@mpendwaeric Profile picture

Mr Eric Samuel

@mpendwaeric

CCM MEMBER, Gender SPECIALIST, MTIA NIA UBUNGE MANYONI 2020 , PROJECT COORDINATOR , CONSULTANT ,PREACHER.

Similar User
Safe Space Therapy photo

@Stressrelieftz

aKBAr photo

@2rAKIm8

Imma Ndunguru photo

@ndunguru_imma

boniphace daniel photo

@boniphacedanie6

hossam lipupu photo

@maalimNash

Dsrt photo

@DavidSa99232791

abdul tz photo

@PhilipoSanga5

Nehemiah mushi photo

@NehemiahMushi

Black samurai photo

@Offpoint6

Barick Kimarotz photo

@barick_b

Pinned

Kila siku liishi fikrani mwetu..✍️🧎🚶

Tweet Image 1

Mr Eric Samuel Reposted

Anayekuchagua ili akufanye uwe bora ni mtu wa muhimu sana kuliko anayekuchagua kutokana na ubora wako. Good morning my friends .


Mr Eric Samuel Reposted

Nguvu sio lazima iwe katika mabavu mara nyingi, nguvu ya kweli inapatikana katika ustahimilivu na uvumilivu..........😊


Mr Eric Samuel Reposted

Bro, kuna yule demu ambae hutakagi majilani wamuone wala marafiki zako wamjue huwa unamficha ficha kama bangi, enhee umemkumbuka ee sasa yule ndo future wife wako sasa 💔😂


Mr Eric Samuel Reposted

Kuna umri unafika huhitaji vitu vingi, unahitaji marafiki wachache, maisha ya faragha, akili iliyotulia, na moyo wenye furaha.


Mr Eric Samuel Reposted

Tulishapoteza ambavyo hatukutarajia kuvipoteza Kwa sasa hatuna uoga tena wa kupoteza chochote Na tulipokonywa ambavyo hatukupewa hatuogopi hata kupokonywa ambavyo mmetupa


Mr Eric Samuel Reposted

Ukilazimisha urafiki na mtu anayeamini hakuhitaji utaishia kuumizwa. Urafiki wa dhati haulazimishwi. Urafiki ni marupurupu ya kuhitajiana. Saa nyingine kujiweka mbali na wasiokuhitaji ndio kujiheshimu kwenyewe. Kumsogelea sogelea mtu asiyekusogelea ni kufubaza thamani yako.


Mr Eric Samuel Reposted

Muangalie Mungu na uaminifu wake na tunza sana uhusiano wako binafsi na yeye. Naye Mungu atakupa watu sahihi katika maisha yako.


Mr Eric Samuel Reposted

Sali, omba sana Mungu kila wakati kila upatapo nafasi, kwa maana hapo mtaani kwako kuna watu kila siku wanakuwinda uingie Kwenye 18 zao Hujawakosea kitu ila uwepo wako duniani mafanikio yako, furaha yako na juhudi zako nichukizo kwao Good morning friends


Mr Eric Samuel Reposted

Jina langu Naitwa John Kalage nipo single, nakaa mbezi beach, Nina duka la Perfume, Nitachangia million tano.

Tweet Image 1

Mr Eric Samuel Reposted

Kila siku ni nafasi mpya ya kujitahidi kuwa bora kuliko jana. Endelea kuamini, endelea kusonga mbele, na usikate tamaa hata unapokutana na changamoto. Mafanikio yako yapo hatua moja mbele. Jipe moyo na uendelee kutafuta ndoto zako kwa uvumilivu na bidii!.......🙂


Mr Eric Samuel Reposted

Kila unapotembea katika maisha, kumbuka kuwa watu wana umuhimu mkubwa, kwani huwezi kujua ni lini utahitaji msaada wao. Kuwa mnyenyekevu, na usikate tamaa katika mahusiano yako, maana hata wapenzi wa jana wanaweza kuwa msaada wa kesho...........😊


Mr Eric Samuel Reposted

Atakayekufaa kesho si lazima awe nacho cha kukufaa leo. Yule atakayekuwa wa msaada kwako baadae wakati mwingine huja kwako kama mhitaji wa leo


Mr Eric Samuel Reposted

Kwenye maisha lazima ukubali kuna hatua ngumu utazipitia ndio ufike Kwenye malengo uliyojiwekea Kuna changamoto kamwe Hazikwepeki kwenye maisha ya utafutaji.✍️


Mr Eric Samuel Reposted

Maisha yanapokua mazuri ,yafurahie.Usiende kutafuta kitu bora zaidi,Furaha haiji kwa wale ambao hawathamini kile walicho nacho, Furaha huja haraka sana unapoacha kulalamika juu ya shida zako na unaanza kushukuru kwa shida zote.🙏🏾 Uwe na siku njema sana✊🏾


Mr Eric Samuel Reposted

Binadamu tuko tofauti, Ndio maana kipindi wewe unampeleka mwanamke wako Bar. Kuna mwanaume anampeleka mwanamke wake kanisani.


Mr Eric Samuel Reposted

Kila unapokumbwa na changamoto kumbuka ukuu na uaminifu wa Mungu,,atakuvusha ,atakufanyia wepesi. Niwatakie jumanne njema. 🖤🖤


Mr Eric Samuel Reposted

Muombe sana Mwenyezi Mungu usije kuujua ukweli mwishoni, Inauma sana kutembea umbali mrefu kwenye mwelekeo ambao sio sahihi ✍ Happy sunday 🌹


Mr Eric Samuel Reposted

Lazima ubadilishe maisha yako ikiwa huna furaha, na amka ikiwa mambo hayaendi vile unavyotaka." Furaha inatoka ndani yako. Usimpatie mtu jukumu la wewe kuwa na furaha iwe mwenzi wako, chama cha siasa, kabila, mwajiri, au kazi. Ikiwa huna furaha, chukua hatua.


Mr Eric Samuel Reposted

Ukipata Nafasi Ya Pili Usiwahusishe Waliokupotezea Nafasi Ya Kwanza Hata kama Ni Ndugu Yako..📌 Good Morning X Family 🙏.


Mr Eric Samuel Reposted

Jitahidi Uishii Katika Upendo,Imani,Kujiamini Na Kuwa Mvumilivu Katika Kila Hatua Zako.


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.