@saa_co_tz Profile picture

saa.co.tz

@saa_co_tz

Tunauza saa kali na orijino. Saa zetu zote zina warrant ya mwaka mmoja.

Joined June 2019

Duka letu lililopo Dar Free Market limekuletea saa aina ya EYKI yenye kioo, mishale na batani imara, Pia ina mikanda ya rangi uipendao na iliyo imara. Unaweza kujipatia saa yako kupitia tovuti yetu ya saa.co.tz au wasiliana nasi kupitia namba 0718900671

Tweet Image 1

Jipatie XINGE yenye mkanda imara na rangi utakayohitaji. Pia ina kioo na mishale imara Wasiliana nasi kwa namba 0718900671 au tembelea duka letu lililopo Dar Free Market floor ya kwanza #ClassicWatch #ValueYourTime

Tweet Image 1

Tembelea tovuti yetu ya saa.co.tz kujipatiaa saa yako bomba aina ya EYKI yenye mkanda, kioo na mishale imara Pia unaweza kuoda saa yako popote pale ulipo na ikakufikia ndani ya muda uliopanga. #ClassicWatch #ValueYourWatch

Tweet Image 1

ANA HICKMANN ni saa kali na ya kijanja kwa ajili yako. Ina mkanda na kioo imara, na pia muonekano makini. Jipatie saa yako katika duka letu lililopo Dar free market floor ya kwanza au wasiliana nasi kwa namba 0718900671. #Classicwatch #ValueYourTime

Tweet Image 1

Jipatie saa bomba aina ya XINGE yenye mkanda, mishale na kioo imara katika duka letu lililopo Dar free market gorifa ya kwanza Pia waweza tembelea tovuti yetu ya saa.co.tz kuoda saa yako #ClassicWatch #ValueYourTime

Tweet Image 1

EYKI ni saa itakayokusaidia kuonesha muda popote ulipo na uendapo Pia ni saa yenye mkanda na kioo imara Jipatie saa yako katika duka letu lililopo Dar free market floor ya kwanza, pia unaweza wasiliana nasi kupitia namba 0718900671 #ClassicWatch #ValueYourTime

Tweet Image 1

Tembelea saa.co.tz kupata saa kali kwa bei nafuu #ClassicWatch #ValueYourTime


Pay attention to a watch you choose equal to a dress you choose #ClassicWatch #SaaTips

Tweet Image 1

Nunua saa aina ya RADO itakayokuweka katika muonekano makini. Weka oda yako sasa kupitia tovuti yetu ya saa.co.tz ujipatie saa yako ndani ya muda uliopanga #ClassicWatch #ValueYourTime

Tweet Image 1

Una kila sababu ya kununua saa ya kitanashati aina ya NAVIFORCE yenye mkanda wa ngozi, haiingizi maji na inaonyesha tarehe. Unaweza kujipatia saa ya NAVIFORCE kutoka kwenye duka letu lililopo Dar free market gorofa ya kwanza #ClassisWatch #ValueYourTime

Tweet Image 1

OMAGA ni saa kali na yenye mkanda imara. Fanya oda yako sasa kupitia tovuti yetu ya saa.co.tz Kwa mawasiliano zaidi tupigie kupitia namba 0718900671 #ClassicWatch #ValueYourTime

Tweet Image 1

Jipatie saa kali aina ya ADIDAS kwa bei nafuu kutoka kwenye duka letu la Dar free market Unaweza tembelea tovuti yetu ya saa.co.tz kujipatia saa yako #ClassicWatch #ValueYourTime

Tweet Image 1

Some watches are just watches while some are time keepers. Stand out with Rado watch from saa.co.tz #ClassicWatch #ValueYourTime

Tweet Image 1

Pamper yourself with adidas watch, get it at our online store saa.co.tz or check us WhatsApp through 0718900671 #Classicwatch #ValueYourTime

Tweet Image 1

Oda saa aina ya Adidas kwa muonekano mzuri kupitia tovuti yetu ya saa.co.tz ujipatie ndani ya muda uliopanga. #ClassicWatch #ValueYourTime

Tweet Image 1

Jipatie saa yako aina ya OMAGA kwa muonekano wa kitanashati na wenye kukuonesha wa tofauti Kutoka saa.co.tz Karibu katika duka letu lililopo Dar free market floor ya kwanza au wasiliana nasi kupitia namba 0718900761. #Classicwatch #ValueYourTime

Tweet Image 1
Tweet Image 2

CASIO ni saa ya kisasa, haiingii maji kwa urahisi, na inaonesha tarehe.. Unaweza kuipata saa hii katika duka letu lililopo Dar free market na pia unaweza kuoda kupitia tovuti yetu saa.co.tz #ClassicWatch #ValueYourTime

Tweet Image 1

Makinika na saa makini aina ya RADO kutoka kwenye duka letu la Dar free market floor ya kwanza au wasiliana nasi kupitia namba 0718900761. #Classicwatch #ValueYourTime

Tweet Image 1

Jipatie saa aina ya NAVIFORCE kwa bei nafuu. Ni saa ya kisasa haiingizi maji, ina mkanda wa ngozi na inaonyesha tarehe. Jipatie sasa saa yako kwa kuchagua rangi uipendayo. Wasiliana nasi kwa namba 0718900761 au tutembelee kwenye duka letu lililopo Dar free market floor ya kwanza.

Tweet Image 1

United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.