@shadrackmachand Profile picture

shadrack machandi

@shadrackmachand

Similar User
King E photo

@ELLYP9

The Hustller photo

@GadauYonnah

😂😂😂😂 uyo kibatala nilimuonaga kwenye kesi ya hasunga kipindi wametupola jimbo la mboz mjin kibatala ni shidaaa

Kibatala anavijua vifungu vyote vya kwenye PGO mpaka mtu unaweza kudhan PGO kaiandika yeye.🙌



Karibu home mdude msalimie mzee wangu masai


Tunadai ndio katiba ya mzee warioba tuko tayar mimi kama kijana wa tanzania niko tayar kudai katiba mpya


✌✌✌✌✌✌✌✌ Niyeye2020 kula yangu Lissu chukuwa

Tweet Image 1

Happy birthdays mr pompeo Mungu akupe kila lililo jema kwako 🎂🎁🎀🍼🍷🍻🍺🍹🍴🍝

Tweet Image 1

Tembea na Mungu siku zote za uhai wako mdogo Wangu

Tweet Image 1

Historia nyingine imeandikwa, tunakila sababu ya kujivunia maendeleo haya, Asante serikali yetu chini ya Mh Rais J.Magufuli kwa hatua hii nyingine kubwa ya kuipeleka nchi yetu mbele katika usafiri wa anga. #Nyumbanikumenoga

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3


Welcome Home Mr shakrast

Tweet Image 1

shadrack machandi Reposted
Tweet Image 1

Mdogo wetu amepoteza malinda mzee toka udiwan ad kuwa mtendaji

Aliyejiuzulu uDiwani (CHADEMA) Ndg. Zakayo Chacha Wangwe, ametangazwa kuitwa kwenye usaili wa kuwa Afisa Mtendaji wa Kijiji. Karma has never missed it's address. #YajayoYanafurahisha. Cc @HecheJohn @YerickoNyerere @MalisaGJ_ @BobWangwe

Tweet Image 1
Tweet Image 2


uyu dogo anaakili kwel


Ahaaaaa baelezeee awooo


jina lenyewe palamangamba atakuwa na akili kweli uyu serikar wameigeuza kama ya family zao

Prof Palamagamba Kabudi. Akijibu hoja ya mbunge alietaka kujua tumelipwa sh ngapi kutokana kukamata makinikia na mazungumzo na wazungu waliotuibia matrilion ya fedha. 😂😂😂



Welcome home Mr unai Emery asant Rwanda kwa seaport yenu juu ya timu yetu

Tweet Image 1

MERCI ARSENE WE'LL MISS YOU AW Tdd

Tweet Image 1

mtu atakula mema kwa matunda ya kinywa chake bari nafsi ya mtu hain itakula jeur!!!!!!!!!

Tweet Image 1

United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.