@mzawa_wa2000 Profile picture

kizazi kipya

@mzawa_wa2000

NATAKA KATIBA MPYA| CHADEMA IN BLOOD |SON OF DOCTOR | From two government officials Family.

Similar User
Jared254 photo

@JaredMobagi

its_lorac photo

@its_lorac404yt2

Atwebembire Dorothy 🌻 photo

@DoraAtwebembire

Sam Makori photo

@OnyinsiSam

NAYANTHARA FANS THRISSUR photo

@AknfwaThrissur

E M P E R O R🛡️  photo

@itsvardy_

Guma.Ghash photo

@ggumaig

kizazi kipya Reposted

𝗡imemasa sauti ya katibu tawala DAS wilaya ya Mbongwe Mr. Jacob Rombo akiiba mafuta ya serikali kwenye moja ya vituo vya mafuta wilayani hapo. Katika sauti hiyo DAS huyo anamlazimisha mhudumu wa kituo cha mafuta ampe kash Tsh. 235,000/ kutoka kwenye fungu la mafuta ya serikali.


kizazi kipya Reposted

Anachokifanya Jerry Slaa ni uhuni ni utapeli na ni kampeini… Sehemu kubwa ya mawaziri wanazunguka kufanya kampeini na siasa tu… hawafanyi majukumu yao kama mawaziri.. Mfumo wa uongozi umekufa Nchi inahangaika. Serikali ya kutatua kero!!! Lini wataanza kufanya kazi za…


TUNALEYEWA MWENDOKASI MPYA ZINA INJINI YA #YUTONG KUMBE ZIKIFIKA MATAJIRI WA MABASI KAMA ABOOD , BM . WANANUNUA IZO ENGINE ALAFU TUNAWEKEWA ZA ZAMANI BAADA YA MUDA MFUPI GARI AZITEMBEI 😭😭@MariaSTsehai @IAMartin_ @Mwabuk2Boniface @ChademaTz

Tweet Image 1
Tweet Image 2

kizazi kipya Reposted

Madawati hatuna ila wanajiongezea Posho na Mishahara sisi tukilazimishwa kugharamia hadi conjugal obligations za wenza wa viongozi wa Kisiasa....Amkeni hapa tulipo sipo na wanakotupeleka siko.IGA ni haramu..Katiba Mpya ni sasa na Haki ya wazawa kuishi kwenye maeneo yao ya Asili.


kizazi kipya Reposted

Picha Kama hii uwezi kuiona ikisambaa Au kuwa na Reposted 🦶🏿

Tweet Image 1

kizazi kipya Reposted

🔷🔷🔷OCD Mbeya anajaribu kutisha Masimba✍️


kizazi kipya Reposted

Niliwahi kuuliza hili swali; WASOMI WETU WANA UHURU WA KITAALUMA? KUNA STIPULATIONS ZOZOTE KWENYE MIKATABA YAO ZINAZOWAPA GUARANTEE YA KUTOKUADHIBIWA PALE MAONI YAO YA KITAALAM YATAKAPOENDA KINYUME NA MATAKWA YA WATAWALA?🤔🤔🤔

From The Chanzo

KASEMA ANAKUJA kuwaonesha. 😁


kizazi kipya Reposted

🔷🔷🔷Kweli kabisa Rais ndiye Mgombea alafu yeye anamteuwa refa✍️


kizazi kipya Reposted

Unasababisha hasara ya Bilion 71 Hakimu anakupiga faini ya Milioni 12? Hii maana yake nini jamani? Nchi zilizoendelea wezi kama hawa wananyongwa hadharani ndio wakaanza kuheshimu mali za UMMA Kuna haja #KatibaMpya Ijayo iwepo sheria ya kuwanyonga hadi kufa wezi wa Mali za UMMA

Tweet Image 1

Waziri wa miundo mbinu

STAKISHARI jimbo la Ukonga kwa Jerry Slaa watu wanapita Chini ya Karavati kama PANYA. Kama una roho ndogo usitizame hii Video,Nimeumia sana moyoni nikajikuta nalia sana bila kujali nipo ktk foleni ya Benki. Tumerudi nyuma Miaka 100 sababu ya CCM,kosa la wananchi wa Ukonga lipo…

Tweet Image 1


kizazi kipya Reposted

Always tunakuwaga wepesi kulaumu sana hapa ni New York jimbo lenye miundombinu bora na wataalam wa kila aina kilinyesha na kuleta vurugu hizi …! Maji huwaga hayazuiliki yakiamua kuja!


kizazi kipya Reposted

Ujumbe kwa Wabunge huu hapa 👇.Wabunge wanatoa kipaumbele kwenye mswada wa mafao ya WENZA wa viongozi ambao tayari ni matajiri kufuru badala ya kutoa kipaumbele kutunga sheria za kuboresha maisha ya wananchi mafukara waliowachagua kuingia Bungeni.Sikiliza.


kizazi kipya Reposted

Wakati watawala wanagawana mabilioni yetu na kufanyia masihara report ya CAG, tuendelee kukumbushana aina ya nyumba wanazoishi walimu wanaomfundisha mtoto wa mtanzania maskini. Kama hili halikukasirishi, kuna uwezekano wewe ndio tatizo kwenye hii nchi.


Huyu mdada alinikosha ile siku . Japo nilikua na machungu ya 5 ila hilo bango lilinitia moyo . #KatibaMpya #okoabandari

Tweet Image 1

Hamjasema.! Miaka 2 trillion 20, Miaka mitano trillion 50.

Imetuchukua miaka 61 tokea uhuru mpaka mwaka 2021 kuwa na deni la taifa la trillion 64.5. Rais @SuluhuSamia amekaa miaka miwili tu madarakani, amelitoa deni la taifa kutoka trillion 64.5 mpaka trillion 82. Iliwachukua Marais watano kutengeneza deni la taifa la shilingi…

Tweet Image 1


Nyumba ya spika wa bunge la nchi tajiri yenye wananchi #Masikini Tanzania. Wao wanaishi ila maboss tunaishia . NAKUMBUSHIA VIPI KUHUSU ILE HUKUMU ILOYO PITISHWA NA WABUNGE 168 . @MariaSTsehai @Mwabuk2Boniface @agnesSwai2

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Kiongozi mkuu kwasasa ni Mama baada ya kuondoka baba. kazi ya mama ni Kulea familia , asa why asiwalee wanake 😎😎

Mbunge Esther Bulaya ameshangazwa na hatua kutochukuliwa kwa waliohusika kwenye upotevu wa fedha za umma kwenye Halmashauri mbalimbali huku akieleza namna ambavyo Tsh. bilioni 11 zilizokusanywa kuliwa na Watu na hata zilipopelekwa mashine za kuzuia wizi zilizimwa. “Unajua kwa…



Ntaenda makumbusho ya taifa kumsalimia huyu mzee . Nishammiss japo alifariki nikiwa bado sijazaliwa …

Wakati wao wanaungana kutuibia sisi tunatengana kwasababu za kijinga na kuwapa uwanda wa kutuibia na kutuchezea.



United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.