GivenK
@rangimoExpert in Transport and logistics Industry. Member of Charted Institute of Logistics and Transport (CILT)
Similar User
@kacimbaz23633
@NamaraMark14
@PascalTuzo
@mkijanaa
@NundaJr
@mtanzania_255
Fahamu kuwa Tax Officer Licha ya majukumu ya Kila siku ambayo watu wameyezoea lakini pia Amepewa nguvu na sheria kufanya mambo yafuatayo ambayo watu wengi hawafahamu: Majukumu hayo ni pamoja na: 1: Kufanya majukumu kama ya Afisa Polisi wakati anatekeleza
Hakuna aliyepo juu ya sheria. Kama polisi wamekukamata kwa overspeed, wajibika kwa mujibu wa sheria. Hii ya kutishia tishia sijui sisi ni wizara moja au sijui wanachokitafuta watakipata kisa ni UPUUZI.
Kafa mbili Dar Es Salaam, kafa mbili tena Algeria, anaburuza mkia akiwa anadaiwa mabao manne na alama sifuri (0). Kuna uwezekano wa kutoboa?____
Shoga kwa hizi kilo ushachinjwa😂😂
Ndo maana Dini imekataza biashara za Riba. Ahsante Mungu
UCHUMI: Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imezifungia jumla ya 'Apps' 69 zinazotoa huduma za Ukopeshaji Fedha Kidigitali, baada ya kubainika zimekuwa zikijiendesha bila kuwa na Leseni BoT imesema Apps hizo zimeshindwa kukidhi Matakwa na Mwongozo wa Watoa Huduma Ndogo za Fedha wa…
🙌
Sema hawa wana wanaigeria video yao ina balaaa sana😁🙌🏾 Kama hujaona video kwenye comments 😋👇
Hii kilaaamu inaitwaje.
Marekani imetangaza kuwa ubalozi wake katika mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, umefungwa baada ya kupokea taarifa maalum kuhusu uwezekano wa shambulio kubwa la anga. Onyo hilo la shambulio, linakuja baada ya Rais wa Marekani, Joe Biden kuipa Ukraine idhini ya kutumia makombora ya…
😂😆😅
This is bad behaviour I had never seen 😔 come to support your National Team then stealing my phone 🤔 Tanzanian are mafian 🫡
Huyu akija Bongo tunamloga. Hatacheza mbwa huyu
Bondia No. Tanzania na Africa anakuwaje na pambano kubwa tena Tanzania alafu AZAM TV mmeshidwa kuniwekea Live, serious !!? Kwahiyo mnataka tulipie Vifurushi Kwa ajili ya akina Mandonga @KarimMtuKazi @azamtvtz @JrMwakinyo
Bondia wa Tanzania, Hassan Mwakinyo amefanikiwa kuutetea kwa mara ya pili mfululizo ubingwa wake wa WBO Africa Middleweight kufuatia ushindi wa TKO raundi ya tisa (9) dhidi ya Daniel Lartey wa Ghana katika pambano lilochezwa usiku wa kuamkia Jumapili katika ukumbi wa Were House…
Ubora wa Beki ulikuwa unambeba DIARA Ila ni Goalkipa wa Hovyo tuu🤣
Vitu kama hivyo ninavyo jamani. Ikipauka nakurudishia pesa yako 💥🔥 0673203508 Naombeni #reposts zenu
Nice try. Now fuck off psycho!
Mkwara aliyechangamka😂
🎙️ PRINCE DUBE: “Tangu nijiunge na Yanga katika kila mechi ninayoanza nahisi maumivu makali ya kichwa napokuwa uwanjani.”
45283
Janet
Wameanua kutumia Uwanja wa ugenini😂🤣
Korea Kusini itatuma wanajeshi wake nchini Ukraine kupambana na wanajeshi wa Korea Kaskazini wanaoiunga mkono Urusi. Hii inazidi kuwa WW3 polepole..
Tunaumia kwa kupoteza mchezo wa derby lakini tunajipongeza kwa kuwa mradi wetu wa kutengeneza timu umeanza kutoa matunda tena kwa haraka sana Wote ni mashahidi misimu kadhaa nyuma tulifungwa derby na kuzidiwa kwa dakika zote 90 Jana tumeona tofauti kubwa, tumefungwa lakini…
United States Trends
- 1. Clemson 56 B posts
- 2. Bama 38,4 B posts
- 3. #UFC310 146 B posts
- 4. Pantoja 41,5 B posts
- 5. Penn State 39,9 B posts
- 6. Oregon 65,3 B posts
- 7. Syria 834 B posts
- 8. Assad 699 B posts
- 9. Dabo 7.040 posts
- 10. Belal 8.111 posts
- 11. Volkov 32,4 B posts
- 12. Shavkat 23,1 B posts
- 13. James Franklin 4.967 posts
- 14. Gonzaga 7.594 posts
- 15. Texas 206 B posts
- 16. Gane 51,9 B posts
- 17. Mark Pope 3.049 posts
- 18. Ian Garry 11,6 B posts
- 19. Valdez 6.583 posts
- 20. Drew Allar 3.631 posts
Something went wrong.
Something went wrong.