Similar User
@davidel86129361
@oriaviking
@alf1070
@juanpabloyanezv
@hussenmvomvo
@Ganton77
@FBreigo
@RAloycc
@Chazplato1
Mnataka waonewe huruma watu wasio jionea huruma..? Upo Mbele ya Wajumbe unataka Wakusamehewa Unakuja unakunja Nne Mbele yao, kama Vile Wajumbe ndiyo Wanatakiwa Kukuomba Msamaha😂😂😂😂 Acheni Masihara, Nyieeeeeeeeeeee
Usiku huu Mhe. Mbowe akikatiza kwa miguu mitaa ya Machame na kuwasalimia wananchi.🙌
MACHAME - KILIMANJARO TANZANIA
Hivi Ndivyo Lucy Owenya (Mtoto wa Marehemu Ndesa Pesa) anavyoondoka Iringa Kibabe Kurejea Kilimanjaro kwenye Shughuli zake kwa kutumia Helicopter yake, Mchana huu
Mhe. Mbowe anaroho yake aisee yani hana moyo wa kisasi kabisa ndo maana anaitwa Freeman
Mhe. @ExMayorUbungo Unastahili Pongezi Kubwa Sana Kwa Kazi Kubwa Uliyoweza Kuifanya Kwa Kipindi cha Miezi Yote 7 Kwa Kujitolea Kuwa-Habarisha Watanzania Kwa Kuandika Mwenendo Wote Wa Kesi Ya Mh.Mbowe Ktk Kundi Lako la WhatsApp na Kuwa Chanzo Cha Habari za Mahakamani Kwa Watu Wote
1. Mohammed Abdillah Ligw’enya 2. Freeman Aikaeli Mbowe 3. Adam Hassan Kasekwa 4. Khalfan Hassan Bwire Wapo uraiani! Sema neno lolote kwa ajili yao wote! ✊🏾
Japo inasikitisha ila imetoka kauli toka Gerezani kwa Mh. Freeman Mbowe ikisema JOIN THE CHAIN. Tukutane saa 10:00 jioni.
Kumekucha Roma Mkatoliki amethibitisha KuJOIN THE CHAIN.
Kakenya Ntaiya is fighting to improve the lives of women and children.
Safi kabisa! That's the spirit! Msikate tamaa! Mshikamane more than before! It will not be easy but #Tutashinda
.. Kama mnadhani kilichotokea mahakamani Leo kitatunyong'onyeza, oneni kinachoendelea Makao Makuu ya Chadema muda huu. ✌️
Mwenyekiti @freemanmbowetz na wenzake walivyoagwa na wanachama na viongozi baada ya uamuzi wa Mahakama leo wa kuwakuta watuhumiwa wote na kesi ya kujibu.
Mwenyekiti @freemanmbowetz na wenzake walivyoagwa na wanachama na viongozi baada ya uamuzi wa Mahakama leo wa kuwakuta watuhumiwa wote na kesi ya kujibu. #MboweSioGaidi
Mapokezi makubwa ya Mh. Freeman Mbowe Leo mahakamani.
Kwa lugha ya nyumbani kwenu huu mstari tunasemaje “mimi nina watu kumbe”… engineer anawakilisha watu wengi huko uraiani, naambiwa WATU wengi wanatusoma na kutufuatilia, wengi siwafahamu, wachache hivi wanawakilisha hisia zenu. Tutafanya. Msiogope. #MboweSioGaidi
Muda huu Mahakamani watu ni wengi kwelikweli.
Leo watu ni wengi sana hapa Mahakamani.
Kesho namaliza mtihani nitafute chimbo la kutuliza akili😄😄😄
United States Trends
- 1. $CUTO 9.189 posts
- 2. #JusticeforDogs N/A
- 3. ICBM 187 B posts
- 4. $EFR 2.276 posts
- 5. The ICC 248 B posts
- 6. Netanyahu 527 B posts
- 7. Denver 33 B posts
- 8. Jussie Smollett 6.896 posts
- 9. Illinois Supreme Court 7.076 posts
- 10. #KashOnly 40,7 B posts
- 11. #AcousticGuitarCollection 2.313 posts
- 12. Dearborn 6.559 posts
- 13. DeFi 128 B posts
- 14. #ATSD 10,4 B posts
- 15. #AtinySelcaDay 10,1 B posts
- 16. chenle 128 B posts
- 17. Volvo 5.645 posts
- 18. Flat 52,6 B posts
- 19. Katie Couric 2.430 posts
- 20. Bezos 39,8 B posts
Something went wrong.
Something went wrong.