@mgonyah255 Profile picture

eliasmgonya

@mgonyah255

All are sinners

Similar User
🏴وحيد photo

@Yung1of1

Gurur Duman photo

@GururDuman

Michael James photo

@michaelwjamesII

tucciño photo

@tuccibene

上上签UPUP photo

@Davinci_CG618

Pinned

Umasikini ndo unafanya mkipewa pesa muone ndo mnapendwa


Swimming pool siku zote hupatikana kwenye nyumba nzuri ,elewa neno "nyumba nzuri"


Kuna watu wamechoshwa na baraka ,,,, MUNGU bariki na wengine.

Mungu utaniuwaaaa! Hakuna kama wewe Mungu na nitaishi nikiziimba sifa zako mpaka ukamilifu wa dahari. 🙏🏼🙏🏼



eliasmgonya Reposted

Ukubwa unahitaji umakini ndio maana Pen haina Ufutio.


eliasmgonya Reposted

Wapwa naomba zawadi hii ya TECNO iende kwa mama yangu mpendwa ambae kila siku ananitumia ujumbe mfupi wa maneno kunitakia usku mwema. 🙏🙏 Retweet imfikie #SambazaFuraha na @TecnomobileTZ

Tweet Image 1

Tunafahamu kuwa, mpira una raha yake, ila kumzawadia umpendae ni raha zaidi! 🥳🎁 #SambazaFuraha kwa mtu wako wa karibu kwa kumshindia simu toleo la CAMON 19 au SPARK 9 Sports Edition BURE! Unachotakiwa kufanya: 1. Quote tweet pinned tweet hii soma zaidi 👇



eliasmgonya Reposted

Tunaishi kwa maumivu hadi tunaamini waliokufa wamepumzika.


eliasmgonya Reposted

Kuna watu waliwahi kuogopwa sana hapa Duniani kwa madaraka waliyonayo aidha kwa mali walizokua wakimiliki, ila leo wamebaki story, Hii inatufundisha Utu ni bora kuliko kitu Be humble.


eliasmgonya Reposted

🗣️Yani Siku Hizi Ukisema Tuu Nakupenda Umeshaingia Kwenye Kitabu Cha Madeni.


eliasmgonya Reposted

Kuna stage kwenye maisha mtu hutulia tu..You don't date, You don't love, You don't s€x, You don't don't...Hujiskii kufanya chochote! What do we call it ?


eliasmgonya Reposted

Mungu awabariki wanawake wote ambao tukiwaambia kuna ishu naisikilizia wanatuelewa..♥️🤞🏿


eliasmgonya Reposted

Nilijua nikienda Dar ukimwi ndio utaniua kumbe ni njaa 😂😂😂💔


eliasmgonya Reposted

Ukiachana na Salamu kingine cha Bure ni nini Hapa Mjini?🙁


eliasmgonya Reposted

Mimi naona turudi zile enzi za kutafutiwa wapenzi aisee.😒😂


eliasmgonya Reposted

Kuna umri fulani ukifika kitu pekee kitakachokupa stress ni Pesa na wala sio mtoto wa mtu...🤔


eliasmgonya Reposted

Hakuna Kitu Nisichopenda Kwenye Daladala Kama Kukaa Na Mdada Mzuri Halafu Ahame Siti Bila Sababu Za Msingi..!


eliasmgonya Reposted

Nilipokuwa mdogo nilikuwa nadhani Hayati ni jina la kwanza la mwalimu Nyerere.😎


United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.