@vicmods Profile picture

MODVIC

@vicmods

Computer Science

MODVIC Reposted

Huyu @TunduALissu ni Moja ya wanasiasa Bora sana kuwahi kutokea Nchini Tanzania~HII NI CHUMA. Viva Lissu, Viva 2025; Tuombeane Uzima na Usalama wenye Siha njema box la KURA litapendeza✍️.


MODVIC Reposted

Baada ya kumsikia toka kwenye kinywa chake mwenyewe, kwamba ana nia ya kugombea urais, 2025, natangaza RASMI kumuunga mkono Adv. TUNDU LISSU. In my opinion, hakuna mwanasiasa yeyote nchini mwenye UWEZO, USHAWISHI & WAFUASI wengi, ndani au nje ya vyama vya siasa kuliko LISSU.…

Tweet Image 2
Tweet Image 3

MODVIC Reposted

Mjiandikishe kupiga kura kama mmechoka hii mifumo, sio kila siku kulalamika wakati hatupigi kura.

Tweet Image 1

MODVIC Reposted

VIINGILIO VIP A 50000 VIP B 30000 VIP C 20000 ORANGE 10000 MZUNGUKO 5000

Tweet Image 1

Budget ya leo

Tweet Image 1

MODVIC Reposted

Ila Kikorea Kigumu😄 Oyaaaa! Sometimes kwa kuangalia angalia, movie za kikorea utadhania unajua ila acha sasa upewe bila Subtitle 😄😄😄 Muangalie Idriss akirudia rudia.. Video kwa Comments👇🏾

Tweet Image 1

I follow back

Tweet Image 1

MODVIC Reposted

Baada ya kutoka kanisani wale wa misa ya pili tunaendelea kuinuana. Weka handle na urepost, tuinuane mpaka juu ya kilee. 🥀🌷🌹💐🌺 X ni familia yenye upendo 🍒🍑🍎


MODVIC Reposted

Upi ni muda sahihi wa kupata chakula cha mchana kati saa 6 mchana hadi Saa 10 Jioni

Tweet Image 1

MODVIC Reposted

Kingine kinachosikitisha ni kumchukua Kocha mwenye sifa kubwa kimataifa na mwenye makombe ya Kimataifa halafu tunakuja Kumuharibia CV yake kirahisi tu. Benchikha we are sorry 🙏. #NguvuMoja

Tweet Image 1

MODVIC Reposted

According to the RASIMU ya jaji WARIOBA watanzania walishauri Hiki cheo cha DC, RC ni vyakufuta maana hamna kazi. Majukumu ya Wilaya yanafanywa na Mayor/Mwenyekiti wa halmashauri kwenye wilaya husika wewe umasemaje kuhusu hilo?


MODVIC Reposted

Huyu Baba kaongea ukweli mtupu sema hawawezi kumpenda yaani!


MODVIC Reposted

Simba fans wake up hii ni right? Kwanini matangazo Yake yanaendelea kupostiwa kwa page ya Simba.?

Tweet Image 1

MODVIC Reposted

MAMELODI WA KIGOMA 🙌 HONGERENI

Tweet Image 1

MODVIC Reposted

Jamaa kaongea kwa hisia sana aseeh.😄😄


MODVIC Reposted

Simba ya Salim na Mtendaji wake Kajula imekuwa timu mipango mingi ya nje ya uwanja isiyotekelezeka huku ndani ya uwanja wakiwa zero kwa kupoteza kila kitu na kutotimiza malengo. Swali ambalo najiuliza ni "Kuna nini nyuma ya pazia kati ya Mo na bwana Jaribu tena?"


MODVIC Reposted

Huyu bwana Jaribu Tena toka amepewa madaraka na Mo amefeli pakubwa sana lkn kwanini Mo anaogopa kumtoa? Kuna nini nyuma ya pazia? Au ni mpango wa Mo kuifanya Simba iwe timu ya hovyo na hatimaye kuiangamiza kabisa?


MODVIC Reposted

Ukweli ni kwamba hii timu imekuja kuwa timu ya hovyo sana chini ya uongozi wa Salim Abdallah (@salim_tryagain ) imekuwa timu ya propaganda kama ccm, imepoteza mvuto na ushawishi wake kama ilivyokuwa chini ya MO (@moodewji) mwenyewe na mtendaji wake Babra.

Tweet Image 1

MODVIC Reposted

Hakuna upendo bila Hofu kama huna hofu ya kupoteza unachokipenda basi huna upendo.


MODVIC Reposted

Napingana na hoja ya Shabiby, mnatakiwa kubana matumizi ya serikali sio kusukuma mzigo wa gharama kwa watu masikini kila siku.


United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.