negrette_negro's profile picture. #ProperChelsea

Negro

@negrette_negro

#ProperChelsea

Joined August 2020
Similar User
J_Mcalifonia's profile picture. BROO HOOD✍     Àt cåmpus
      BØNGO-LAND🇹🇿 

 Aquaculturist ✍🏽
 || @YoungAfricansSc🔰||
  @FcBarcelona  || @Arsenal || We tryanna tweet to make our days🤙🏿

@J_Mcalifonia

kevo_Dady's profile picture. INFLUENCER MAN || CONTENTS CREATER 📗|| KIPENZI CHA WAPWA🎀 @ManUtd @cristiano @YoungAfricans

@kevo_Dady

KundyVictor's profile picture. Business & Finance

@KundyVictor

GwamakaSauli's profile picture. “Dream big, work hard, stay focused, and surround yourself with good people.”
●LFC & simba sc Fan ⛔🔴

@GwamakaSauli

fatpaya's profile picture. BSE-SUA 2020
Teacher&Footballer
@ChelseaFC
@yangasc1935

@fatpaya

WensislausWilli's profile picture. Freelance Graphic Designer.
DESIGN. PRINT. BRAND.

@WensislausWilli

YonaMallo's profile picture. @Member Chadema Tanzania
@Farmer 
@Businessman 
Muumini wa Mabadiliko&Katiba Mpya✍️

@YonaMallo

menda_felix's profile picture. A Capricorn man.
unsullied man.
Your future BoSS

SMAW7589A0007

@menda_felix

EffectsLerms's profile picture. Instagram. @lermseffects_77.

#PHOTOGRAPHER 
whatsapp 0622524454|
 sports photographer 
@Spursofficial, @FcBarcelona & @SimbaScTanzania Fan.

@EffectsLerms

Shedy2001's profile picture. https://t.co/vDkojlMzxP

@Shedy2001

romnnusi's profile picture. football

@romnnusi

ChepeoM's profile picture. Kumbe maisha karata, Mungu ameficha.

@ChepeoM

JohnNyalali's profile picture. Coding my journey. Agriconnect enthusiast
Mia san Mia.
A proud Catholic.

@JohnNyalali

MalekTrendz's profile picture. Funny Clips • Funny Quotes • @Arsenal 🔴 • Ig & TT👉🏼 @MalekTrendz • Always will Like your Tweet

@MalekTrendz

AmaniLeodigard's profile picture. SIMBA FC & MAN U//
Tanzanian boy 🇹🇿

@AmaniLeodigard

Negro Reposted

Kama Jezi za Yanga ni Mbaya Shabiki wa Simba Njoo uangalie hapa Jezi za Simba zilivyo nzuri.!!


Negro Reposted

Tanzania. Kenya.

kalage_jr's tweet image. Tanzania.                   Kenya.
kalage_jr's tweet image. Tanzania.                   Kenya.

Negro Reposted

Ndugu zangu, Kwa wale mnaonunua gesi ya kupikia kwa kutumia njia ya usafiri wa bodaboda,kuweni makini sana hasa pale mtungi wa gesi unaposhushwa kwenye pikipiki.Inashauriwa tuacheni dakika chache ili gesi itulie kabla ya kuikonekti kwenye jiko na kutumia. Ni kama chupa iliyojaa…

madeinmusoma's tweet image. Ndugu zangu,
Kwa wale mnaonunua gesi ya kupikia kwa kutumia njia ya usafiri wa bodaboda,kuweni makini sana hasa pale mtungi wa gesi unaposhushwa kwenye pikipiki.Inashauriwa tuacheni dakika chache ili gesi itulie kabla ya kuikonekti kwenye jiko na kutumia.
Ni kama chupa iliyojaa…

Negro Reposted

Pedro Neto vs Ben White


Yanga imefungwa kama milango Yako ilivyofungwa vile


Negro Reposted

kwenye maisha changamoto za hapa na pale zinatokea lakini Tembo hata akikonda namna gani hawezi kubadilika kuwa swala.😁


Negro Reposted

𝗖𝗛𝗘𝗭𝗔 𝗚𝗔𝗠𝗘 𝗭𝗔 𝗣𝗦𝟰 𝗞𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗦𝗜𝗠𝗨 𝗬𝗔𝗞𝗢 Je umekua ukisumbuka wapi utaweza kucheza game za playstation 4 kwenye simu yako ? Najua wewe ni mpenzi wa game na unapenda game za ps 4 ucheze kwenye simu lakini hujui wapi utazipata ? @Bongotech255

Bongotech255's tweet image. 𝗖𝗛𝗘𝗭𝗔 𝗚𝗔𝗠𝗘 𝗭𝗔 𝗣𝗦𝟰 𝗞𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗦𝗜𝗠𝗨 𝗬𝗔𝗞𝗢

Je umekua ukisumbuka wapi utaweza kucheza game za playstation 4 kwenye simu yako ? Najua wewe ni mpenzi wa game na unapenda game za ps 4 ucheze kwenye simu lakini hujui wapi utazipata ?
@Bongotech255

Negro Reposted

Naitwa Veronica Alphonce (27) mkazi wa Kipawa, DSM. Mwaka 2022 nilifunga ndoa bwana Lawrence John na tukaishi kama mume na mke. Aprili Mwaka 2023 nikiwa na mimba ya miezi 8, mume wangu alianguka bafuni na kujigonga sehemu ya nyuma ya kichwa kwenye sakafu. Tulimkimbiza hospitali…

MdemuPolycarp's tweet image. Naitwa Veronica Alphonce (27) mkazi wa Kipawa, DSM. Mwaka 2022 nilifunga ndoa bwana Lawrence John na tukaishi kama mume na mke. Aprili Mwaka 2023 nikiwa na mimba ya miezi 8, mume wangu alianguka bafuni na kujigonga sehemu ya nyuma ya kichwa kwenye sakafu. Tulimkimbiza hospitali…

Negro Reposted

Wananchi Tumepoteza Game yetu ya Kwanza Kwenye Ligi tuangalie hii Video kupoza machungu.!!✊ Mwananchi Rt ifike mbali.💛💚


Negro Reposted

#JUMUA_MUBARAK Imepokewa kuwa Mtume SAW alisema “Kamwe Muumini hapatwi na usumbufu, maradhi, wasiwasi, huzuni au wasiwasi wa kiakili au hata kuchomwa na mwiba ila Allah SWT humfutia madhambi yake kwa sababu ya SUBIRA yake” Tunamuomba Allah SWT atujaalie tuwe WENYE KUSUBIRI

dr_makame's tweet image. #JUMUA_MUBARAK 
Imepokewa kuwa Mtume SAW alisema “Kamwe Muumini hapatwi na usumbufu, maradhi, wasiwasi, huzuni au wasiwasi wa kiakili au hata kuchomwa na mwiba ila Allah SWT humfutia madhambi yake kwa sababu ya SUBIRA yake” 

Tunamuomba Allah SWT atujaalie tuwe WENYE KUSUBIRI

Negro Reposted

Habari za zenu. Kuna mwanafunzi wa IFM Mwanza Compus alipata ajali #jicholimeharibika. Mama yake kafika ofisini kuomba msaada ni katoa napoweza na nikaona ni vema pia kulileta humu kuweza kumshika maza mkono kwa namna yeyote Ile @maestrowafact @Zeeswitcher @paka2104 @fantasy_FGP

's tweet image. Habari za zenu.
Kuna mwanafunzi wa IFM Mwanza Compus alipata ajali #jicholimeharibika. Mama yake kafika ofisini kuomba msaada ni katoa napoweza na nikaona ni vema pia kulileta humu kuweza kumshika maza mkono kwa namna yeyote Ile
@maestrowafact
@Zeeswitcher
@paka2104
@fantasy_FGP
's tweet image. Habari za zenu.
Kuna mwanafunzi wa IFM Mwanza Compus alipata ajali #jicholimeharibika. Mama yake kafika ofisini kuomba msaada ni katoa napoweza na nikaona ni vema pia kulileta humu kuweza kumshika maza mkono kwa namna yeyote Ile
@maestrowafact
@Zeeswitcher
@paka2104
@fantasy_FGP

Negro Reposted

Kila mtu akitoa Sh 100 x watu 1,000,000 ni Sh 100,000,000 zinazohitajika ni zaidi ya Sh 40,000,000 ili Mangi Dominiki aweze kupata matibabu India Baadaye nitakuja na update ya michango ilipofikia tokea tuanze kuchangisha Namba mchango 0672819200 - Mangi Dominiki


Negro Reposted

Mchango wako unaweza kuwasilisha hapa 0672819200- MANGI DOMINIKI DOMINIKI anahitaji msaada wetu kwa maradhi yaliyomfika. Rt

ModestaZ7's tweet image. Mchango wako unaweza kuwasilisha hapa 0672819200- MANGI DOMINIKI 

DOMINIKI anahitaji msaada wetu kwa maradhi yaliyomfika.

Rt

Negro Reposted

Tumsaidie mchango wa kununua Wheelchair, Ili tumpumzishe huyu Mama Kumbeba mwanae mgongoni. Namba: 0717746979 Jina: Tayanah Svetlana Tibenda 🙏

Rahma_Simba's tweet image. Tumsaidie mchango wa kununua Wheelchair, Ili tumpumzishe huyu Mama Kumbeba mwanae mgongoni.

Namba: 0717746979 
Jina: Tayanah Svetlana Tibenda 🙏
Rahma_Simba's tweet image. Tumsaidie mchango wa kununua Wheelchair, Ili tumpumzishe huyu Mama Kumbeba mwanae mgongoni.

Namba: 0717746979 
Jina: Tayanah Svetlana Tibenda 🙏
Rahma_Simba's tweet image. Tumsaidie mchango wa kununua Wheelchair, Ili tumpumzishe huyu Mama Kumbeba mwanae mgongoni.

Namba: 0717746979 
Jina: Tayanah Svetlana Tibenda 🙏

Negro Reposted

Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu na pia nitumie furusa hii kuwakaribisha Wanangu, ndugu zangu na wanajamii wote wa humu Twitter (X) kwenye Duka langu la THE MANDEVU STORE linalopatikana Mabibo Mwembeni. Nimatumaini yangu Wanangu mtanishika Mkono as we always do,…

ze_mandevu's tweet image. Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu na pia nitumie furusa hii kuwakaribisha Wanangu, ndugu zangu na wanajamii wote wa humu Twitter (X) kwenye Duka langu la THE MANDEVU STORE linalopatikana Mabibo Mwembeni.  Nimatumaini yangu Wanangu mtanishika Mkono as we always do,…

I think Erick Ten Haag has some shares in Manchester united Mahn,cos how tf has this bald guy spent all this years managing this shit football no tactics,no improvements of any kind and still not sacked, I've never seen a top club giving such favors for a Manager of his level.


Negro Reposted

Matumizi Mabaya ya Rasilimali! In my books she is the worst head of state to ever dictate our Country. Maandamano ni haki ya Kikatiba,.

athanas_pius's tweet image. Matumizi Mabaya ya Rasilimali! In my books she is the worst head of state to ever dictate our Country.
Maandamano ni haki ya Kikatiba,.

Negro Reposted

Jasmine ni msichana mdogo mwenye ndoto ya kuwa kama watoto wenzie Changamoto ya cerebral palsy imemfanya kushindwa kutembea, lakini tunaweza kumpa Furaha kwa kumsaidia matibabu maalum ya mazoezi. Namba ya Mzazi:0617209697 Iddi Hashimu Saidi. Lipa Ya Voda:5899672 Paris Fruition

kalage_jr's tweet image. Jasmine ni msichana mdogo mwenye ndoto ya kuwa kama watoto wenzie
Changamoto ya cerebral palsy imemfanya kushindwa kutembea, lakini tunaweza kumpa Furaha kwa  kumsaidia matibabu maalum ya mazoezi.
Namba ya Mzazi:0617209697  Iddi Hashimu Saidi. 
Lipa Ya Voda:5899672 Paris Fruition
kalage_jr's tweet image. Jasmine ni msichana mdogo mwenye ndoto ya kuwa kama watoto wenzie
Changamoto ya cerebral palsy imemfanya kushindwa kutembea, lakini tunaweza kumpa Furaha kwa  kumsaidia matibabu maalum ya mazoezi.
Namba ya Mzazi:0617209697  Iddi Hashimu Saidi. 
Lipa Ya Voda:5899672 Paris Fruition

Negro Reposted

Repost Ifike mbali. Boda boda amepata ajali amefariki hapo hapo mwili wake upo parestina sinza unahamishwa kupelekwa hospital ya mwananyamala ivyo ndugu jamaha na malafiki kama unamjua mtu uyu tafadhali wasiliana na ndugu zake waweze kumstili ndugu Yao 😭😭😭😭😭

Gaspinho15's tweet image. Repost Ifike mbali.

Boda boda amepata ajali amefariki hapo hapo mwili wake upo parestina sinza  unahamishwa kupelekwa hospital ya mwananyamala  ivyo ndugu jamaha na malafiki kama unamjua mtu uyu tafadhali wasiliana na ndugu zake waweze kumstili ndugu Yao 😭😭😭😭😭

Negro Reposted

HABARI ZA MUDA HUU. Pichani ni mtoto Jasmine ni msichana mdogo mwenye ndoto ya kuwa kama watoto wenzie Changamoto ya cerebral palsy imemfanya kushindwa kutembea, lakini tunaweza kumpa Furaha kwa kumsaidia matibabu maalum ya mazoezi. Hata shilingi 1,000 yako inaweza kuleta…

raphyrodrick's tweet image. HABARI ZA MUDA HUU.

Pichani ni mtoto Jasmine ni msichana mdogo mwenye ndoto ya kuwa kama watoto wenzie Changamoto ya cerebral palsy imemfanya kushindwa kutembea, lakini tunaweza kumpa Furaha kwa  kumsaidia matibabu maalum ya mazoezi.

Hata shilingi 1,000 yako inaweza kuleta…
raphyrodrick's tweet image. HABARI ZA MUDA HUU.

Pichani ni mtoto Jasmine ni msichana mdogo mwenye ndoto ya kuwa kama watoto wenzie Changamoto ya cerebral palsy imemfanya kushindwa kutembea, lakini tunaweza kumpa Furaha kwa  kumsaidia matibabu maalum ya mazoezi.

Hata shilingi 1,000 yako inaweza kuleta…

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.