Similar User
@SheilaMchamba
@JumaAbdukarim
@Emanuela_Andrew
@BSMwandenuka
@kevin_ndabila
@Nice_Gisunte
@BongeLaAfya
@nulphin
@PatrickJAssenga
@HakiHM36447238
@BabaMwita
@AdamuMwassa
@TAnganyikaTele
@ItsTemba
@TitoKorduni
chanzo kikubwa cha umasikini tanzania ni chama cha mapinduzi na serikali yake ‘mediocre’ na ya kifisadi, inayofunga na kuteka watu wanaoiambia imeshindwa kuongoza nchi. rais aache kuzunguka zunguka, ukweli anaujua:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wahariri wa vyombo mbalimbali ya habari, baada ya kumaliza kwa mkutano wa G20 uliofanyika nchini Brazil hivi karibuni, amesema Watanzania siyo maskini kwani tuna rasilimali za kutosha, lakini kuna kasoro…
Wagombea wao muwaondoe kwenye uchaguzi, bado tena kwenye shughuli kuelekea kampeni muwafanyie hivi nà bado mnahubiri watu waishi kwa Amani. This is ridiculously
😂😂 wamefanya kweli Kenya 🇰🇪 Walisema "Adani sisi siyo matako yako" na kweli! Sisi tunasubiri busara za Samia 🙄
Mwamba kafunguka ila wafahidhina hawachelewi kumteka na kumpoteza.
“Nchi haikombolewi kwa maombi; Nchi haikombolewi kwa kupiga magoti na kumwomba MUNGU, inakombolewa kwa mapambano.” — @TunduALissu Ni kiongozi gani mwingine anaweza kuongea ukapata eternal quotes kama hizi?🤔🤔🤔🤔
CDM kwenye one and two Tarime
KOMBO MBWANA TWAHA IS OUT...!
Viongozi wa dini wa majirani hawana njaa ndogo ndogo. Njoo stanza Sasa
Kanisa katoliki nchini Kenya limekataa mchango wa mamilioni ya Pesa wa Rais Ruto na Gavana wa Nairobi, tena Kanisa limesema linarudisha pesa hizo. Pia limetoa msimamo wa kuzuia wanasiasa kutoa michango makanisani kwa maslahi yao ya Kisiasa kwani ni kuika maadili ya Kanisa.
Kanisa katoliki nchini Kenya limekataa mchango wa mamilioni ya Pesa wa Rais Ruto na Gavana wa Nairobi, tena Kanisa limesema linarudisha pesa hizo. Pia limetoa msimamo wa kuzuia wanasiasa kutoa michango makanisani kwa maslahi yao ya Kisiasa kwani ni kuika maadili ya Kanisa.
Kanisa Katoliki Kenya wamemrudishia Ruto mchango aliotoa jana kanisani na hela iliyokuwa imebaki wameikataa. Huyu jamaa sidhani kama atamaliza miaka 5.
Eneo hili linalindwa na mitambo ya kuzuia ushoga. It's no gay fly zone. Stay alerted ⚠️
Tunasubiri mumshukuru kwa jengo kudondoka
Aiseee, kweli la kuvunda halina ubani
“Tunamshukuru Rais Samia Kwakuwa angalau watu 45 wameokolewa na watano wamepoteza maisha, tunaendelea kupongeza kazi nzuri inayofanywa na uongozi wa awamu ya sita” Msemaji wa Wafanyabiashara Kariakoo
Na soon watu wataanza kuacha kushabikia mpira kwa haya masiasa ya kipuuz
Sababu kubwa ya Stars kukosa mashabiki ni siasa, tumeambukiza na mapacha wa Kariakoo, taratibu Yanga wameanza kulia kwanini mashabiki wanapungua viwanjani, tukiwapa ushauri wanasema hatujui kitu. HAYA. 🤝
Kiboko yao 💥 anaenda Kanda Maalum 👊🏽 Sasa watajua hawajui 😄 just keep moving @TunduALissu 🔥
Za nchi kavu haziwezi, zake ni za kupiga mbizi
United States Trends
- 1. Ole Miss 19,3 B posts
- 2. Indiana 53,4 B posts
- 3. Jaxson Dart 4.470 posts
- 4. Gators 10,7 B posts
- 5. Ohio State 35,2 B posts
- 6. Ryan Day 5.631 posts
- 7. Lane Kiffin 2.784 posts
- 8. Billy Napier 1.685 posts
- 9. Wayne 131 B posts
- 10. Howard 24,9 B posts
- 11. UMass 5.505 posts
- 12. Caleb Downs 7.459 posts
- 13. Buckeyes 11,6 B posts
- 14. Lagway 5.688 posts
- 15. #iufb 5.762 posts
- 16. Gus Johnson 1.602 posts
- 17. Surgeon General 152 B posts
- 18. Tottenham 94,4 B posts
- 19. Man City 79,3 B posts
- 20. #GoBucks 7.371 posts
Who to follow
-
Sheila Mchamba
@SheilaMchamba -
Abdulkarim Juma
@JumaAbdukarim -
Emmy J²
@Emanuela_Andrew -
Barnaba Mwandenuka
@BSMwandenuka -
Kevin Ndabila
@kevin_ndabila -
Nice Gisunte
@Nice_Gisunte -
Bonge La Afya
@BongeLaAfya -
Dr Calipso
@nulphin -
Patrick John Assenga
@PatrickJAssenga -
Haki Haiombwi🇺🇰🇪
@HakiHM36447238 -
Baba Mwita
@BabaMwita -
FREEDOM FIGHTER
@AdamuMwassa -
TANGANYIKA TELEVISION
@TAnganyikaTele -
FRV. Gaspar E. Temba
@ItsTemba -
Tito Korduni 💧
@TitoKorduni
Something went wrong.
Something went wrong.