusu Nini?
I extend my heartfelt appreciation for being featured in #MeetTheFellowWednedday and for all the positive feedback I have received. It encourages me to continue working hard and striving for positive change. I am honored to be part of the #EAEPIAPCohort4…lnkd.in/e3Gumxak
Ahsante sana Balozi @tonytogolani kwa jitihada kubwa unazofanya juu ya kubadilisha mustakabali wa waishio na #MagonjwaAdimu Unaendelea kuwainua na kuwapigania kina Ali na wenziwe. Thank you
📍Seoul, Korea Kusini 🇹🇿🇰🇷 Balozi wa Tanzania nchini Korea Mhe. @TogolaniMavura amekutana kwa mazungumzo na Mwenyekiti wa Korea Organization for Rare Diseases (KORD), Bw. Jae-hak Kim mapema leo Juni 07, 2023. Ushirikiano na kubadilishana uzoefu katika kukabili Magonjwa Adimu...
This month, we shed light on their journey, challenges, and resilience. Together, let's support, educate, and advocate for a better future. #LetsTalkLupus 💪💜
This month we will focus on the importance of the health and wellness of men living with #lupus. #LetsTalkLupus
"Kuongozana uelekeo mmoja si kuwa na safari moja. Usione ukadhani!" ~Togolani Mavura.
Even though Lupus Awareness Month has come to an end, our fight against Lupus continues every day. Together, let's keep spreading awareness, advocating for better treatments, and supporting each other on this journey. #LupusAwarenessMonth #lupusawareness @lupuswarriorstz
UGONJWA WA LUPUS: Siku ya Lupus Duniani iliasisiwa na Lupus Canada ambalo ni Shirikisho la Wagonjwa Wanaoishi na Ugonjwa wa Lupus Nchini #Canada Mwaka 2004, na huadhimishwa kila tarehe 10 Mei kila mwaka huku Mei ukitumika kama Mwezi wa kutoa Elimu juu ya ugonjwa huo…
Nchini #Tanzania Siku ya Lupus Duniani ilianza kuadhimishwa Mwaka 2021 na maadhimisho haya yalifanyika katika Chuo Kikuu Cha Afya Muhimbili (#MUHAS) kwa miaka miwili ya awali, maadhimisho ya Mwaka 2023 yamefanyika katika Hospitali ya Taifa Muhimbili #LupusAwareness #LupusMonth…
Lupus Warriors Tanzania, Chuo Kikuu Cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na JamiiForums wameandaa Mjadala na Wataalamu kupitia TwitterSpace kuhusu Ugonjwa huo, Mei 31, 2023, kuanzia Saa 12 Jioni hadi Saa 2 Usiku #LupusAwareness…
DKT. FRANCIS FURIA (Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Figo na Rheumatism MNH na Profesa wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili): Lupus ni ugonjwa unaoathiri viungo vya mwili kutokana na mashambulizi ya mfumo wa kinga ya mwili kwa viungo ikiwemo, hali hiyo inasababisha…
DKT. ANGELA MIGOWA (Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Watoto ya Rheumatism kutoka Hospitali ya Aga Khan, Nairobi - Kenya): Kinga ya mwili inatakiwa kukinga na uchafu tofauti, lakini Lupus inapoingia inachanganyana na uchafu mwingine mwilini Baadhi ya dalili ni nywele kunyonyoka,…
United States Trends
- 1. #SmackDown 68 B posts
- 2. Paul Heyman 6.174 posts
- 3. CM Punk 14,3 B posts
- 4. Jared McCain 11,8 B posts
- 5. Khalid 25,2 B posts
- 6. Kendrick 807 B posts
- 7. Creighton 3.834 posts
- 8. #OPLive 2.191 posts
- 9. Chaz Lanier 1.231 posts
- 10. Bayley 4.547 posts
- 11. Bianca 17 B posts
- 12. MSNBC 275 B posts
- 13. Wiseman 3.106 posts
- 14. #loveafterlockup 1.806 posts
- 15. #AskShadow 32,7 B posts
- 16. Kevin Owens 3.426 posts
- 17. #BlueBloods 1.348 posts
- 18. Scott Bessent 25,2 B posts
- 19. Ben Simmons 3.039 posts
- 20. Chelsea 50,9 B posts
Something went wrong.
Something went wrong.