@shapuboy Profile picture

SHAPU BOY

@shapuboy

The more people you help become successful the more you become successful ✍️

Similar User
محمد العذري..إرفين رومل اليمني photo

@almym_wan

FreshOfofo Daily 🗞️ photo

@freshofofo247

Ammaviola 🇺🇬 photo

@Ammaviola6

Dr Emris H•M• photo

@DrEmris

إسحاق photo

@aboisaac2021

منصة إنجاز لعمل الابحاث مشاريع تخرج رسائل ماجستير photo

@engaaz_Platform

Pinned

Hakuna movie kali kuzidi hii

Tweet Image 1

SHAPU BOY Reposted

Watu wa hali ya chini wanaoitwa Mafukara huwa hawana kinyongo na Mtu, ukienda Msibani wao ndio watakesha makaburini kupasua ardhi ukapumzike, wakati Washikaji zako wapo busy kukupost status na kusubiri mapicha ya mwisho. Watu wa hali ya chini wapo busy Kariakoo kupasua kuta,…


SHAPU BOY Reposted

POLENI WAHANGA WA GHOROFA lililoanguka ila Ujenzi wa maorofa Kariakoo. NI JANGA KAMA LA JANGWANI. Kwa sheria za mipango miji ilitakiwa viwanja 4 vya high density viunganishwe mbele na nyuma kipatikane kiwanja kimoja kikubwa cha kujenga orofa imara yenye basement kubwa kupaki…


SHAPU BOY Reposted

Kwani vikosi vyetu vya Uokoaji, huwa vinaokoa nini?


SHAPU BOY Reposted

Huyo unaelala nae leo ikitokea amekufa una maelezo ya kutosha kuwaambia polisi?


SHAPU BOY Reposted

Walimu wengi wa USA hawajafurahishwa na haya matokeo kwa sababu wao walimchangia hela ya fomu mgombea mwingine. #Accountability


SHAPU BOY Reposted

Madam @KamalaHarris alishaandaa mpango wa kugawa mitungi ya Gas kwa kila mwalimu kwenye shule zote iwapo angeshinda. #Accountability


SHAPU BOY Reposted

Niwatonye tu Wamarekani. Majimbo ambayo walimpigia kura @KamalaHarris wasahau kuhusu maendeleo. #Accountability

Tweet Image 1

SHAPU BOY Reposted

Polisi wametanda kwenye makao makuu ya Tume Huru ya Uchaguzi....huko USA.... Kuhakikisha hakuna boksi la kura litaibwa na wafuasi wa vyama vya siasa. #Accountability


Tapeli namba yangu mbona unaipita 0768308051 enock Joshua 😂😂

Pesa ya GIVE AWAY ipo ya kutosha.😁 Tumeanza na 2K watu 20✅ Nakuja 5K watu 10 Kisha napiga WANANGU WA NGUVU. Hiyo hainaga idadi.😂 Betting ni utapeli.🔨

Tweet Image 1


SHAPU BOY Reposted

Utambulisho wa mtuhumiwa ukitaja Jina Kamili, Umri, Kazi, Jinsia na Taasisi anayotoka, inasaidia sana Wananchi kuujua ukweli. Kuficha baadhi ya Taarifa za mtuhumiwa wakati upelelezi umeshakamilika, ni kuleta ukakasi usio na mashiko.


SHAPU BOY Reposted

Kayoko amejaribu kunihimiza nikajiandikikishe....ila Kijiri kama ameniambia ,broooo.... umesahau 2019...? #Accountability


SHAPU BOY Reposted

Mchambuzi anaiponda timu haina watu mahiri wa marketing wa ku negotiate....ila yeye amekubali kufanya kazi "kwa malipo yeyote mie nafanya"😁😁 #Accountability

Tweet Image 1

SHAPU BOY Reposted

I wish kungekuwa na option ya kubloku hizi meseji ili kuongeza #Accountability

Tweet Image 1

SHAPU BOY Reposted

#DearKifimbo Umasikini bado upo,maradhi bado yapo na UJINGA ndo umevuka mipaka mpaka kwa maprofesa. #Accountability


SHAPU BOY Reposted

kama una serikali ambayo haikuruhusu kutoa maoni yako kwa uhuru, elewa kwamba hiyo serikali haipo ku-serve maslahi yako. its that simple. hiyo siyo serikali ya watu, na haina uhalali wowote wa kutoza watu kodi na kuwatungia sheria. ni uimla tu unaolinda maslahi ya wachache!


SHAPU BOY Reposted

Gaddafi ameifanyia mengi mazuri Afrika.....hakuna mtu asiyejua mchango wake kwa Tanzania na Afrika. Wapenda maendeleo tutaendelea kusapoti kila kinachohusiana na Gaddafi.

Tweet Image 1

SHAPU BOY Reposted

Mmeambiwa “Sheria zipo” Zimevunjwa kuhakikisha Boni analala ndani mpaka J3. Boni angekiri kosa angepigwa fine ya TZS 3m. Angelipa akaenda kwake. Swali kwa DPP: Angekiri kosa akalipa fine, ungeomba Boni AFUNGWA ili kulinda maisha yake? Mnafanya maksudi au ni WAJINGA tu?


SHAPU BOY Reposted

Jana, tukiwa na @ExMayorUbungo, Golden Fork Sinza, tulivamiwa na kundi la watu wakiwa na silaha, walijatambulisha ni Polisi kutoka kituo cha Oysterbay na kumchukua BONI YAI kwa nguvu. Walichukua simu zote zilizokuwa mezani (simu saba). Tumerejeshewa leo. Poleni sana. We move. 💪🏾


SHAPU BOY Reposted

HESLB inakopeshaje mtu ambaye inajua hataajirika? HESLB inajua kuwa watu ambao imewakopesha hela hawana ajira.....watarejeshaje hayo madeni? Kwangu mimi,huku ni kuchezea hela za walipa kodi....kama zinavyochezewaga na mifuko ya hifadhi ya jamii. #Accountability


SHAPU BOY Reposted

Yaani zamani huko Afghanistan, mtu akisoma masomo ya sayansi alikuwa na uhakika wa ajira. Leo hii mtu aliyesoma sayansi na arts wote wapo busy na AVIATOR 😅 Wote wanapambana kutafuta sehemu za kujitolea bure Wote wanalalamika ajira hakuna Wote wapo home zaidi ya miaka 5


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.