@stupidsfadhr Profile picture

STUPID TZ...

@stupidsfadhr

NO JOB,NO MONEY,NO GIRL,NO PROBLEM... WEED LANGUAGE🍁🍁 LAST BORN WA #Sungusungu_HQ ...

Similar User
Hadithi za mswahili🇹🇿 photo

@hadithimswahili

MR EVIDENCE 𓃵𝕏  photo

@mrevidence11

Norah 🦋 photo

@therealnorah17

Siasa Mamboleo🇹🇿🇺🇸 photo

@SiasaMamboleo

mkali kweli photo

@mkali_kweli

NGOTE photo

@iamcolosal

Mr Frequency photo

@Mrfrequency11

Ahlam🎀 photo

@rala195

Ali photo

@flopvandees89

Mbaade 🤠 photo

@Hamisi_Mbaade

Ulimwengu🇦🇷 photo

@HamisUniversal

Funk 99 photo

@Flagoff1

moshi photo

@moshjr02

D.O.N.A.L.D photo

@1donaldinho

Mama Africa✨🇹🇿 photo

@nyabula92

STUPID TZ... Reposted

Ulimwengu wa kidijitali unaendelea kukua kwa kasi na na sifa yake inazidi kuwa hatari zaidi kwa watumiaji wa kawaida. Katika ulimwengu huu, kuna kundi la watu wanaojulikana kama wadakuzi(HACKERS). NJOO KATIKA YOUTUBE CHANNEL KUWEZA KUFAHAMU ZAIDI LINK:-youtu.be/PmYYAgdLikY

Tweet Image 1

STUPID TZ... Reposted

Afande kaamua kuongea buana 😀


STUPID TZ... Reposted

Matiti Ni Kama Matunda Mengine Tu Yakikomaa Lazima Yaanguke Chini.!🤣🤣🤣


STUPID TZ... Reposted

Challenge accepted ✅ andika @ Tuone watu unaopend kuwatag 💪🏾

Tweet Image 1

STUPID TZ... Reposted

Nimepiga tena bhuana🤒 nilisahau kama jana niliapa...

Tweet Image 1

STUPID TZ... Reposted
Tweet Image 1

STUPID TZ... Reposted

Hili joto sio la kawaida wazee, kuna namna Dar imelisogelea Jua 😂😂

Tweet Image 1

STUPID TZ... Reposted

Ushauri gani unaweza kumpa huyu mtoto...?

Tweet Image 1

STUPID TZ... Reposted

Naombeni mnisaidie na spelling za "aplishiesheni" kuna mtu kanibamba nataka nimwandikie aplishiesheni tweet😁😀😂


STUPID TZ... Reposted

Kujiunga freemason ni shilingi ngapi ukiwa na mashetani Yako mwenyewe?🦅


STUPID TZ... Reposted

Sisi ni wale bila wapwa hatutoboi, RT, follow nikufollow...


STUPID TZ... Reposted

Hivi ukiachwaa unaruhusiwa kulia hata kwenye daladala😭😭🥲.


STUPID TZ... Reposted

"Tunaishi duania ambayo ukikosa unatengwa, ukipata unapendwa na ukiwazidi unachukiwa" Ishi nao kwa tahadhari 🌹🌹


STUPID TZ... Reposted

Wadada wa singida mlaaniwe


STUPID TZ... Reposted

UZI JINSI YA KUISHI NA WATU WAGUMU KUELEWA OFISINI, NA KATIKA MAHUSIANO. RETWEET,LIKE AND COMMENT

Tweet Image 1

STUPID TZ... Reposted

Ukisema usile mpaka akutafte utakula mara ngapi kwa siku? au ndo utafunga siku 40 kama Yesu 😁😂🤭


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.