@op_laizer Profile picture

Ombeni Peter Laizer

@op_laizer

🌟 Just a human navigating the cosmic journey of life | 📚 Avid reader & lifelong learner | 🌱 Dreaming big & working hard

Similar User
petr golo photo

@peter_mglo

Loremoi 🦅 photo

@UncleTiliman

✪ AMG ✪ photo

@psycho_tinker1

Elvo Mkalindani 𝕏 😑 photo

@Elvo_Beamer

A.T.P photo

@a_t_p66

Appolinaris photo

@Appolinarism

Cirry_boy™ photo

@chizi_freshi254

Elias Abdukad photo

@EliasMnyavanu

°™🇰🇪® photo

@blacklad__

Temporary_gibe photo

@gibe_temporary

issa bin fatma photo

@issabinfatma33

PUNDIT🇺🇬 UG OFFICIAL photo

@omusipaana

kai photo

@boibawanggg

Larry LK photo

@JKip87

Aura⚡️ photo

@CaltonMulwa

Ombeni Peter Laizer Reposted

Unaweza kumpiga mjinga manusra ya kuua lakini huwezi kuua ujinga ulioko ndani yake.


Ombeni Peter Laizer Reposted

"Mkuu wa Mkoa haruhusiwi kufanya ziara wakati wa kampeni, akifanya hivyo anakosea. Kama mtatumia mawe kumuambia, juu yenu. Kama unaogopa mabomu nenda ndani kalale usubiri CCM wakuchune ngozi. Nchi haikombolewi kwa maombi. Nchi haikombolewi kwa kupiga magoti" - @TunduALissu


Ombeni Peter Laizer Reposted

Nilipoanza kilimo hata familia yangu hawakuamini kama naweza fanikiwa kwenye sekta ya kilimo(mazoea na historia) lakini leo nimekuwa mfano kwenye familia, kijana komaa na ndoto yako. #KilimoNiAjira


Ombeni Peter Laizer Reposted

Bidhaa zinazoingiza mapato makubwa zaidi ya kikodi Tanzania 2023/24: 1.⛽️Mafuta- Trilioni 3.6 2.🍻Bia- Bilioni 609 3.🍸Spiriti na Konyagi- Bilioni 320 4.📲Simu- Bilioni 320 5.🚬Sigara- Bilioni 275 6.🍶Vinywaji baridi- Bilioni 188 7.🧋Sukari- Bilioni 89.6 8.🧱Saruji- Bilioni 75…

Tweet Image 1

Ombeni Peter Laizer Reposted

Hata ukiamua kukomaa na kuuza mayai tu unatoboa.. nikiwa likizo ya mapunziko huko vijijini nilikusanya mayai kwa Tsh 250/= (kwa kila yai) Alafu nayatuma mjini nimepata pesa ujue. #KilimoNiAjira

Tweet Image 1
Tweet Image 2

Ombeni Peter Laizer Reposted

Ombeni Peter Laizer Reposted

Hapa wanafugwa ng'ombe wachache tu lakini unawezaona breed karibu zote.. Fresian Ayrshire Jersey Nawewe pia unafanya hivi? Kimsingi hakuna umuhimu wa hili Mjasiliamali mdogo na wa kati focus na uzalishaji mkubwa wa Maziwa kwanza Nenda na FRESIAN.

Tweet Image 1

Ombeni Peter Laizer Reposted

Ukiachana na mengi ambayo sisi watu wa Mjini tunawazidi watu wa Vijijini unadhani ni lipi hatuwazidi hata tufanye nini?


Ombeni Peter Laizer Reposted

Unajiona wapi siku za Usoni?


Ombeni Peter Laizer Reposted

Ni katika umri gani Mwanaume anapaswa kuwa na kila kitu?


Ombeni Peter Laizer Reposted

Umekuwa ukijiambia nini kila wakati?


Ombeni Peter Laizer Reposted

Wanavyokusema inaweza isiwe na madhara makubwa sana kwenye Maisha yako kuliko unavyojisema WEWE, jinenee Mazuri. #KilimoNiAjira

Tweet Image 1

“[My] brethren, do not speak evil about or accuse one another. He that maligns a brother or judges his brother is maligning and criticizing the Law and judging the Law. But if you judge the Law, you are not a practicer of the Law but a censor and judge [of it].” James 4:11


“Come close to God and He will come close to you. [Recognize that you are] sinners, get your soiled hands clean; [realize that you have been disloyal] wavering individuals with divided interests, and purify your hearts [of your spiritual adultery].” James 4:8


Ombeni Peter Laizer Reposted

I think the most beautiful thing about life is at any moment, you can start over. There is always space for you to reinvent yourself, grow, and become a better version of yourself. #MalemboIsBack

Tweet Image 1

Usipende wala kuamini haraka!!??

Tweet Image 1

Ombeni Peter Laizer Reposted

“Usipende wala kuamini haraka. Usikate tamaa mapema. Usiweke matarajio makubwa. Usiongee sana.” - John Green

Tweet Image 1

Ombeni Peter Laizer Reposted

Never consider the possibility of failure; as long as you persist, you will be successful. #MalemboIsBack

Tweet Image 1

Ombeni Peter Laizer Reposted

An election is about values. Kamala Harris has the character, the leadership, and the vision to make our country better. Thanks for the conversation, @VicBlends — and the cut.


Ombeni Peter Laizer Reposted

It's time to start being loyal to your own peace of mind, protecting it from anything or anyone that disrupts it. Your well-being deserves to be your priority. #MalemboIsBack

Tweet Image 1

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.