@mselanondo_ Profile picture

mselanondo

@mselanondo_

Ruto must Go ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ชofficial Twitter page for MSELANONDO mnifollow Sasa tufike 100kโœŠ Generation Z for life ๐ŸคŸ

Similar User
Hotib photo

@hotibaza

Moomy_store28 photo

@raymoomy03

Mcity photo

@sips_nxumalo

Yusuff Bolaji Ajegbile photo

@AjegbileO

kitotochaelfumbili photo

@ilovemesomuch29

fabbian wick photo

@Fabbianwik

ุบุฏูŠุฑ #ุณูˆุฑูŠุง_ุงู„ุงุณุฏ photo

@gadeer09888

mselanondo Reposted

Kwa mwanamke always history ndo huwa inaangaliwa, ukiridhika na historia ya maisha yake Unamchukua, usiporidhika nayo unaachana naye. Kwa mwanaume always ni Future huwa inaangaliwa, na sababu zinajulikana. Kwa mwanamke ni ngumu Sana kukubali kuolewa na mwanaume ambaye hana


mselanondo Reposted

KUTEKWA,KUTESWA NA KUTUPWA KWA BI AISHA MACHANO WA BAWACHA...! Baada ya tukio la kutekwa,kuteswa na kuuawa na kisha Kutupwa kwa Ali Kibao mjumbe wa secretarieti ya CHADEMA Taifa Bi Aisha Machano binti wa Kiislamu alitekwa Jana Wilayani Kibiti na Wanaume Saba,wakiwa naโ€ฆ

Tweet Image 1

mselanondo Reposted

*WALIOITWA USAILI VS WANAOITAJIA KADA YA UALIMU* 1. Daraja la IIIA (Awali)= 20/2024 2. IIIA = 2851/15,640 3. IIIA (Maalum)=13/225 *Daraja la IIIB* 1. Geography= 175/2878 2. Kemia = 488/3551 3. Bios = 505/3173 4. Tehama = 59/399 5. Awali = 15/846 6. Kiswahili =โ€ฆ


mselanondo Reposted

Anko Zangu "Tunapata Na Tunapoteza, Tunakosa Na Kujifunza Pia, Hatujilaumu Maana Ndio Sehemu Ya Maisha" ๐Ÿ™๐Ÿฝ


Hivi Kuna wazungu waislamu??


mselanondo Reposted

Huyu @Nkololotz ambaye alitetea kifurushi cha #TotoAfyaKadi kuondolewa katika bima ya Afya, kumbe nyuma ya pazia anapitia mambo magumu namna hii hata pesa ya kula ni changamoto? 20k hazina msaada? Anajua ameathiri watoto wangapi kwa kifurushi hicho kufutwa? Hebu mchekini UMMY.

Tweet Image 1
Tweet Image 2

mselanondo Reposted

Ndo naamka sasa Nita olewa kweli khaaa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ


mselanondo Reposted

Basata wanataka kutuaminisha wimbo wa kuikosoa serikali ni kukiuka maadili,nani alisema maadili ni kuisifia serikali? aliyetuletea uchawa alitukosea sana,tumekuwa na taifa la hovyo.


mselanondo Reposted

Hawampi Shows wanaogopa watafungiwa, Hawapigi ngoma zake redioni wakiogopa watafungiwa, Sasa wakisimama na Mama tunasimama na Wanaotusemea. Wanangu bango linajieleza Mwenye Buku, Mwenye jero, ten, laki mwenye M. TISHA HUMU KESHO ATUSEMEE TENA AKIWA AMESHALISHA FAMILIA YAKE๐Ÿ™

Tweet Image 1

mselanondo Reposted

Nani mwingine ana Ujasiri wa kusema kwamba licha ya changamoto zote, "MUNGU amekuwa mwema kwangu kila wakati" ๐Ÿ™


mselanondo Reposted

King Kiba hakukosea kumuweka Salim Kikeke pale crown FM ๐Ÿ‘‘. Ametupa yote yaliyojiri siku ya Leo . Usipite bila ku - Repost (1000 ) kwake.

Tweet Image 1

mselanondo Reposted

#UPDATES Mwandishi wa EATV Mariam Shabani ni miongoni mwa waandishi waliokamatwa na Polisi Kwenye maandamano wakati wakitekeleza majukumu yao katika eneo la Ilala Boma kisha kupelekwa katika kituo cha Polisi Msimbazi Jijini Dar es Salaam. Bado haijafahamika sababu za kuwashikiliaโ€ฆ

Tweet Image 1

mselanondo Reposted

Nimemuuliza Swali RPC Muliro kuhusu kukamatwa kwa Mtoto wa Mbowe, Nicole Mbowe. Hili ndio jibu lake.


mselanondo Reposted

Mzee Mbowe alikuwa na uwezo wa kukaa tu nyumbani akawa busy na biashara zake na familia yake au angeweza hata kuhama nchi kwa uwezo alionao lakini ameacha yote na kuamua kutupambania ajabu sisi ambao ndio tunapambaniwa hatuna muda wa kujimbania.


mselanondo Reposted

Best reporter so far on 23/09/2024. Hongera โฆ@Salymโฉ .

Tweet Image 1

mselanondo Reposted

Appreciation to @Salym na @CrownMediaTZ amongst many.

Tweet Image 1

mselanondo Reposted

Baba Yake ana hela toka ezi izoโ€ฆ. Yeye Mwenyewe ni Mwanasheria wa mahakama kuu. Mama yake ni Dr. Bingwa kabisa pale muhimbili. Nyumbani mboga Saba na maV8 ya kutosha. Royal family. Still yupo kwenye mandamano kupigania watanzania. ๐Ÿซก Nicole.

Tweet Image 1

mselanondo Reposted

Haya ni MAANDAMANO kwa ajili ya KUZUIA MAANDAMANO.


mselanondo Reposted

Dr.Lilian Mtei (mke wa Freeman Mbowe) ambaye ni daktari bingwa wa magonjwa ya upumuaji katika hospitali ya taifa Muhimbili, amekamatwa akielekea kazini asubuhi ya leo. Dr.Lilian ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya kitaifa ya kupambana na kifua kikuu (National TPT Expert Committee),โ€ฆ

Tweet Image 1

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.