@svmgata Profile picture

Siwangu Mgata

@svmgata

Telecom Engineer | Tech Entrepreneur | Founder and Owner of Sihebs Technologies Co. Ltd, AfyaCall Health Services | Architect of nitume platform, TeamRaha

Joined October 2010
Similar User
Afyacall photo

@AfyaCall

Partner with the legends in digital communications.

Tweet Image 1

Pakua mr raha app Android. Kisha chat na Mr Raha chochote instagram.com/p/Cg87J7WNFJdq…


Siwangu Mgata Reposted

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RMO) Dr. Rashid Mfaume akishiriki kwa niaba ya Mganga Mkuu wa Serikali (CMO) kwenye uzinduzi wa huduma mpya ya upatikanaji wa Huduma ya Afya ya AFYACALL (DAKTARI KIGANJANI) inayopatikana kwa sasa nchini Tanzania kupitia Mtandao wa Vodacom.


Unataka kufanya biashara online na huna smartphone? Mwambie MrRaha. Tembelea mrraha.co.tz umweleze nini unafanya.


Ukiona unatumia nguvu kuelezea kitu.. maana yake hukijui kitu hicho vizuri au unadanganya! Uongo ni sumu!


Siri nyingi huzaa Uongo, Uongo mwingi huondoa kujiamini. Usipojiamini unakuwa mwoga. Mtu Mwoga ni ngumu sana kufanikiwa kwa chochote... Siri ziwe chachechache basi...


Wewe ni Rais wa nchi iitwayo Wewe. Basi Wewe ni Amiri Jeshi Mkuu! Jiamini.


Deploy your next app in seconds. Get $100 in cloud credits from @DigitalOcean using my link: m.do.co/t/05382b9ce373


Siwangu Mgata Reposted

ZOMENT - diary ya shule kiganjani mwako, wasiliana na shule ya mtoto wako kuwa activated na huduma hii ukishadownload App . Mambo ya simu za utapeli na unababaifu “oh mwanao anaumwa nrushie 50 namba hii “ hakuna ukiwa na hii App you get every information & update kuhusu mtoto

Tweet Image 1

Siwangu Mgata Reposted

Kila mzazi anahitaji kuwa na App ya “ZOMENT “ diary ya mtoto wako kiganjani mwako,itakusaidia kujua kila kinachohusu mtoto wako akiwa shule pindi anapotoka nyumbani hadi kurejea, hata wale wa boarding school hutapitwa na jambo sio usubiri likizo/ ripoti kujua maendeleo ya mtoto


Je, unamiliki biashara yoyote na una vibali vya kufanya biashara? Jisajili na nitume app. Tembelea nitume.co.tz kujisajili bure. #twittergulio


United States Trends
Who to follow
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.