SNTeez
@sulley_ndukaEntrepreneur💼|| Mass Communication & Public Relations🖋️📚|| a Brother and Friend of Yours🤝|| Proudly +255🇹🇿||
Similar User
@lugwaja
@MsDeeM
@mshottiegirl
@BrysonMalima
@Gajapati122
@RaymondLofton2
@eespelence
@Ibetonedu
@GKopsa
@tony_kips
@khmango
"Pesa haikosi washauri. Ukiipata, utapata washauri wengi ambao hukuwaona wakati unazitafuta. Watakuletea mipango mizuri ya pesa wakati ama wenyewe hawana pesa au hawako tayari kujaribisha mipango hiyo mizuri na pesa zao. Waogope" ~Togolani Mavura.
the grief of who you didn’t become can consume you if you let it, regret can handcuff your peace behind bars you can’t escape from if you allow it; your transformation is always around the corner, but first, you must find love and gratitude for who you are now.
“If you are neutral in situations of injustice, you have chosen the side of the OPPRESSOR. If an elephant has its foot on the tail of a mouse, and you say that you are neutral, the mouse will not appreciate your neutrality.” ~ Archbishop Desmond Tutu #WakeUpEverybody✊🏿
"Vitabu vya dini havielezei uwezekano wa kukutana na mali zetu na vyeo vyetu huko mbele ya haki, isipokuwa vinaongelea uwezekano wa nafsi zetu kukutana aidha peponi au motoni. Jitahidi kumalizana na watu kabla hujafa maana uko uwezekano wa kukutana nao peponi au motoni."
may you start to plant seeds towards the type of life that you want to live and water the intentions behind the kind of person you want to be so you can see the fruition of your endeavors in divine time.
"Ondoka usemwe, kufa uenziwe, thubutu ukatishwe tamaa, usijaribu ulaumiwe, anguka uzomewe, simama unyooshewe kidole, shindwa uchekwe. Tafakari!" ~Togolani Mavura.
"Wakati wa ugomvi, chunga sana ulimi wako haswa kama unategemea kupatana baadae na unayegombana nae." ~Togolani Mavura.
The silence is loud, only if we listen.
The Almighty makes you wait because His timing is always the best. No matter how dark your days, how difficult the challenge, put your trust in Him and never stop calling out to Him. The rewards will be beautiful.. always.
"Usipoteze muda kukosoa, kubeza kuiga na kuhujumu kazi ya mwenzako. Tafuta namna ya kufidia pengo lililo katika kazi yake na kujiunganishia fursa itokanayo na mnyororo wake wa kazi yake. Kazi ni kujengana si kubomoana. Usipanue ushindani, panua fursa." ~Togolani Mavura.
trust everything that is ending for you right now, connections that no longer feed your growth, ideas that no longer spark your spirit, identities that no longer feel recognizable; who you’re becoming doesn’t have space for illusions and won’t be able to accommodate old energy.
“You must convince your heart that whatever Allah has decreed is most appropriate and most beneficial for you.” – Imām Ghazzali
“Do not be afraid, I am with you all the time, listening and seeing.” — Al Qur’aan [20:46]
Roy Allela, a 25-year-old engineer from Kenya, has invented Sign-IO gloves to bridge communication between deaf and hearing people. The gloves use sensors and a text-to-speech Android app to translate sign language into audible speech. Inspired by his deaf niece, Allela hopes…
United States Trends
- 1. #SmackDown 35,5 B posts
- 2. Embiid 6.222 posts
- 3. #TheLastDriveIn 1.501 posts
- 4. #OPLive 1.388 posts
- 5. Standard 104 B posts
- 6. Paul George 2.172 posts
- 7. Melo 22,6 B posts
- 8. Daylight Savings Time 14,4 B posts
- 9. Sixers 5.434 posts
- 10. Braun 7.964 posts
- 11. LA Knight 2.743 posts
- 12. #SantaIsCoco N/A
- 13. #iubb N/A
- 14. Michin 5.787 posts
- 15. OG Maco 4.145 posts
- 16. Reggie Bush N/A
- 17. Mayorkas 16,7 B posts
- 18. Rare Exports N/A
- 19. Margaret Thatcher 2.595 posts
- 20. Sydney Sweeney 24,2 B posts
Something went wrong.
Something went wrong.