@rais_wa_wabende Profile picture

Jackson Machuche

@rais_wa_wabende

Farmer | Content Creator | Businessman

Similar User
VanzioMugambi photo

@vanzio_mugambi

Leoshada🍁 photo

@leoshada

Paul D'Agoth photo

@agoth_thon

THE 🔝C.E.O.🛋️. photo

@MrMexM

Akihiro Koech 🇰🇪. photo

@Akihiro00777820

Mad®™ photo

@nigger_mad

JB5 ✌🏾 photo

@vanpee_

Mangi Wa Kichagga photo

@Deo18Tarimo

KampalaGrins🇺🇬 photo

@NsubugaHajji

BABA AIKA✍️ photo

@Baba_aika1

Moses koech🇰🇪 photo

@mosesmascot

Gerald photo

@Sir_Gerald98

Toxic child photo

@Iamabro36

Konvick Wellclean🦅🖖🎭 photo

@KonvickWelclean

takadini_003🇯🇲🤕🍁 photo

@humphreyPallan5

Jackson Machuche Reposted

Maboresho makubwa katika Bandari za Mwanza, Kemondo, na Bukoba! Serikali ya Tanzania imewekeza TZS bilioni 60 kuboresha kina cha maji, kuongeza urefu wa gati, na kuimarisha miundombinu ya kisasa kama maeneo ya abiria, vituo vya ukaguzi wa mizigo, na mifumo ya usalama.…


Jackson Machuche Reposted

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameungana na Watanzania katika kutoa heshima za mwisho kwa Bw. Lawrence Nyasebwa Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango. Tunamuombea pumziko la amani na faraja kwa familia yake katika kipindi hiki cha…

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Jackson Machuche Reposted

NAIBU Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Omary Kipanga, amesema hadi kufikia Machi, mwaka huu, wanafunzi 22,844, waliokatiza masomo kutokana na sababu mbalimbali, ikiwemo ujauzito, wamerejea shuleni na kuendelea na masomo kupitia mfumo rasmi na usio rasmi. Kipanga alisema…


Jackson Machuche Reposted

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan aongoza waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Marehemu Lawrence Mafuru katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo terehe 14 Novemba, 2024. #DiraYaSamia

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Jackson Machuche Reposted

Katika lengo la kuimarisha usafiri wa anga hapa nchini, Serikali inaendelea na ukarabati, upanuzi na uboreshaji wa viwanja vya ndege vya Tabora,Musoma,Iringa,Kilimanjaro,Sumbawanga na Shinyanga. #DiraYaSamia

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3

Jackson Machuche Reposted

katika Miaka mitatu ilyopita,Serikali ya awamu ya sita imejenga shule za msingi Zaidi ya 3,000 na shule za sekondari Zaidi ya 500 kote nchini za kuzidi kuifanya sekta ya elimu kuwa kipaumbele katika serikali ya Mama Samia.#DiraYaSamia

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3

Kampeni ya Rais Samia Suluhu Hassan ya Nishati safi ya kupikia yazidi kushika kasi kimataifa. #DiraYaSamia

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3

Jackson Machuche Reposted

At COP29, Vice President Hon. Phillip Mpango emphasized the importance of #CleanCooking as a key solution for sustainable development and climate action. By prioritizing clean cooking technologies, we can reduce health risks, empower communities, and protect our environment.…


Jackson Machuche Reposted

Sekta ya Madini imezalisha ajira 19,356 ambapo kati ya hizo, 18,853 ni watanzania na hii kuwafanya watanzania kuchukua asilimia 97.4 za ajira sekta ya madini hapa nchini. #DiraYaSamia

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3

Jackson Machuche Reposted

Mradi wa kufua umeme Rusumo ni mradi unaotekelezwa kwa ushirikiano wa nchi ya Tanzania,Rwanda na Burundi wenye uwezo wa kuzalisha megawati 80 na kila nchi itapata gawio la megawati 26.6 kwa usawa. Mradi huu pia utachochea maendeleo ya kiuchumi, #DiraYaSamia

Tweet Image 1
Tweet Image 2

Jackson Machuche Reposted

Lissu kila mara anarusha jiwe gizani, awe tu huru kumtaja Moja kwa Moja sasa Kona Kona za nini


Jackson Machuche Reposted

Katika jitihada za kuendeleza sekta ya madini hasa wachimbaji wadogo, Zaidi ya leseni 50,000 zimetolewa huku maeneo Zaidi ya 65 yakitolewa kwa wachimbaji wadogo na pia kuwatengenezea mazingira rafiki kwa ajili ya shughuli zao za uchimbaji. #DiraYaSamia

Tweet Image 1
Tweet Image 2

Jackson Machuche Reposted

#DYSKatuniUpdates Tanzania inaendelea kupiga hatua na kupata mafanikio makubwa katika kipindi kifupi cha utekelezaji wa Bajeti ya 2024 - 2025! Trilioni 11.6 zimetumika kutekeleza miradi muhimu katika robo ya kwanza, chini ya uongozi wa Mh. Kassim Majaliwa. Hata hivyo, 99% ya…

Tweet Image 1

Jackson Machuche Reposted

UTIAJI Saini mkataba wa ujenzi wa masoko mawili katika Hal- mashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji wenye thamani ya Sh bilioni 16.4 umefanyika ili ku- wezesha ujenzi wa soko la Mwanga na ujenzi wa soko la mazao ya Uvuvi Katonga kuanza Novem- ba 15, mwaka huu. Utiaji Saini huo…

Tweet Image 1

Jackson Machuche Reposted

Uzalishaji wa umeme umeongezeka kwa asilimia 62 ikilinganishwa na mwaka 2021. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema kiwango cha umeme kimeongezeka na kufikia megawati 2,607.96 ikilinganishwa na megawati 1,605.86 za mwaka 2021. Alisema ongezeko hilo…


Jackson Machuche Reposted

Serikali ya awamu ya 6 chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inatekeleza Miradi ya ufungaji wa mifumo ya umeme jua ipatayo 20,000 katika maeneo ya visiwani na makazi yaliyo vijijini ambayo hayajafikiwa na Gridi ya Taifa. @SuluhuSamia @ikulumawasliano #DiraYaSamia


Jackson Machuche Reposted

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Bi. Veronika Mueni Nduva, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Mazungumzo haya, yanayofanyika kwa mara ya kwanza tangu Bi. Nduva aingie…

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Wanaharakati wa mchongo mna hali gani hukoo😂😂😂

Tweet Image 1

Jackson Machuche Reposted

Serikali ya Awamu ya sita chini ya MFUKO wa Taifa wa Maji (NWF) umefanikisha ukamilishaji miradi ya maji 354 katika maeneo yenye uhaba wa huduma hiyo nchini kwa kipindi cha miaka mitatu. Miradi hiyo imetekelezwa kupitia utaratibu wa mfuko huo kuzipatia mamlaka za maji mikopo ya…

Tweet Image 1

Jackson Machuche Reposted

BIL. 250 ZIMETOLEWA NA SERIKALI KWA AJILI YA VIFAA TIBA Serikali imetoa zaidi ya shilingi Bilioni 250 katika mwaka wa fedha 2024/25 kwa ajili ya ununuzi wa vifaa na vifaa tiba kwa maeneo yote ya kutolea huduma za Afya ya msingi katika Halmashauri zote 184 nchini. Taarifa hiyo…

Tweet Image 1

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.