@muddy090 Profile picture

/MUDDY/ 🛻🚗

@muddy090

Jipatie magari mazuri kwa bei poa🛻🛻 Tunauza na kununua magari🚙🚗🚗 Tumapatikana Dar, Magomeni 🚓🚛🚚 kwa mawasiliano 0763 503 405 I love 🇹🇿Tanzania🇹🇿

Joined October 2015
Similar User
Bishop Lucas Mbedule Judah photo

@MbeduLucas

dizo 16 photo

@JengelaDenis

zigero photo

@zigero1

/MUDDY/ 🛻🚗 Reposted

/MUDDY/ 🛻🚗 Reposted

Mwenyekiti wa @chadematzofficial Mh @freemanmbowetz akitangaza uamuzi wa Chama kwamba, Chama kinatangaza Maandamano ya amani ya kuishinikiza Serikali kuzingatia maoni na mapendekezo ya wadau mbalimbali wa uchaguzi nchini ambayo yataanza Dar Es salaam tarehe 24/01/2024


/MUDDY/ 🛻🚗 Reposted

Ni muhimu JAMII ifahamu kwamba, HASHIM ALLY hakuridhika na kitendo cha DPP kuiondoa MAHAKAMANI kesi ya JINAI dhidi ya PAULINE GEKUL. Hivyo AMEKATA RUFAA. Kama DPP anadhani alikuwa SAHIHI kufanya alivyofanya, basi TUKUTANE MAHAKAMANI😀😀

Tweet Image 1

/MUDDY/ 🛻🚗 Reposted

BOB WANGWE ATANGAZA NIA YA UBUNGE TARIME MJINI BILA UFICHO AWEKA WAZI , ... youtu.be/v6AoIQFjkQQ?si… via @YouTube


/MUDDY/ 🛻🚗 Reposted

“Kwenye Muswada huu uongezwe kifungu, kwenye majukumu ya Tume ya Uchaguzi ili Tume iweze kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji ambao utafanyika mwaka huu, tutoe hilo jukumu kwa TAMISEMI” Catherine Valence #HaiKwenyeRamani #ChademaHai


/MUDDY/ 🛻🚗 Reposted

Time for CHANGE CCM watajaribu kununua kila kitu ila Wananchi kwa ground wamechoka sana, wananchi wako TAYARI I hope watapata mtu wa kuwaongoza, wasiwasi wangu ni kama wananchi watakosa mtu wa kumwamini kuwaongoza, Hii nchi haitokuwa salama

From Baba Mwita

/MUDDY/ 🛻🚗 Reposted

Rais @SuluhuSamia, familia isiyo na hatia ya wakimbizi kutoka nchi ya Rwanda imetekwa nyara na idara ya kijasusi ya Rwanda katika ardhi ya Tanzania Serikali ya Tanzania mjitokeze, mtueleze, kwanini mlishirikiana na Serikali ya Rwanda kuteka/kukamata familia ya Paul Manzi…

Tweet Image 1
Tweet Image 2

/MUDDY/ 🛻🚗 Reposted

POLISI nendeni huko MTAANI kuna VIJANA wengi wanatafuta AJIRA tena wana SIFA ya DIVISHENI 4, WAAJIRINI hao, achaneni na mimi. Mimi SITAKI KAZI YENU, mbona HAMNIELEWI?😀😀😀


/MUDDY/ 🛻🚗 Reposted

Katika Jambo la "KIPUMBAVU" kuwahi kutokea Tanzania na mimi kuwahi kulishuhudia basi ni hili hapa. Inawezekanaje mfanyabiashara anajitokeza kuilalamikia TRA na kutaja mifumo ya wizi inayofanywa na TRA pale bandarini mbele ya vyombo vya habari tarehe 11 October 2023, Alafu tarehe…

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

/MUDDY/ 🛻🚗 Reposted

Kuna @TunduALissu Mmoja tu Hapa Tanzania


/MUDDY/ 🛻🚗 Reposted

Mpambanaji mkweli na muwazi mpenda haki anatumia maarifa taaluma yake kwa maslah ya wengi hakika wewe ni alama ya haki shangaz @MariaSTsehai vijana tuna mengi ya kujifunza kutoka kwako

Tweet Image 1

/MUDDY/ 🛻🚗 Reposted

Pale Mungu akiamua kutupiga na janga la njaa tutalia sana na kusema "Mungu kwanini umeyaruhusu haya waja wako tufe na njaa" hapa ni mpanda hotel jimbo la mpanda ambapo Halimashauri imeamuru mahindi haya yaliyostawi kukatwa kwa dhana yanahifadhi wezi. @SuluhuSamia mkurugenz ondoa.

Tweet Image 1

/MUDDY/ 🛻🚗 Reposted

"Kama tunahitaji kunisaidia nchi tusifanye utani kwenye suala la Uchaguzi"- @freemanmbowetz


/MUDDY/ 🛻🚗 Reposted

"Tujiulize 1. Hivi tatizo la nchi hii la mfumo wetu wa uchaguzi ni nini? 2. Je, hili tatizo la mfumo wetu wa uchaguzi yanatibiwa na mapendekezo haya?. " Mhe. @TunduALissu Makamu Mwenyekiti Bara.


/MUDDY/ 🛻🚗 Reposted

"Miswada yote hii mitatu ya Sheria ni Cosmetic, hakuna mabadiliko yoyote ya maana ya kisheria yatakayopatikana." Mhe. @freemanmbowetz Mwenyekiti Taifa


/MUDDY/ 🛻🚗 Reposted

Wale wa MAHAKAMANI kuna UJUMBE wenu kutoka Kwa “MNYAMWEZI wa IGUNGA” hapo 👇😀😀😀😀

Hapa Rostam alizungumza fact



/MUDDY/ 🛻🚗 Reposted

Update kesi yetu ya kudai HAKI YA KUANDAMA imetupiliwa mbali na mahakama kuu Mbeya. Hivyo kutokana na hali hiyo nitaandika barua ya malalamiko kwa wafadhili kwamba ufadhili wao kwa TZ 🇹🇿 unauwa demokrasia na mfumo wa utoaji haki nchi. Nitaambatanisha vielelezo 6 katika barua hiyo


/MUDDY/ 🛻🚗 Reposted

. @MwanaFA unafanya nini ofisini ikiwa wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania (U15) wanashinda nafasi ya pili, zawadi yao ni Sh187 milioni na wanapewa elfu 20 ya nauli na kutelekezwa Tanga. Kwani @Tanfootball kazi yao ni kudhulumu zawadi za wachezaji? Mnadhulumu watoto?

Tweet Image 1
Tweet Image 2

/MUDDY/ 🛻🚗 Reposted

Kati ya hawa wawili yupi anajielewa? Retweet 🔄 Like 💙

Tweet Image 1
Tweet Image 2

United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.