@michael_nkobi Profile picture

michael nkobi

@michael_nkobi

Joined July 2017
Similar User
Abdillah Issa photo

@Abdillah70640

Jackson Ngereja photo

@JacksonNge20817

Karol Lwanga photo

@KarolLwanga

michael nkobi Reposted

CCM imekwesha kabisa by Remmy Ongala


michael nkobi Reposted

Haifai kutukana, ila kusema ukweli, sio matusi


michael nkobi Reposted

"Tanga imejaliwa neema sana, lakini wananchi wake ni maskini." Sheikh @ShekhAlyKadogoo


Msimu wa Mvua za Masika unaendelea kwa Mikoa Mingi hapa Nchini,karibu tukuuzie Miche ya Miti ya Mitunda na Kukupatia Ushauri wa Kilimo.tupo Vikawe bondeni Kibaha na Chanika Dsm tucheki 0713635034/0687255652 1-Papai (hybrid) 2-Miembe 3-Michungwa 4-Mapera 5-Minazi

Tweet Image 1

KILIMO CHA PASHENI Pasheni ni tunda linalotumika kutengenezea Juice na huchanganywa na matunda Mengine Mengi ili kunogesha Kinywaji chako,Heka Moja ya kilimo hiki humpatia Mkulima zaidi ya sh 27,550,000/ kwa Mwaka.Tucheki kwa 0767548662/0713635034 kwa Ushauri zaidi

Tweet Image 1

Karibu Ujipatie Miche Bora ya Papai na kukupatia Ushauri sahihi wa Kilimo,Tunapatikana Vikawe Kibaha Pwani na Chanika Dar es salaam.Tucheki kwa 0767548662/0713635034

Tweet Image 1

michael nkobi Reposted

Tweet hadi hii picha iwafikie hawa watoto, walimuomba Mh @TunduALissu picha, tukawapiga. hawakuwa na simu zao, as you know ni wanafunzi, huko Mbeya wakiipata picha hii itakuwa furaha Sana kwao. @ChademaTz @HildaNewton21 @MariaSTsehai @HistoriaYetu @MalisaGJ_ @mdudechadematz

Tweet Image 1

michael nkobi Reposted

ALUTA CONTINUA

VIDEO: Wakazi wa mtaa wa Simbani uliopo Kibaha mjini wametakiwa kutumia chaguzi zijazo (uchaguzi wa serikali za mitaa wa 2024 na uchaguzi mkuu wa 2025) kuchagua viongozi wanaojali maslahi yao na wanaoweza kuwapigania pale inapotakiwa kufanya hivyo Askofu Maximilian Machumu…



Msimu wa Mvua za Masika Umefika,njoo tukuuzie Miche bora ya Papai tucheki kwa 255713635034 au 255767548662 Tupo Vikawe Kibaha na Chanika Masantula Dar es salaam

Tweet Image 1
Tweet Image 2

Stendi ya Mabasi Kibaha Mailimoja imeharibika na wachuuzi wakiamua kuitengeneza wenyewe! Mkurugenzi,Mbunge na Madiwani wa Halmashauri ya Mji Kibaha wamefumbwa Macho wasione hii kitu


michael nkobi Reposted

Leo tarehe 10 Novemba 2023 vijana wanne (4) kutoka BAVICHA Mkoa wa Kaskazini Pwani tulishiriki mjadala ulioandaliwa na @TCDemokrasia Pia TCD ilimteua Katibu wa BAVICHA Jimbo la Kibaha Mjini kuwa ndiye atakayekuwa kiunganishi Kati ya TCD Taifa na TCD Mkoa wa Pwani.

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.