@serowe_serow90s Profile picture

Mangaida

@serowe_serow90s

#DDS . Endurance is key

Similar User
Yuda Sule🇹🇿 photo

@YudaSulePascha1

Innocent Choga(Abdulrahman) photo

@Choga_Innocent1

Abbas F Kiwae, MD photo

@kiwae_af

Honesth Ndege ...🇹🇿 photo

@ndege_homada

WhiteFrank Frank photo

@WhitefrankFrank

Mugwe Ismail Venant photo

@mugwe_jr

Mkangwa Ndalama, Junior photo

@JuniorMkangwa

Sarafina_Msigwa 🌬🍃 photo

@finnah64

Arnold koresha photo

@anode_kolesya

Michael E.Bweli photo

@BweliMichael

Maduka Busumabu photo

@BusumabuMaduka

Fredrick Josiah photo

@drfred72

Adam Makame photo

@Adam_Makame10

Mac B photo

@markbongole

Innocent Karugwe photo

@Innos08

Pinned

may GOD bless us and protect us 🤲👏🏻


Mangaida Reposted

Ikiwa Serikali inajitahidi kuwafikia Watanzania wengi kwa huduma za Afya ya Kinywa,bado Kuna sehemu kubwa hawajafikiwa. Kupitia utoaji wa elimu hii tutaweza kuwafikia watu wengi zaidi na kuwapa elimu namna nzuri ya kujikinga na magonjwa haya. Kinga ni bora kuliko tiba.

Hlw ladies and gentlemen Tareh 01 October 2024 Programme yetu ya SAUTI ya @Kinywasalama itaanza RASMI na lengo ni kuendelea kutoa elimu kwa jamii kupitia social medias platforms zetu zote,tutatoa elimu ya magonjwa mbalimbali yanavosababishwa na namna ya kuyaepuka... stay tuned.

Tweet Image 1


Mangaida Reposted

Hawa wataalamu wamenifundisha ni muhimu kupiga mswaki mara mbili kwa siku •asubuhi baada ya chai •jioni kabla ya kulala Na ninapopiga mswaki niteme tu mapovu na nisisukutue na maji.

Tweet Image 1

Mangaida Reposted

Tunazidi kuimarisha UBORA wa huduma za Upasuaji Magonjwa ya KINYWA NA MENO nchini Tanzania.

Tweet Image 1

What a disappointment to Belgium 🤔


Mangaida Reposted

Living is to have impact on other's lives


Mangaida Reposted

Plan not to miss this webinar on AI and health technologies

Tweet Image 1

Mangaida Reposted

Kabla na Baada ya Matibabu ya Upasuajia Uvimbe kwenye taya la chini: (Matibabu ya Kibingwa ya Kinywa na Meno). Asante sana Mhe Rais @SuluhuSamia asante sana Waziri @ummymwalimu kwa maelekezo yenu mtoto amepata matibabu.


Mangaida Reposted

#Maadhimisho ya Siku ya Afya ya Kinywa na Meno# #20Machi2024# #Kupata Huduma Bure za Uchunguzi, Elimu na Ushauri

Tweet Image 1

Mangaida Reposted
Tweet Image 1

Mangaida Reposted

Ushawahi jiuliza kazi ya madini ya florini kwenye dawa yako ya meno! Karibu ujifunze kwanini ni msingi sana dawa yako kuwa na madini haya. abiteafya.com/have-you-ever-…


Hivi huwa mnajiskiaje na hili litimu lenu😂😂


Mangaida Reposted

Sikiliza jinsi upandikizaji wa Nyonga ya Taya na Fuvu ulivyofanyika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Huduma Bora za Kinywa na Meno kwa kila Mtanzania


Chelsea mmekibanabana weee hatimae😂😂


Mangaida Reposted

🦷 Join us in celebrating World Oral Health Day! 🎉 We will be offering free community oral health check-ups and education sessions in the Pwani region from 14th to 20th March, 2024. Let's spread smiles and promote dental wellness together! #WOHD@fdiworlddental

Tweet Image 1

Mangaida Reposted

Hello @EfmTanzania itapendeza kama mkiwaalika wataalamu katika fani husika kueleza mambo yao, ili kuepusha sintofahamu. "Color codes" nyuma ya dawa ya meno haina maana yoyote zaidi ya kuisaidia lasor sensor wapi pa kukata wakati wa kufanya packaging kiwandani. Ahsante.


Mangaida Reposted

Kusikiliza mwili wako ni muhimu‼️ ⁉️ Dalili za saratani ya koo zinaweza kujumuisha kikohozi kisichopona, ugumu wa kumeza na kubadilika kwa sauti ♋ Usisite kutafuta msaada wa matibabu mara moja unapohisi dalili hizi. Tahadhari ni afya #ZuiaSaratani @ummymwalimu @wizara_afyatz

Tweet Image 1

Mangaida Reposted

The past few days, @TheChanzo published TWO important articles I wrote: 1. Dr. Mwele Ntuli Malecela: The Woman, The Myth, The Legend thechanzo.com/2024/02/10/dr-… 2. The Little Feet that Never Felt the Earth thechanzo.com/2024/02/08/the… Kindly take your time to READ! #DakgariMwandishi

Tweet Image 1

Mangaida Reposted

The Little Feet That Never Felt the Earth By @Kudu_ze_Kudu It was an emotional moment, the words of Maya Angelou rang true as I held hands with a young couple in prayers, “There is no greater agony than bearing an untold story inside you.” I could see the tears in both of…

Tweet Image 1

Mangaida Reposted

World Oral Health Day 2024 👋🏿 Are you ready?? #wohd2024 #dentistry @fdiworlddental


Ila Kagere😂


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.